MUNGU afichuwa siri: Ziwa Tanganyika,Mito bado zita sababisha Vifo vingi Uvira, (kwenye Mkutano)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Uvira

ความคิดเห็น • 42

  • @ivette510
    @ivette510 2 ปีที่แล้ว

    Umenibariki sana muchungaji Mungu akubariki sana

  • @workwithmadeleine8623
    @workwithmadeleine8623 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana kwa mafundisho mazuri

  • @RebeccaMushosho-md4et
    @RebeccaMushosho-md4et 6 หลายเดือนก่อน

    Mubarikiwe sana

  • @ivette510
    @ivette510 2 ปีที่แล้ว

    Umenibariki sana mchungaji

  • @germainealeose9847
    @germainealeose9847 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen amen🙇‍♀️🙏 Mungu wetu uhishiye juu akiahidi na unatimiza Jina lako lipewe sifa 🙌Bwana wa majeshi

  • @mwajumasakina9599
    @mwajumasakina9599 3 ปีที่แล้ว +3

    Amina amina tunabarikiwa na hayo maombi tukiwa inchi za inje asanteni sana na Mwenyezi Mungu azidi kuwajaza na nguvu za Roho Mtakatifu

  • @ivette510
    @ivette510 2 ปีที่แล้ว

    Mubariwe sana watu wa Mungu

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 2 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah hallelujah 🔥 nitabeba, natamani ningekua mmoja wenu.

  • @agnesn9947
    @agnesn9947 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 🙏 🙏 Hallelujah maisha yangu yote nita mupatia BWANA nisi aibike milele na milele Amen Amen 🙏 🙌 👏 ❤️ 💖

  • @amisarurangira5268
    @amisarurangira5268 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen amen amen amen Hallelujah hallelujah hallelujah Amen.

  • @masterjimmy8295
    @masterjimmy8295 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu aliye waita awajaze nguvu tena

  • @shantaleasanimatu6682
    @shantaleasanimatu6682 ปีที่แล้ว

    Amena sana

  • @mwajumasakina9599
    @mwajumasakina9599 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu ,kumbuka rehema kwa ajili ya inchi yetu congo utusamehe wa congomani eeh Bwana mwenye nguvu zote

  • @anjelaninaabwe5447
    @anjelaninaabwe5447 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen 🙏

  • @FaFa-e8y
    @FaFa-e8y 10 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙌🙏

  • @johnlm8599
    @johnlm8599 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wetu mkubwa sana...!
    Mambo yote yako sahii,ila iyo ya kupata nafasi ya ku abudia ni ya mchungaji aliyo ya tiya ndani ya Uyo dada wa ndevu...,Mungu akisema wana adamu wana tambuwa ni yeye...
    Mungu wetu atu hurumie!

  • @MadinaM-tm9oj
    @MadinaM-tm9oj ปีที่แล้ว

    Amen

  • @tatualmasi4399
    @tatualmasi4399 2 ปีที่แล้ว

    Kombowa akilizi zetu Bwana, kombowa inchi yetu.

  • @clintonjoas9020
    @clintonjoas9020 2 ปีที่แล้ว

    Hili swala la roho mtakatifu binafsi sijawahili likubali naona Kama wanazungumza na mizimu. Hizi mambo nikama Toka mwanzo zinajihusisha na maswala ya mizimu.

  • @cocogenie542
    @cocogenie542 3 ปีที่แล้ว

    Merci saana

  • @ivette510
    @ivette510 2 ปีที่แล้ว

    Maubiri ikobutamu

  • @florencekiza7436
    @florencekiza7436 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🏽

  • @furahaabdallah1377
    @furahaabdallah1377 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU awatie nguvu ktk uduma iyo

  • @kizungugabriel3942
    @kizungugabriel3942 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo unabii sijawai kuikubali.
    Mbona mitoni hiyo huharibu nyumba za watu maskini tena bila hatia.munafuga mizimu na kutoa kafara watu kupitia mitoni ili mupate ma mlaka kutoka kwa shetani alafu eti ni pigo la MUNGU.mbona hamupigi wanaochinja watu na wakuu wanaoharibu nchi.tumewagundua tangu zamani.

  • @adakwibe4035
    @adakwibe4035 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen🙏

  • @louisejeanne1760
    @louisejeanne1760 2 ปีที่แล้ว +1

    Ninapoitazama hii video najiona kama nipo nyumbani tu kabisa 😢🙏

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 2 ปีที่แล้ว

    Baba wa ki Roho ni Kristo pekee,Biblia inakataza kumuita mtu Baba. Paul alisema Mimi ni baba awapendaye wanae,ila hakusema aitwe baba

  • @paulfilskilegalega6270
    @paulfilskilegalega6270 3 ปีที่แล้ว

    Unabii ya vye visha tokeya

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 2 ปีที่แล้ว +1

    MASIKINII HAWA BINAADAM NAWAONEA HURUMA KWA WANAVYO JITESA SIJUWI KUTOKUWA NA AKILII AUU NDIO SHIDA YA MAISHAAA 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ TOKENI HUKOO JAMANII KWENYE UPOTOFU WA KISHEYTAANI NJOONI KWENYE DINI YA HAKI NA YAAMAANI NA UTULIFU YA UISLAAM DAAH MWENYEEZI MUNGU ATAWAONGOWA NA KUWAONGOZA KATIKA NJIA ILIYO NYOOKA YA ALLAAH SUBHANNA WATAALA AAMENA🙏🙏🙏

    • @aoman5214
      @aoman5214 2 ปีที่แล้ว +3

      Hakuna dini isiyokua na haki kila dini ina haki abudu unachokijua usichokijua waachie wenyew,huo uislam wenyewe ndio unaongoza kufanya vitu vya ajabu na visivyo na maan kuuwa watu wasiokua na hatua kujitoa muhanga na wote ni uislam dini inayoua bila kujali utu kisa sheria zisizokua na maan nakwambia usipobadili dini na kumkiri Yesu kuwa bwana na mwokozi wako bado utakua uko gizani Sana maan uislam umefumbwa macho au umewekwa kitambaa usoni usione yaliyombele yako Karibu Kwa Kristo hutoaibika ndg yangu Mungu akubariki usikashfu dini ya mwenzio tunakupenda Sana ♥️♥️♥️♥️

    • @rayaali7551
      @rayaali7551 2 ปีที่แล้ว

      @@aoman5214 KWANZA NNACHO KUJUULISHA UISLAAM SIO WENYE HAYOO MATENDO ULIYO YATAJA WENYE MA TENDO NI WAISLAAM SIO UISLAAM UPO HAPOOO? NAFIKIRI UJUWE VITU VIWILI TOFAUTI KUNA UISLAAM NI DINI YENYEWEE NA KUWA WAISLAAM AMBAO NI BINAADAM TUU KAMA WENGINEE NA UJUWEE KUNA BINAADAM PIA WASIO KUWA NA UBINAADAMM NDIO HAOO ULIO WAELEZEA WEWE KWAHIYOO BINAADAM KAMA HAOO WAPO KIILA MAHALA NA WAPO KIILA KABILA NA WAPO KIILA DINI TOFAUTII KUNA WANAO FUWATA MARLEKEZO YA DINII NA KUNA WANAOFUWATA NJIA ZA KISHEYTAAN SASA HAO ULIO WATAJA WEE NDIO KAMA HAO HAPO KWAKO ULIONAOO SAWAA SASA MIE NAKWAMBIA HAKUNA DINI YA HAKI NA UKWELI ISIPOKUWA NI YA UISLAAM ACHANA NA DINI ZA KISHETAANI HIZO ZA KUUNDWA UNDWA NA MASHEYTAAN WACHANA NA UZUSHI WA KISHEYTAANI WACHANA NA DINI ZA KITAPELI TAPELI ZA KUIBIANA NA KUPACHIKANA UNABII WA UONGO MANABII WAMESHAPITA TULIOBAKIA NI WAFUWASI TUU WA MANABII WACHA KUZUGA ZUGA KWA KUTAFUTA MASLAAHI YA KIDUNIA AATI YESU MUOKOZI WAKO UNAFANYA MAMBO YA USHIRIKINA HALAFU YESU AKUOKOWEE KUIBA UIBE WEWE ZINAA UFANYE WEEEE KUUWAA UUWE WEWE KISHA DHAMBI ABEBE YESUU HIZO NI LAANA ZAKO MWENYEWE NA MZIGO WA LAANA UTAUBEBA MWENYEWR USIMSINGIZIE YESU YESU HAKULAANIKA YESU ALIKUJA KUFUNDISHA YANAYO MPENDEZA MUNGU NA KUKATAZA YANAYO MCHUKIZA MUNGU NA KUKEMEA MAOVU HAKUJA KUBEBA ZAMBI ZA MTU NA TENAA ALIKUJA KWA WANA WA ESRAEIL KATIKA NYUMBA YA WAESRAEIL SIO KWA MIMI NA WEE NA WALAA SIO KWA WATANZANIA UPOOOO AUU WAKENYA WALAA UGANDA SAWAA WACHENI NA WAKATI ALIPOKUWA ANAPAA KURUDI KWA ALIE MUUMBA WANAFUNZI WAKE WALIMUULIZA UNAKWENDA UNATUWACHIA NANIII ?? AKAWAJIBUUU YUKO ATAKAE KUJA NYUMAYANGU NA ATAKUJA KWA WATU WOOTEE WA ULIMWENGUNI NA ATAITWAA MUHAMMED NA HUYO NDIE ATAKAE KUWA WAMWISHOO MA MUMFUWATE KAMA MULIVYO NIFUWATA MIMII
      UPO HAPOO SASA WACHA KUMSINGIZIA YESU NA KUPOTOSHA WATU KWA KUCHUKUWA SADAKA ZA MASIKINI ZAMUNGU UKAENDA KUJITAJIRISHA NA MAISHA YAKO SAWAAAAA NAKUKARIBISHA KATIKA DINI YA HAKII NA YA KWRLI YA UISLAAM KARIBU SANA

    • @innocentbaraka7609
      @innocentbaraka7609 2 ปีที่แล้ว

      Huyu muislam Mungu amurehemu kwa sababu hata kusema uongo hawaogopi!.
      Angaliya ambawo waliyo kula n'a Yesu Kristo , wakatembea n'a Yesu Kristo jintsi walivyo ambiwa n'a Bwana wetu Yesu Kristo kuendelesha habari jema!.
      Luka 24:46
      Akawaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu;
      Luka 24:47
      na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanza tangu Yerusalemu.
      Luka 24:48
      Nanyi ndinyi mashahidi wa mambo haya.
      Luka 24:49
      Na tazama, nawaletea juu yenu ahadi ya Baba yangu; lakini kaeni humu mjini, hata mvikwe uwezo utokao juu.
      Ahadi ya Mungu Baba njo gani? : Yohana 14:16
      Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele;
      Yohana 14:17
      ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye atakuwa ndani yenu.
      Sikiliza vizuri wewe (mupagani) wa kiislamu na tena musema uongo , Wakati Yesu Kristo ana ahidi atakaye kuja baada Yake kuenda alisema kwamba :
      1. Ni ambaye ulimwengu hauezi ukamupokea (kama vile ni wapotevu wakiislm).
      2.Hawezi kutazamwa nanyi wala hamuwezi kumutambuwa!.
      3. Sisi tunamutambuwa kwa maana anakaa ndani yetu!.
      Sasa wewe uko natuletea eti Yesu Kristo alisema juu ya Muhammad , je! , Muhammad anakaa ndani ya watu! , Je! , Waliyo wa wakati ya Muhammad hawakula naye!? , Hawakumuona? Lakini amabacho Yesu Kristo anasema kwamba itakuja baada Yake hauezi kuiona wewe kafiri wa kiislamu muongo wewe!.
      Nikisema kafiri sijakutusi kwa sababu mulituiga Sisi kwa neno hilo! , Kafiri ni mutu asiye mwamini Yesu Kristo ! , Andiko: Yuda 1:4
      Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.
      Kwa hiyo wayo waliyo tembea n'a Yesu Kristo sikiliza agizo walilolimilisha kutoka kwake: 1 Petro 2:24
      Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa.
      1 Petro 2:25
      Kwa maana mlikuwa mnapotea kama kondoo; lakini sasa mmemrudia Mchungaji na Mwangalizi wa roho zenu.
      Kama huitaji kumupokea Yesu Kristo wewe ni motoni , ndani ya gehena.
      Yohana 8:51
      Amin, amin, nawaambia, Mtu akilishika neno langu, hataona mauti milele.
      Sikiya sauti ya Yesu Kristo usipate mauti wewe mwanadamu: Yohana 5:25
      Amin, amin, nawaambia, Saa inakuja, na sasa ipo, wafu watakapoisikia sauti ya Mwana wa Mungu, na wale waisikiao watakuwa hai.
      Yohana 5:26
      Maana kama vile Baba alivyo na uzima nafsini mwake, vivyo hivyo alimpa na Mwana kuwa na uzima nafsini mwake.
      Yohana 5:27
      Naye akampa amri ya kufanya hukumu kwa sababu ni Mwana wa Adamu.
      Yohana 5:28
      Msistaajabie maneno hayo; kwa maana saa yaja, ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake.
      Yohana 5:29
      Nao watatoka; wale waliofanya mema kwa ufufuo wa uzima, na wale waliotenda mabaya kwa ufufuo wa hukumu.

    • @mwatumuomari369
      @mwatumuomari369 2 ปีที่แล้ว

      Kama wewe umepotea usitake wengine wapotehe wewe ndo wakutoka huko uliko na kumkiri YESU KRISTO ni Bwana na mwokozi wa maisha yako

    • @ivette510
      @ivette510 2 ปีที่แล้ว

      Pole sana weye unasema wenzako wanapotea ama weye njounapotea kabisa tena ukondani Yashimo njeusi kwelikweli

  • @kahoribonga9280
    @kahoribonga9280 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen

  • @princessmosha3998
    @princessmosha3998 3 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 🔥

  • @anoodalalwi2658
    @anoodalalwi2658 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @yamungushomari4323
    @yamungushomari4323 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @rizikizakaria866
    @rizikizakaria866 2 ปีที่แล้ว

    Amen