"Walisema Profesa Jay Ana Ukimwi | Ilinitesa Sana"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ต.ค. 2023
  • Mke wa Profesa Jay akifunguka kuhusu uzushi uliotokea juu ya ugonjwa wa Profesa Jay #JayAnakuzimia

ความคิดเห็น • 13

  • @abelchacha5977
    @abelchacha5977 6 หลายเดือนก่อน

    Mu gu anawapenda watu wake. Prof. Ni mtu mzuri sana na Mungu amempa mke mzuri sana. Mungu awabariki sana nawapenda sana. Wanawake wenye akili wajifunze kutoka kwako.

  • @SamsonMakunja-eo4xf
    @SamsonMakunja-eo4xf 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yuko vizur Sana very smart

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 7 หลายเดือนก่อน +3

    Si mnakurupuka mnakimbilia wenye makalio makubwa

  • @user-xn8ei2sq9y
    @user-xn8ei2sq9y 8 หลายเดือนก่อน +3

    kumbe wanawake wapo bado big up shem I'm proud of you

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 8 หลายเดือนก่อน +2

      Wapo ila huwapati kidimbwi wala Instagram

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 7 หลายเดือนก่อน

      Tupo wewe, hata mimi nilimwuuguza mume wangu mpaka akanifia,

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 7 หลายเดือนก่อน

      @@judyngowi391 Mungu akulinde

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa ndio wanawake wa kuoa, tatizo wanaume mnapenda wale wakaa uchi, au wenye makalio makubwa

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 8 หลายเดือนก่อน +1

    Super super woman

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 8 หลายเดือนก่อน +2

    Najua hakuna mwana dam alie kamilika ila huyu shemeji kichwa yake imetulia sana utaona hata anavyo jibu maswali

  • @muhsiniamiri9310
    @muhsiniamiri9310 8 หลายเดือนก่อน +2

    prof jizo kapat mwanamke mzur na shupavu na anaakil San wanaume Kuna chakujifnza brain ni muhm

  • @JamelSimtengu-lo5dc
    @JamelSimtengu-lo5dc 7 หลายเดือนก่อน +1

    Saf San

  • @abelchacha5977
    @abelchacha5977 6 หลายเดือนก่อน

    Walikua wapuuzi tu, wapuuze.