Congrats daa kache na cast wengine big up sana❤ from Qatar 🇶🇦 wala sioni aibu kupeperesha beblndera ya 🇰🇪 #miji9 na kama hamtanipa hug nyote mlambe na shetani kwenye uso kwa roho zenu mbaya 😂😂😂
Kache kazi nzuri sana na team yote but. 1.sijaona hatua za kiafya ama matibabu na mabwanazako kuhusu tatizo la uzazi mlizochukua. 2. Sijaona ushauri wa mamako mzazi kuhusu tatizo hili. 3. Je tamaduni zenu (kimanye kigiryama) 4. Ushauri wa dini yenu. Lazima uonyeshe ulivyo hangaika ulipogundua unatatizo la uzazi. Thank you so much for this script.
Hii imeweza wadau vizhoo vizhoo enehu mumboze movie za risaa rimwenga enehu adzo ❤️ ukikirira Kwa comet usikire bila kungonga like uchenda mbrere vizhoo vizhoo reheni nyingine yo muvi❤🎉🎉
Wow hii movie ina mafundisho hongera kwa kakangu kipenzi ROBERT ,KACHE , TIMASTI na wengine mlioshiriki kwa MOVIE hii keep it up pongezi sana nyoote
Congratulations Ruby and all participants
Mumeweza kongole kwawhote
Movie yetu pendwa ndio hio support yenu ndio tunaiomba ✌✌🥰🥰🥰
Inahuzunishaaaa inachekeshaaaa humuhumuu tunajifunzaaaaa
Unatype kala udzareya Trilly🤣🤣🤣
❤❤❤❤❤❤❤
Iko sawa sana ,hata mimi napenda kuigiza nimefanya kuigiza toka primary broo sijui km huwa khna chance,plz
😂😂😂😂kazi nzuri
Kazi nzuri..Nipewe likes ngapi kwa hii comment ndio utoe nyengine?
🎉❤
Congrats daa kache na cast wengine big up sana❤ from Qatar 🇶🇦 wala sioni aibu kupeperesha beblndera ya 🇰🇪 #miji9 na kama hamtanipa hug nyote mlambe na shetani kwenye uso kwa roho zenu mbaya 😂😂😂
Qatar too Kenya Big up cast wote tunafatilia
chikwehu nichidzo ❤❤❤
Good job wakwehu nyote 🎉🎉🎉🎉 ,ila Mikahunda mnafiki sana 😂😂😂😂😂😂😂.
Sasa mtu unaview na haulike,, gonga like ndio ifikiie watu wengi jamani😢❤
Kazi nzuri sana lkn fupi tupe nyengne bc 🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana
Pongezi Kwenu wote walio cheza. Mmefanya kazi nzuri sana🔥🔥🔥👏👏👏👏👏
Congratulations my dear sister I'm proud of you BAMBA and Kenya is proud of you 👏👏 keep on growing tuko pamoja
❤😊
Nzuri❤
Wow....natamani Mimi pia niwajoin coz I love acting so much
Kache kazi nzuri sana na team yote but.
1.sijaona hatua za kiafya ama matibabu na mabwanazako kuhusu tatizo la uzazi mlizochukua.
2. Sijaona ushauri wa mamako mzazi kuhusu tatizo hili.
3. Je tamaduni zenu (kimanye kigiryama)
4. Ushauri wa dini yenu.
Lazima uonyeshe ulivyo hangaika ulipogundua unatatizo la uzazi. Thank you so much for this script.
Point brooo🎉
Point bt movie ndio mwenzo yaanzaa @@gas9561
Muvi mbidzo kamare...inafaa ikale inenderera mpaka upate mwana uaibishe womarokweha tasa....
Kazi safi sana next nataka kuona mzee wa kwani ninininininiiiiiiiii awe ndani ❤❤❤❤🎉
Tasa🎉🎉pongezi sana Kwa kazi nzuri Mungu azidi kuwabariki 🙏🙏🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯
❤❤
Twangojea part 2...nice movie...
Rubi hii movie ninzuri sana nanakuomba uendeleze waaaah
Kabisa waendeleze
Tamu sana kazi nzuri kache hongera❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hehee papakenny my schoolmate 😂🎉🎉
Good work sir❤
Oya mwangu Trilly aiseee salute sana bro umecheza kama watu mia 🎉🎉
Hii imeweza wadau vizhoo vizhoo enehu mumboze movie za risaa rimwenga enehu adzo ❤️ ukikirira Kwa comet usikire bila kungonga like uchenda mbrere vizhoo vizhoo reheni nyingine yo muvi❤🎉🎉
Walai movie iko sawa
Kutoka Kwale, Kinango, Kasemeni Duruma ndani ndani Mpaka Kilifi Kwa Ruby Kache Films ukweli mko vizuri big up xnaaah 🤝🙏🙏 Niko pamoja nanyi huku Duruma
Wow kazi mbidzo sana inamafunzo ela omanenao kiswahili manaharibu utamu
Talent zi Kilifi, kudos guys
Leteni MAUA yetu kwa kazi hiii 🎉🎉🎉
Mikahunda mbea unyamaze mtu kishe umtagaze😂😂😂 mmeweza watu wangu❤
Keep going🎉🎉🎉🎉🎉 chukua maua yako sister na wahusika wote
Like zangu kutoka kwa kaka Timasi na dada Ruby kache na waliofanikisha hili jambo❤
Kacute wehu penda sana chidada kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉
Taari movie ni kali. Nmeipenda. Lkn ata ww pia ni mrembo sana mamaa
Woooow! Movie nzuri keep going baby girl (Ruby kache)🎉🎉🎉🎉❤
Thanks for watching
Wow kazi nzur keep up wasee🎉🎉❤
Wow kazi safi sana ata nmetamani iwe yaendelea❤❤big up
Our very own,kache...so proud of you...nifugwirane amidzi
Tasa 🎉🎉 congratulation guys 👏👏 keep it up good work ❤❤
N nzuri sana pongezi sana
Hongerani sanaaa kazi mbidzo sanaaaaa😊🎉🎉🎉🎉
Wooh ii 🔥🔥unatufundisha mambo mengi sana congratulations 🎉
Kazi kuntu Sana pokeeni maua yenu 🎉🎉🔥🔥🔥🔥mbele milele
Kazi nzuri dada ❤❤
Mashallah kazi nzuri sn Rubi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nasubiri part 2
Haho henye ndugu zangu ,nawahenza mwiimwiiii taaa🥰🥰🥰🥰
Mmeweza nimejifunza kitu God bless you all you can do more better one love❤❤
Emotional Rollercoaster, I've watched it twice. Exquisite.
Kazi nzuri sana wapenzi
Good lessons here
Mambo pambeeeeeeee😊😊😊😊😊😊go goooooo girl ❤❤❤❤❤❤Wegatyourback🎉😊Giriamaaa queen 😊
movie mbidzo sana.....makosa mathithe here kungiza neno kusumba were zilazima rinenwe🙏🙏
Kazi moja safi sana...keep it up
Nice movie ❤️❤️next episode plz very interesting mashallah keep it up guys
Thanks for watching
Kazi Safi sanaaaaa....hii ni zaidi ...so happy for you all you are an inspiration
saaafiiii sanaaa Ruby kazi nzuri. hivi vitu watu wengi wanapitia ila wanaumia kitandindani.
Tamu Sana lkn fupi😢😢Keep it up ❤❤❤❤
Hongera kwa wahusika wote movie nzuri sana❤,ruby mwendelezo bac
Wow amazing 🎉🎉🎉 congratulations ❤❤❤❤
kazi nzur saana rubi
Movie iliweza sana watu wangu big up sana🔥🔥
Kaz nzuri sana endeleeni na moyo huo huo ❤❤
Keep up🎉🎉🎉
Kala mikahunda nde mtetezi wa watu hii kijijini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣i gifu up,hii movie nzuri sana
Hahahaha😅kai cute ana shombe heree nyoka waaaaa na wapenda nyotee❤❤❤
Very emotional and educative...More Grace Kache Ruby....
Lakini ye mikahunda iye🤣🤣🤣
Big up sana dada ruby hii ni kali sana aisei❤❤❤❤🎉🎉
Very impressive act,,big up guys,,
Nice one Ruby kache keep going. Mijikenda to the world 🎉 congratulations 🎉
Thank you so much 🤗
Timatsi naye ananitsesha....ati nitasa wamujeza baba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nice stuffs. You guys are going far .Congratulations and keep the fire burning .
Haswani zhomu akwehu kwa movie yenu ya mafundisho anaanza sana nyosini ❤❤❤
Hunamala muenderero dada ruby please wallah hii movie ni kali sana ❤❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera sana kwakazi nzuri mwendelezo jamani ni tamu sana❤
Congratulations Ruby and ur team, lessons to learn on this movie . If possibly we need part more of it 🥰🙏
Hongera sana ❤❤❤❤movie iko tamu
Masha Allah kazi nzur 🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana
❤❤❤❤❤amazing sanaa
Mikahunda be nyambo 😂😂😂😂😂😊
Waziii big ups daa 💪💪💪💪kazi nzur sanaaa Mungu akutangulie katka kupambana kwako In shaa Allah
Kazi nzuri sana mungu azidi kuwainua ❤❤❤
Kaz safi saana🔥🔥keep on going
Congratulations🎉
Yoooh whaagwan my people hii kaz nsaffi ..atarii kinyama I say....uhm,.Go biG 🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana ...keep it up
Shot and sweet ❤️ keep going mbele ni kuzuri 💪👏
Hii Movie ni kali sana🎉🎉🎉nimeipenda na familia yangu yote..hongereni sanaa❤❤❤❤
Kazi nzuri keep moving ❤❤
Congratulations guys 🎉 lakni hapo kwa trilly waah 🤣🤣🤣🤣🤣
❤❤❤A Good movie
Congratulations 🎉
Kazi safi kache wehu. Hongera
Movie kali sana dada Congratulations
Moto kama pasi❤,,, congratulations guys🎉more of this ❤
Thankyou
Mamamaahhh thamu sanaa🎉,malizeni hiyo movie tafadhali,tsama zhomu thaaaa
Hongera
Nice one👍, Much appreciated keep on..
Kazi safi sana rubby muhaswe🎉🎉🎉❤❤❤
Hongera sana wapenzi ❤❤❤kazi nzuri sana
Mikahunda umumbea 😂😂😂 kishe mnafiki kulambika jeri bro, nice one❤
Kwamara ya kwanza kukoment😂 nipani yo pati ya mwalim wa chama asena😂😂
😂😂😂😂
Kazi nzuri
Trilly brought me here ⭐⭐⭐⭐.... KAZI Safi ndugu zangu 🔥😂🤣🤣
Karibu sana
Kazi Nzuri wa kwetu lkn mikahunda umumbea 😂😂😂😂😂
Congratulations 🎉🎉iendelee dadaa
Haho ha we tasa dzire na mche mngine anashombe he nyoka ela kusumba mrichire😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu mino😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂imaaaaaaa
𝑆𝑎𝑚𝑏𝑟 𝑢𝑛𝑎𝑚𝑢𝑒𝑙𝑤𝑎 𝐼𝑚𝑎𝑑𝑒 𝑏𝑜𝑦😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tafadhali Ruby..naomba hii episode niweze kudowload ju ya bundle itakua rahisi kuliko ku watch na data ....🙏
Kazi safiii sana