Great teachings Bishop. Mimi nliota niliota nikiokota pesa aina ya noti za mia moja..na kila nikiokota Nlkuwa napata ziko mbili mbili ndani.alaf tena nkaona mtu amekuja mbio akitaka kuninyang'anya lakini sikumpatia.
Niliota my husband akiwa na chain na io chain alikuwa amepelewa na rafiki yake kuichukua.alafu ilikuwa nikama ndio mungu wake.. please i need your number
Questions keep on coming I will be addressing all your queries
Great teachings Bishop.
Mimi nliota niliota nikiokota pesa aina ya noti za mia moja..na kila nikiokota
Nlkuwa napata ziko mbili mbili ndani.alaf tena nkaona mtu amekuja mbio akitaka kuninyang'anya lakini sikumpatia.
Hello pastor mi naota bwanangu akininyonga
Mimi niliota najota Maji na shangazi yangu na mamangu mkubwa na wote walikufa hiyo inamanisha Nini
More revelation Bishop
Niliota na president more than 4 times....help me with your no juzi niliota na siielewi
Ukiota unaomba na kukemea mapepo,,
Amen, na cjuhi nipate aje contacts za huyu pastor.
Pastor mi huwa naota nikichapa mtoto wangu first born na huwa inanjirundia Mara mingi
Sijui nipate aje number ya pastor anisaidie kutafsiri ndoto zangu
Niko nayo
Niliota my husband akiwa na chain na io chain alikuwa amepelewa na rafiki yake kuichukua.alafu ilikuwa nikama ndio mungu wake.. please i need your number