Asante Sana Kwa ujumbe huu wa kuombea future zetu na familia zetu. Mungu akubariki sana. Napenda kusikiliza mafundisho yanayoleta mabadiriko ya nafsi. Amen
Watu wa Mungu mavazi ya namna ya kidunia, mbingu ni ya watakatifu, Tunahitaji kujikana nafsi, kuingia gharama ya kuacha UDUNIA mna baba mwenye maono ya Mungu lakini akina mama mapambano na mavazi ya makwapa nje visketi vifup, mawivingi na marasta, wapendwa utakatifu ni. mwili na roho, tusijifariji kwakumtazama fulani, katika dunia ya kati za Sodoma na Gomorrah walipona wangapi? nyakati za Nuhu? TUBADILIKE WATU WA MUNGU ILI TUMUONE YESU. 🌹MARANATHA🌹
wapi like za kijana mwenzetu anaetuimarisha kiimani namna hii ah!
Hii mafunzo yanifanya najiskia kupaa penda weewe sana mutumishi wa Mungu God bless you big na akuongezee mariifa
Akika kilanaposikia maombi yako kunakitu ninachokiongeza maishani mwangu Asante Sana mtutumishi wa Mungu
Am now 3 weeks since I started following you servant of God 🙏 infact am born again and let me assure lord I will never give up any more Amen Amen
KUUMBE BARAKA ZANGU ZIIIPO🤷♀️💪💪💃💃NAKAZANA NA MAOMBI ILI KUZIFATA ZILIPO KTK JINA LA YESU🔥🤲🔥🤲I RECEIVE🤲🤲🤲
Ufunuo wa hajabu huu mtumishi wa Mungu ", ..... More grace Man of God
This is new, yu tube doing me good, I learn every day
I am grateful, Thank you Jesus for this amazing grace! Be Blessed abundantly chief apostle Mtalemwa Bushiri
Ahsante kunijenga muda mwingi mtumishi Mungu akubariki sana.nakuelewa sana.
Mhhhh nabarikiwa na sana namtumishi was mungu huyu mungu azidi kukukuza zaidi na zaidi asante
This is a new knowledge to me for real, asante chief kwa haya madini.
Nimekuelewa sana mchungaji Mungu akuinue zaidi na zaidi ili uzidi kutufundisha, 🙌🙌🇰🇪
Amen. Learning more here... God bless you Man of God. Revelation of the word of God in this platform is👌👌👌
I Understand you Chief Apostle, Loud and Clear.🇹🇿
Ulinifungua ufahamu nilikuwa sijui kabissaa hii Man of God, Mungu azidi kukuinua
ameeen
Omg what took me so long to know this man of God
Ahsante Chief kwa SoMo hili nimeelewa..... Ainuliwe Mungu juu mbinguni watching from Comoro
Amen,injiri yako imeniinua kiroho,niko kenya nabarikiwa
Mungu wa mbinguni aendelee kukutunza na kukubariki hakika nafsi yngu inafarijika Sana na mafundisho yako mtumishi barikiwa Sana baba.
I never regret to discover your Chanel... God bless you man of God
🤣🤣🤣 Areally love apostle kujeeni na gahawa mkipigana nami naendelea kunywaa waaah I'm more blessed walah
🤣🤣🤣🙏🙏
How wonderful teachings indeed! God bless u ABUNDANTLY.
Halleluyah napokea kwa jina la yesu,,,, mbarikiwa mutumishi wa mungu🙏🙏🙏
Oh my God Mungu nakushukuru kwa Revelation unazoachilia juu ya Mtoto wako Apostle God bless you my eyes are opened on how to pray.
Umenisaidia sana apostle kwa mafundisho yako Mungu hakuzindishie
Kwa kweli napokea mafundisho mazur jamm.asante Yesu kwa kumtumia mtumishi wk
Amen Chief naomba haya mafunuo makubwa Kama haya ya mlezi wangu 🙏🙏🙏
You are really one of my pastors...Samuel from Goma DRC
Asante Sana Kwa ujumbe huu wa kuombea future zetu na familia zetu. Mungu akubariki sana. Napenda kusikiliza mafundisho yanayoleta mabadiriko ya nafsi. Amen
I was waiting for this
Amen God bless his words, May you live long life daddy in christ name ❤🙏
Asante kwa mafundisho mazuri nabarikiwa sana
Mungu na azidi kukutenda mema mtumishi,mimi natoka kenya lakini napenda sana mafudisho yako,unanielimisha sana
Ameni nimepata ufunuo mkubwa sana mungu akuweke❤ sana...
I receive in Jesus name niombe bila kukoma Amen Amen from kenya
Kweli kabisa maombi niyaleyale yanayotuokoa halizote ubarikiwe sana
Safisana mtu wa Mungu hongela kwa utumishi.
Wow karibuni mkuje kwa baraka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu abari mutumichi
Nitaendeleya kuomba juu ya famille yangu . Chentani ana tuchezeya sana
Watu wa Mungu mavazi ya namna ya kidunia, mbingu ni ya watakatifu, Tunahitaji kujikana nafsi, kuingia gharama ya kuacha UDUNIA mna baba mwenye maono ya Mungu lakini akina mama mapambano na mavazi ya makwapa nje visketi vifup, mawivingi na marasta, wapendwa utakatifu ni. mwili na roho, tusijifariji kwakumtazama fulani, katika dunia ya kati za Sodoma na Gomorrah walipona wangapi? nyakati za Nuhu? TUBADILIKE WATU WA MUNGU ILI TUMUONE YESU.
🌹MARANATHA🌹
Mungu akutunze my Chief
Amenn napenda mafundisho yako sanaaa
This is so wonderful be blessed man of God.
Amen my prayer of last year will help me with my trouble of this year
Ubarikiwe chifu
mungu akupe umri mrefu upate kuona shuuda za ushindi
U have blessed me too much following man of God powerful teachings wow wowowo l will be remain tuned in jesus name AMEN&AMEN
Nakuelewa sana🙏
Baba MUNGU akulinde kwa JINA LA YESU
Kumbe baraka zangu zipo. Maombi nitakayoomba Leo yatanipeleka na kuniposition mahali pa baraka zangu kwa Jina la Yesu
Stella , bariwa Sana mutumishi nimebarikiwa sanal
Mtumishi wa mungu wetu akuongezeye ufunuo
So powerful be blessed man of God 🙏🙏
BE BLESSED.
Amen & amen
Amen amen amen
Mtumishi wa mungu, nashukulu kwa mafundisho take,
Mtumishi wa mungu nashukulu kwa mafundisho yako, Natoka Kenya isiolo .
Shukurani kwa Neno lako mtumshi napenda sana mafundisho unanifunza vitu vingi Nina iman ujumbe wako utanibariki mwaka huu kwa jina la Yesu
Amna brother
🙏🙏🙏
Asante sana Chief kwa mafunuo haya makubwa. 🙏
Asante man of God
Ubarikiwe 🙏
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.nimejifunza sana
Asante sana baba Mimi ni mmbarikiwa
Hallelujah to Jesus nimepokea kwa jina la yesu
Amen Apostle I receive it ❤️❤️
Amen
Ameen man of god
Amina kubwaaa
Ameen mtumishi Asante
Napokea kusimama kwa jina la YESU KRISTO
I'm blessed.
Amina
Ameen
Amina baba
Asante sana Apostle. Hii ilinibariki na kunifundisha jambo jipya.
Asenta kwa.mafundisho apostle
Amen Apostle
Be blessed
Pumbavu shetani Lionel!
God is great
Ameen kubwa saana mtumish
Asante Na tunashukulu kwamafundisho yaliyo Barikiwa nakutia moyo namazuri Ila samaan mafundisho haya tofauti namtandaoni tunayapata wap?
Amen dad
AMEN 🙏
Amen👏👏👏
Nmependa sana ulivofundisha how to invest in prayers!
Hallelujah 🙏💕
Amina mtumishi wa Mungu
☝
Ameeeeen
PRAYERS! LOCATE ME TO MY DESTINY💥🙌💥🙌
❤❤❤
Napokea katika Jina la Yesu
Amen.
Amen🙏
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
❤❤❤❤❤
Sija jutia MB zangu nikiwa na kufuatilia katika mitandaoni, Mimi nipo DRC.
Mimi ni amina wa Kenya
🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏 🙏 🙏
Amen baba,nimeshazipokea baraka zangu ,madhabau Yako inajibu ndoa yangu imeponea madhabau hii ubarikiwe baba