MKOBA WA MAMA Episode| 5 |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 182

  • @J74251
    @J74251 3 หลายเดือนก่อน +17

    Mimi wa mwisho kutoka Kenya nipeni like nami❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kazi nzuri sana kutoka kwa Tanu big up Sana 🎉🎉🎉🎉

    • @jamaliaugustino7408
      @jamaliaugustino7408 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wew wa Kenya nenda kwenye maandamano huko katetee haki zenu😂

  • @salmasalum9946
    @salmasalum9946 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hhhhhhh!!! Kaka tanu bwana umenikosha Sana mm huwa sitaman kuamka kwenye ndoto nzur km hiyo jmn

  • @SophiaJamali-lf1ki
    @SophiaJamali-lf1ki 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mi nawapenda washilika wa humu wote mungu azd kuwatia nguvu .🙏👊🔥

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 3 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani team furus team WiFi team kupambana nawapenda mno mbona amjaniita kama mzigo upo mezani aya tusalimiane team 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

    • @fatmamohammed8346
      @fatmamohammed8346 3 หลายเดือนก่อน

      tupoooo uduguuuuu 😂😂😂😂

    • @ThawabuKahongo
      @ThawabuKahongo 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂❤

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 หลายเดือนก่อน

      Kitonga team pamoja babaa😂

    • @zainaabdallah809
      @zainaabdallah809 หลายเดือนก่อน

      @@mohammedkidody5618 😂😂😂

  • @MwanaAmani-q9l
    @MwanaAmani-q9l หลายเดือนก่อน

    Dahaaa Kim namkubali sana na pia namtakia bahati njema katika tasnia hii ya filamu anacheza ualisia mwingi mno napenda kazi zenu

  • @husnatjh5969
    @husnatjh5969 3 หลายเดือนก่อน +1

    😀😀😀pole sana kaka @TANU PLUS+ kumbe ilikuwa ndoto😂

  • @fatmahraseid7019
    @fatmahraseid7019 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi unajua hasira ya kukatishwa ndoto weeee inaumaga iyo😂😂😂😂😂

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 หลายเดือนก่อน +5

    Sandra my sweet love usifuge kucha plz

  • @RaimundoAlmasseAlmasse
    @RaimundoAlmasseAlmasse 29 วันที่ผ่านมา +1

    Naitaji kufanya kazi nanyinyi

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tanu wamekukoseya kweli ndoto nzuri kweri 😂😂😂

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ushauri nzuli ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Yule sio mwanamuke.

  • @HusseinOmary-co7rv
    @HusseinOmary-co7rv 3 หลายเดือนก่อน +3

    Dah leo nmewah 😂

    • @bigmed6626
      @bigmed6626 3 หลายเดือนก่อน +1

      Move nzur lakini mnaicheleweshaa sana

  • @MrSilent123-h9k
    @MrSilent123-h9k 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂 kumbe ndoto
    Nimecheka pekeyangu tu hapa mwisho mzuri sana let's go.

  • @IrakozeHami-t9m
    @IrakozeHami-t9m 29 วันที่ผ่านมา

    Jamani mwanji anajuw kudekeza nyiee eti mom unanjaa raha sana🤣

  • @hildasanga7234
    @hildasanga7234 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli iyo KAZI haina faida ila nilazma uifanye😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉

  • @kennyhotkd
    @kennyhotkd 3 หลายเดือนก่อน +29

    Kutok burundi wnye iko anahon iyi movie anipe like ata. Mona🇧🇮🇧🇮🇨🇩🇹🇿🇹🇿

    • @willempole930
      @willempole930 3 หลายเดือนก่อน +2

      Andika vizir mjinga ww unajifanya kuwa sio mtz pumbavu sana

    • @kennyhotkd
      @kennyhotkd 3 หลายเดือนก่อน

      @@willempole930 achausaz

    • @kennyhotkd
      @kennyhotkd 3 หลายเดือนก่อน

      @@willempole930 uo ni uumam Utafinyw

    • @alichakamdune
      @alichakamdune 3 หลายเดือนก่อน

      Swa umewahi

    • @graffinamisi
      @graffinamisi 3 หลายเดือนก่อน

      Samahani like zako hatukupewa

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 3 หลายเดือนก่อน +5

    Funga funga tuondoke leo, mchawi hana huruma mama 😂😂😂 nimeishiwa pozi, mbwemvwr zooote za Tanu KUMBE ILIKUWA NDOTO!! nilikuwaanza kufurahi, ohooo! 🤦‍♂️

  • @ZuberikalalaFathergeto
    @ZuberikalalaFathergeto 3 หลายเดือนก่อน +1

    🎉tanu mbona alikuwa ayuko powa kihakili.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @IrakozeHami-t9m
    @IrakozeHami-t9m 29 วันที่ผ่านมา

    Dada dada unaharibu stim za kaka dada jamani ndoto tamu weee🤣

  • @Bisativa
    @Bisativa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tanu bnaah😂😂ety dada nini lkua naota ndoto nzur jamani dada nini niachee bc nimalizie😅

  • @ZeinabMohammad-t2z
    @ZeinabMohammad-t2z หลายเดือนก่อน

    Mashaalwah kz nzur 👍

  • @AmaniNangerembe
    @AmaniNangerembe หลายเดือนก่อน

    Nice one job brother tanu🎉🎉🎉

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 หลายเดือนก่อน

    Naipenda sana hii movie mumeweza❤🎉

  • @aganzeroger
    @aganzeroger 3 หลายเดือนก่อน

    Move nzuri ya mafunzo kabisa🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @EshaomarmfaumeMfaume
    @EshaomarmfaumeMfaume หลายเดือนก่อน

    Tanu kumbe hio ndoto daah pole sana😂😂

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kwanini SANDRA hayupo kwenye Snake Boy!?.... Angekaa nafasi ya yule mtoto wa Mwakatobe angechangamsha sana.

    • @Pillynayumu
      @Pillynayumu 3 หลายเดือนก่อน

      Sandra ndo mama ake snake boy nafikir

    • @fatumabakari2640
      @fatumabakari2640 3 หลายเดือนก่อน

      Sandra alifariki ndiye mama ntanzi

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@Pillynayumu NGOJA TUONE ITAKUWAJE...

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 3 หลายเดือนก่อน

      @@fatumabakari2640 kumbe!!!!!... niliona mzimu tu. Kipindi hicho Sandra nilikuwa simfahamu.

    • @husnatjh5969
      @husnatjh5969 3 หลายเดือนก่อน

      Sandra ndo mama ake snake boy 'ntanzi' yule mzimu kama uliifatilia snake boy season one

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa nini mwabie alala yeye amalisie doto watu wegine wako aji❤❤❤❤😅😅😅😅😅

  • @Kenyanboy-v6s
    @Kenyanboy-v6s 2 หลายเดือนก่อน

    Take tym your show tanu

  • @UmiMazari
    @UmiMazari 3 หลายเดือนก่อน +1

    Muko vizuri kaka ila mnachelewa

  • @Oscarowen-tf1bx
    @Oscarowen-tf1bx 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 ila kipara dooh sijui anatoka wap ngeli yake hiiiiii

  • @bakarizinga8556
    @bakarizinga8556 3 หลายเดือนก่อน

    Leo nimerauka kabla sijaamka mm nishafika Aya twendeni nalo❤❤❤kutoka Kenya ❤❤

  • @ZawadiMnara
    @ZawadiMnara 2 หลายเดือนก่อน

    moto🔥🔥🔥🔥🔥

  • @772moana
    @772moana 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ilikua ndoto😂😂😂tanu ameumia kwa kweli

  • @AllyOmary-ui7sv
    @AllyOmary-ui7sv หลายเดือนก่อน

    Zumba mpaka huku bado upo na kim mpaka kieleweke😂😂

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂sijui kama hampendi kweli mm enyw nlijiuliza

  • @FrankMgaya-gg1kh
    @FrankMgaya-gg1kh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Akachwii ❤akachwii❤❤

  • @BiisheBugao
    @BiisheBugao 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aah kumbe ndoto 😂😂😂😂 jamani

  • @HhosnaRashid
    @HhosnaRashid 3 หลายเดือนก่อน

    daa Leo nimekuwa wa mwisho jamani lakini kazi mnzuri❤❤❤❤sana2

  • @EmilykuvunaKonzi
    @EmilykuvunaKonzi 3 หลายเดือนก่อน

    Butua anazugwa😂Tamu na ndoto zake za mahabuba🤣🤣🤣🤣dada amezengua

  • @ThomasNzaro
    @ThomasNzaro 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi karibu n wamwisho nipeni like zenu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MerryAlly-s8p
    @MerryAlly-s8p 2 หลายเดือนก่อน

    Ila sandra kumkataa tanu anahaki sjui kwann wanamuona mmbaya kumdate mtu nimaamuzi ila tanu anakazana tu

  • @HilalAlhabsy
    @HilalAlhabsy หลายเดือนก่อน

    Ww tanu kaka mikoba ndyo show zko

  • @KylaZety
    @KylaZety 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wakwanza jameni 🎉🎉likes zenu

    • @graffinamisi
      @graffinamisi 3 หลายเดือนก่อน

      hatuna like zako samahani mwenzangu

  • @SaidiMohammed-tj4fk
    @SaidiMohammed-tj4fk 3 หลายเดือนก่อน

    hii movie ina story nzuri sana na ina ujumbe mzuri sana , ni kazi nzuri toka kwa Tanu , maoni yangu jitahidi sana upande wa sauti na camera , sauti inapishana sana

    • @tanuplus
      @tanuplus  3 หลายเดือนก่อน

      Sawa mkuu nimekuelewa

    • @SaidiMohammed-tj4fk
      @SaidiMohammed-tj4fk 3 หลายเดือนก่อน

      @@tanuplus Asante sana pia nikupongeze kwa kazi nzuri sana nafikiri kwa sasa baada ya snake boy 2 inafuata kazi yako kwa ubora

  • @NacirNaa
    @NacirNaa 3 หลายเดือนก่อน

    We tanu haujuiiii😂😂😂❤❤❤❤❤❤ hii imeenda

  • @ummialey6391
    @ummialey6391 3 หลายเดือนก่อน

    Kidogo tanu tunakuelewa ila wengine chozi imepotea usia na nyengine nyingi zipo nusu wambie tunaunsab

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 3 หลายเดือนก่อน

    Uyo mwana mke muwace aende siyo mwema mwako nimwizi butu aca ujinga 🇧🇮

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sikuhizi MWANJI anaigiza vizuri sana amechangamka ❤ Mimi ndiye fans namba moja wa BUTUA & CHIBU ❤

  • @MouBanda-q7t
    @MouBanda-q7t 2 หลายเดือนก่อน

    😅wajnaaaa

  • @jeanclaudeakili2372
    @jeanclaudeakili2372 2 หลายเดือนก่อน

    Butuwa na Tano wote wanamakosa 😂😅😅❤🎉🎉🎉

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 3 หลายเดือนก่อน

    Tanu mjinga sana punbafu nyooo onaota nini ujinga tu maman yako ikowapi pumbafu😏🇧🇮

  • @Tituskambashows
    @Tituskambashows 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ni kweli unae mpeda akupedi na unae mpeda akupendi daaahh 😔😔

  • @NtakirutimanaSaidi-t8o
    @NtakirutimanaSaidi-t8o 3 หลายเดือนก่อน

    Nimechelewa kidogo nipeni like zangu tafadhali naomba

  • @NanaaHaji-qr1rk
    @NanaaHaji-qr1rk 3 หลายเดือนก่อน

    Hili butua kumbe bwabwa ee😂

  • @AshuraHassan-w3s
    @AshuraHassan-w3s 3 หลายเดือนก่อน

    Tanu usikubali mwambie dada ako akurudishie ndoto yko

  • @ireneluoga5847
    @ireneluoga5847 3 หลายเดือนก่อน

    Shida unachelewesha sana tanu mbak tunasaahau tulikoishia

    • @tanuplus
      @tanuplus  3 หลายเดือนก่อน +2

      Naomba mnisaamee changamoto za umeme

  • @ThawabuKahongo
    @ThawabuKahongo 3 หลายเดือนก่อน

    Tanu nawewe unapenda sanaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AchuraAkeza
    @AchuraAkeza 2 หลายเดือนก่อน

    From Burundi ❤❤❤❤❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 3 หลายเดือนก่อน

    Wamwisho mm musitukane bure cjaomba liké plz

  • @JennyJoseph-mx8jh
    @JennyJoseph-mx8jh 3 หลายเดือนก่อน

    Hii movie tamu sana❤❤❤❤

  • @BRAZZERSNoob
    @BRAZZERSNoob 3 หลายเดือนก่อน

    🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿❤❤❤❤❤ bom trabalho amigo

  • @EvaRichard-x7c
    @EvaRichard-x7c 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vzr sanaa bro❤

  • @ramadhanfakh6925
    @ramadhanfakh6925 3 หลายเดือนก่อน

    Ndoto 😅😂😂😂

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mashallah mashallah

  • @ireneluoga5847
    @ireneluoga5847 3 หลายเดือนก่อน

    Tanu saidia watu mapenzi yapo tu watu wanakufa na hawatarud kitakukuta kitu bro tanu

  • @WiliamTomas-oo9kb
    @WiliamTomas-oo9kb 3 หลายเดือนก่อน

    Kaz zenu ziko pw sana

  • @OfficialAggy-p1k
    @OfficialAggy-p1k 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 tanu umejua kunifuraisha kumbe n ndoto

    • @AdamZainab-mb7qj
      @AdamZainab-mb7qj 3 หลายเดือนก่อน

      Kumb up kipenz sijakuon mda

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Sandra kwa maamuzi mazuri

  • @coolbz133
    @coolbz133 3 หลายเดือนก่อน

    Kipara na kizungu chako watumaliza😂😂😂😂

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 3 หลายเดือนก่อน

    pole sana tanu kwa ndoto

  • @Awoshy
    @Awoshy 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ila Tanu🤣🤣🤣🤣 ndoto🙌 😂😂😂 na madevu yako

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂Barafu wa moyo wangu 😂😂😂😂😂😂

  • @gyslaineiradukunda6731
    @gyslaineiradukunda6731 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂Sasa mutafanya wanaume wa ndevu waonekan hawana akili

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 nyiye nyiye

  • @Salumfaki
    @Salumfaki 3 หลายเดือนก่อน

    Bwege kwel ww mm najua tyr ushaampata kumbe unaota 😂

  • @NasriRamadhani-po1lz
    @NasriRamadhani-po1lz 2 หลายเดือนก่อน

    Tanu tafuta hela 😂

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 3 หลายเดือนก่อน

    Kimu nakukubali ❤❤❤

  • @nyamiziramadhani4232
    @nyamiziramadhani4232 หลายเดือนก่อน

    sasa si wagawane anae uza auze au

  • @gadafimuemede2985
    @gadafimuemede2985 3 หลายเดือนก่อน

    Respect sana Tanu🇲🇿🇲🇿🇲🇿

    • @tanuplus
      @tanuplus  3 หลายเดือนก่อน

  • @MuttahHerya-nd4tm
    @MuttahHerya-nd4tm 3 หลายเดือนก่อน

    Kazi safi

  • @LatifaRashidi
    @LatifaRashidi 3 หลายเดือนก่อน

    Duh si kwa ndoto hio Tanu😅😅

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 3 หลายเดือนก่อน

    Good job bro mbwela

    • @tanuplus
      @tanuplus  3 หลายเดือนก่อน

      Thanks ✌️

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 หลายเดือนก่อน

    Hahahaa ndoto yako madevu innachekesha

  • @ButoyiRukiya
    @ButoyiRukiya 3 หลายเดือนก่อน

    Wawooow Tanu maskini😂

  • @AmericomateusMateus
    @AmericomateusMateus 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ndoto

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 3 หลายเดือนก่อน

    Hi film ñi nzuri sana🎉🎉🎉🎉

  • @abdullahtiphsaidy6605
    @abdullahtiphsaidy6605 3 หลายเดือนก่อน

    Aiseeee kumbe ndoto😅😅😅😅

  • @stivenkhanga9781
    @stivenkhanga9781 3 หลายเดือนก่อน

    Weee Tanu kumbe pimbiiii heeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @BobNahimana-bn7qp
    @BobNahimana-bn7qp 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂iki kijama kina upon kitakuja jutq😅😅😅

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka mkubwq umeamuwa uamuzi wa busara hutajutiya maamuzi yako

  • @SassyRagfish
    @SassyRagfish 3 หลายเดือนก่อน

    Kipara 😂❤

  • @Matlida_karembo
    @Matlida_karembo 3 หลายเดือนก่อน

    🌹🌹🌹

  • @Alien-y5g
    @Alien-y5g 3 หลายเดือนก่อน

    Kama unahtaji muendekezo tia like❤ hapa

  • @anifamickidard4555
    @anifamickidard4555 3 หลายเดือนก่อน

    Ila Ndoto 😂😂😂😂😂

  • @ireneluoga5847
    @ireneluoga5847 3 หลายเดือนก่อน

    Tanu mbak leo mkoba wa mama 6

  • @JamesBrighton-p3p
    @JamesBrighton-p3p หลายเดือนก่อน

    Glen Manor

  • @RukiaKhamis-pu9zv
    @RukiaKhamis-pu9zv 3 หลายเดือนก่อน

    Basi muwe mnanyoa ndevu

  • @ZeinabMohammad-t2z
    @ZeinabMohammad-t2z หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @twaibampako4402
    @twaibampako4402 3 หลายเดือนก่อน

    Wa Kwanza

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 3 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @ayubmusa9816
    @ayubmusa9816 3 หลายเดือนก่อน

    Nimependa hiyo ndoto😢😅😅❤

  • @Directordakoti
    @Directordakoti 3 หลายเดือนก่อน

    Kipara Wana man