Hizi rangi zinabadilika kulingana na asilimia za utekelezaji zikiwa chache sana na priority ni kubwa. Hivyo nyekundu inakuwa duni njano wastani na green nzuri
@@JafariKizundu anaweza kubadili kwenye quantitative na qualitative alizo tengeneza mbele yake Kuna kialama Kiko kama pen abonyeze hapo Kisha abadilishe alipo kosea
Kiongozi tunaomba darasa la namna ya kutatua tatizo la baadhi batani kutokuonekana kwenye akaunti Hususani actio (:) hii kuna wakati inasumbua hasa sisi tunaotumia simu
Kama unatumia google chrome upande wa kulia juu Kuna kisehemu ukikigisa inafunguka sidebar unadenda kwenye desktop site una check simu inakuwa inaonesha website Kwa mfumo wa computer
Nice bro,nimekuelewa sana🙏
Kazi nzuri kiongozi
Naomba msaada wako boss tumekwama kabisa hatufanyi chochote
Umekwama wap??
Na kama umerudushiwa rollback bila ya maneno yoyote utajuaje Cha kurekebisha?au ninatakiwa nimpigie boss wangu nimuulize?
Kama hajaweka inabidi akuambie Ili ujue Cha kurekebisha Kisha unamrudishia
Naomba maelekezo kuhusu marekebisho kama supervisor amekosea start date je tufanyeje???
Nenda palepale ulipo weke muda mara ya kwanza yaani kwenye subtask iliyokosewa Gusa vidoti Kisha set timeframe badili muda Kisha hifadhi (save ) tena
Asante kwa maeleezo
Na kukiwa na rangi ya kijani Ina maana Gani, rangi ya njano na nyekundu pia Zina maanisha nini?
Hizi rangi zinabadilika kulingana na asilimia za utekelezaji zikiwa chache sana na priority ni kubwa. Hivyo nyekundu inakuwa duni njano wastani na green nzuri
Asante saana nimeelewa kiongoziii
Vipi supervisor akiwa amekosea kuweka asilimia za qualitative na quantitative halafu amesha approve tunafanyaje hapo mkuu
Hizo asilimia jumla zilifika 100
Zmefika 100, ila cyo kule kwenye weight ni huku kwenye indicators, qualitative na quantitative ambapo maelekezo ni lazima iwe 30 kwa 70.
@@JafariKizundu anaweza kubadili kwenye quantitative na qualitative alizo tengeneza mbele yake Kuna kialama Kiko kama pen abonyeze hapo Kisha abadilishe alipo kosea
@@chande_sudi sawa mkuu kisha ana approve tena au ina baki kama ilivyo
Na vip kama task na sub task zikiwa zimekosewa na amesha approve au inawezekana ku roll back
Kiongozi tunaomba darasa la namna ya kutatua tatizo la baadhi batani kutokuonekana kwenye akaunti
Hususani actio (:) hii kuna wakati inasumbua hasa sisi tunaotumia simu
Kama unatumia google chrome upande wa kulia juu Kuna kisehemu ukikigisa inafunguka sidebar unadenda kwenye desktop site una check simu inakuwa inaonesha website Kwa mfumo wa computer
Na kwenye rollback uliyorudishiwa kama Haina comment kutoka kwa mkuu wako utajuaje urekebishe nini? Au nikiona hivyo ninampigia simu anieleze?
Mkuu alitaka kurollback lazima aweke comment mfumo unamlazimisha kufanya hivyo
Ok
Naomba msaada wako boss tumekwama kabisa hatufanyi chochote
Umekwama wap?
Naomba msaada wako boss tumekwama kabisa hatufanyi chochote
Umekwama wapi