ความคิดเห็น •

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 4 ปีที่แล้ว +1

    Magufur baba laooooooooooooo
    5 teynaaaaa👌👌👌👌👌👌👌👌

  • @theopisterrichard55
    @theopisterrichard55 4 ปีที่แล้ว +10

    Ukishindwa pia Simama uiambie Dunia kana umeshindwa

    • @Wastara001
      @Wastara001 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @samuelmanunu1543
    @samuelmanunu1543 4 ปีที่แล้ว +4

    Jaman wananchi watanzania wenzangu chonde chonde tuliendeni aman yetu jiulizen tutakwenda wapi na lisu mambo yakibadilika? Lugha nzuri angalau ya kutupa moyo iko wapi? Mimi mbn naona kama huyu mtu mapema saana atatugeuka? Nan atakuwa mshauri wake ndugu zangu? Ina maana tumechoka na amani tuliyonayo? Simu zenu haziwezi kuangalia mambo yaliyoko Libya Leo? Sudan? Iraq? Angalieni muamue vizuri ndugu zangu mnao muda bado kidogo!!! God lead us plz, lead us to where safety will be higher than we can think and see! Blessed be to you all! Thank you

    • @bantuisolele2543
      @bantuisolele2543 4 ปีที่แล้ว +1

      Kaka Wala usihofu Mungu atamdhalilisha hivi Kuna mtz wa kuingia road wakati mlio wa baruti tu watu hawakai halafu muda huo kumbuka nchi inakuwa chini ya jehi sehemu zote Sasa huyo atayeingia road atajua mwenyewe akivunjika maana hao sio polisi hawana huruma hata chembe

  • @abdullahsultani4377
    @abdullahsultani4377 4 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana lissu kunamajinga yaccm yamecoment upumbavu coz hayajielewi ila kitaeleweka nwaka huu

  • @AB-wm1zt
    @AB-wm1zt 4 ปีที่แล้ว +2

    Lisu ujue tunamuomba Mungu kila siku juu ya nchi ya Tanzania, damu yawatanzania itakayomwagika kupitia amri yako Ujue utaadhibiwa na Mungu wetu aliyehai.Hao wanaokushangilia unawadanganya sana wataelewa baadaye nia yako hasi juu yao.nakuona ukiwa mtanzania wa kwanza kupelekwa ze Hague

  • @deusnzelan8413
    @deusnzelan8413 4 ปีที่แล้ว +3

    Mwanangu alichagua kusoma Sheria kumbe hakukosea nafurahi sana

  • @nozgeniuz1812
    @nozgeniuz1812 4 ปีที่แล้ว +2

    Wanaomsikilza tundulisu ni wendawazimu wote

  • @jumanina7103
    @jumanina7103 4 ปีที่แล้ว +17

    kumchagua lisu kuwa raisi ni sawa na kumuozesha mtoto wa kiume ambae hajabalehe huyo mwanamke atapata taabu zote unazozijua na usizozijua duniani

  • @josephgadau8913
    @josephgadau8913 4 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante Rais wangu Lisu

  • @festagaudence3803
    @festagaudence3803 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aliyetushindia nyakati za corona hatolala wakati huu

  • @titodaudi8949
    @titodaudi8949 4 ปีที่แล้ว +23

    Police chukueni passports zake mapema ili siku anatuingiza barabarani kikinuka tuwe wote,sio akiona kimenuka yeye akimbie kama 2005 alivyofanya maalim seif.
    Wanahimiza maandamano wao na familia zao wanakwea pipa.
    Alafu wanaanza kuwaangalia mnavyopigwa na police kupitia TV.

  • @amlanniamimuafricatz5745
    @amlanniamimuafricatz5745 4 ปีที่แล้ว +1

    Nitaungana nanyi kwenye maandamano kwa masharti yafuatayo:-
    1. Msitari wa mbele muwepo nyinyi wenyewe viongozi wa upinzani.
    2. Familia zenu ziwe msitari wa pili baada ya nyinyi hasa hasa watoto wenu wa kuwazaa na wake zenu, wazazi wenu, ndugu zenu, marafiki na jamaa.
    3. Tuwe tunaandamana kutokana na serikali kushindwa kutoa huduma za kijamii kama afya, barabara, shule, kulipa watumishi na mengine yanayofanana na hayo na isiwe tu kwa sababu nyinyi hamkupata kura za kuwawezesha kurejea bungeni kukaa kwenye viyoyozi na kutembelea VXR.
    4. Muwe tayari kulisha familia zetu wakati tuko kwenye maandamano yenu maana mnatetea nafasi zenu za kurejea bungeni kula kiulaini.
    Asanteni waheshimiwa

  • @robinsonkombe898
    @robinsonkombe898 4 ปีที่แล้ว +8

    Akili sio nzr

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 4 ปีที่แล้ว +18

    Utakuchechemsha zaidi baada ya Octoba 28. Subiri utajua kama Nchi hii kuna Wanaume na Wanawake chupavu.

    • @kijaolekwa5353
      @kijaolekwa5353 4 ปีที่แล้ว

      Subilia mziki unakuja hatutawaliwi kibabe

    • @fredreckmwakalinga3475
      @fredreckmwakalinga3475 4 ปีที่แล้ว

      Kwa mwenye akili timamu Lissu ndo yeye

    • @myself4128
      @myself4128 4 ปีที่แล้ว

      Hakuna wanaume wala nini wote mmezoea kudhulumiwa tu,,wabongo waoga kunguru tupu...utaongozwaje na chama kimoja milele?

    • @barikimomadi4210
      @barikimomadi4210 4 ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏

  • @salomemasumbuko4867
    @salomemasumbuko4867 4 ปีที่แล้ว +17

    Unaiambia dunia kwani uchaguzi wa dunia huu kalale mbele sema hutalala siohatutalala

    • @eliabutitus6182
      @eliabutitus6182 4 ปีที่แล้ว

      Unaakiliii wewe

    • @salomemasumbuko4867
      @salomemasumbuko4867 4 ปีที่แล้ว

      @@eliabutitus6182 wewe ulie na akili upangwe barabaran uone utakavyofanywa mwenzio hayupo

    • @paulosolo9465
      @paulosolo9465 4 ปีที่แล้ว

      Huyu anaonekana anagombea urais wa dunia sio wa Tanzania

    • @paulosolo9465
      @paulosolo9465 4 ปีที่แล้ว

      Kelele za chura hizo

    • @salomemasumbuko4867
      @salomemasumbuko4867 4 ปีที่แล้ว

      @@eliabutitus6182 wewe ulie na akili upangwe barabaran utaniambia trh 30 hv

  • @laylasuliman5805
    @laylasuliman5805 4 ปีที่แล้ว +8

    Ww najua utashindwa tu na magu lkn bado utaleta maneno

    • @imanimussa2449
      @imanimussa2449 4 ปีที่แล้ว

      Mungu akusaidie kijana inaonekana ujielewi wewe

  • @alfredlimu308
    @alfredlimu308 4 ปีที่แล้ว +10

    Kama upo timamu huwezi shangilia ushetani huu wa Lisu

  • @neemamsuya8976
    @neemamsuya8976 4 ปีที่แล้ว +21

    Ndotoooo mzee kaa utulie mbona unaesabu kura jukwaaan toa sera

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 4 ปีที่แล้ว +1

      Umeonaeeeee yaan anapoteza mda kam tahira fulani na akatia kanzu kabisaaa ili waislam wamuonee huruma maan asema akiw rais anawatoa mashekhe waloko jela hahahahahhaha kwani miak yote ulokuw bungen ulikuw huwaoni leo hii ndio wawaona? Hiki domo zege walah sijapat onaaa

    • @fredreckmwakalinga3475
      @fredreckmwakalinga3475 4 ปีที่แล้ว

      Subiri sindano ikuingie vizuri

    • @barikimomadi4210
      @barikimomadi4210 4 ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏

  • @mtemikifaru63
    @mtemikifaru63 4 ปีที่แล้ว +15

    Huyu jamaa ni ni mjinga kabisa. Anadanganywa na mabwana wake wazungu. Ngoja ajidanganye tu eti unataka kutishia Watanzania

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว

      Kaolewe na wew kama ni raha

    • @bisekodaudi1131
      @bisekodaudi1131 4 ปีที่แล้ว

      Hizo ni fikra zako

    • @adamfundikira8063
      @adamfundikira8063 4 ปีที่แล้ว

      @@emanuelmwanga4 wewe ni mpumbavu hujui ulitendalo kenge mkubwa wewe lisu ni kenge wako

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว

      @@adamfundikira8063 shida moja mnaropoka ushabiki we unavyosema mabwana zake ushaona wapi mtanzania mwanaume anaolewa acha ujinga

    • @adamfundikira8063
      @adamfundikira8063 4 ปีที่แล้ว +3

      @@emanuelmwanga4 we unalijua lililonyuma ya lisu ngoja nikupe Siri tundu lisu hana mpango wa kuwa Rais bali shida yake kubwa nikuhakikisha nchi haitawaliki dam za watanzania hasa vijana viraza zinamwagika fuatilia Crip zote za mikutano yake nikuhamasisha watu waingie barabarani kupinga matokeo leo amesema kuwa kabla tume haijatangaza matokeo yeye atajitangazia matokeo nini maana yake?

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 4 ปีที่แล้ว +4

    Hatujawa wajinga kiasi hicho tuingie road kupigania tumbo lako. Chama chenyewe uko mwenyewe,,,kila kitu sheria inasema, sheria inasema. Wanachama wenyewe ndio kama wewe,,matusi, kejeli, vitisho, sera hamna kila kukicha malalamiko. Bibi"oko ndani cjui unakaaje nae maana ata kchumbani nako unaweza kuwa kila kitu unaanza na sheria isemavyo

  • @gracelauzi9746
    @gracelauzi9746 4 ปีที่แล้ว +5

    Acha kumutaja Muheshimiwa uhuru ongea Sera zako na tz

  • @franciskayombo1499
    @franciskayombo1499 4 ปีที่แล้ว +12

    Wewe nafamilia yako hakikisha mnakaa mstari wa mbele kwanza

  • @nautharinalapa5107
    @nautharinalapa5107 4 ปีที่แล้ว +3

    Ni yeye rais tundu lisu

  • @jacksonjwakimunzalalila4125
    @jacksonjwakimunzalalila4125 4 ปีที่แล้ว +14

    Unamatatizo lisu sasa apo unamsema nani hupati kitu apa

  • @williamabel4266
    @williamabel4266 4 ปีที่แล้ว +13

    Kuna kisiwa kinaitwa ikulu kiko jimbo la buchosa....njoo uwe rais wa kisiwa hicho.....na watu wako wanaoitikia ndyoooo....ila rais wa TZ ni JPM......2020-2025......ni anko MAGU

  • @eliajoseph6865
    @eliajoseph6865 4 ปีที่แล้ว +7

    Dunia ije ikupigie kula

  • @samueljohn2210
    @samueljohn2210 4 ปีที่แล้ว +17

    Huu ni uchaguzi wa nchi ya Tanzania sio wa Dunia mzee

    • @calvingerald8736
      @calvingerald8736 4 ปีที่แล้ว

      Wemjingakweli ndomaana kunamahakama ya kitaifa hujasoma au

  • @jacksonjwakimunzalalila4125
    @jacksonjwakimunzalalila4125 4 ปีที่แล้ว +13

    Toa ujinga huwez kupata kitu mdomo kama chiliku hawakusaidii

  • @abdallahlastb5355
    @abdallahlastb5355 4 ปีที่แล้ว +2

    never be like yesterday every day. try to change ur power to day for next day...lissu u are the best of ........-

  • @myself4128
    @myself4128 4 ปีที่แล้ว +2

    WALOMPIGA LISU RISASI WAPO WAPI KAMA SERIKALI INATENDA HAKI??

  • @kabakulimpullo6612
    @kabakulimpullo6612 4 ปีที่แล้ว +2

    Mnae mchukia lisu mnaonaekana ni majizi ,kwani kafafanua kuwa mshindi halali atangazwe bila figisufigisu ukiacha kumtangaza wewe ndie utakuwa umeyatafuta maneno au fujo kosa lake nini,acheni uhayawani

  • @sabasnuguna394
    @sabasnuguna394 4 ปีที่แล้ว +11

    ww huna sera

  • @abdulzackawami7780
    @abdulzackawami7780 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo kuiambia dunia mnajua maana yake?unataka wazungu waingilie kati watupiganishe kama walivyowapiganisha Libya,Liberia,Rwanda,Iraq nk hauwez kuwa Rais

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 4 ปีที่แล้ว +2

    Lissu ndo anastahili kuwa rais

  • @jacksonjwakimunzalalila4125
    @jacksonjwakimunzalalila4125 4 ปีที่แล้ว +12

    Na ukishidwa ujitangaze nawe lisu ni mmoja wa kushidwa na ujitangaze kuwa umeshidwa na ujitangaze

  • @jabirdihimba350
    @jabirdihimba350 4 ปีที่แล้ว +8

    Dunia ndo nani, mbona fomu hujaenda kuchukua duniA umenda 2me, lisu huezi kuitoa ccm kwa vitisho,

    • @bantuisolele2543
      @bantuisolele2543 4 ปีที่แล้ว

      Anajidanganya yaan muda huo makomando wanamuangalia tu mtu mmoja yeye Kama Nani nchi tusikae kwa Raha kisa yeye Mimi nasubiri aingie yeye anavyofikiri anasema hivyo Tena watu wanavyomtamani aingie road wamtandike vzr 😄

    • @issagwau378
      @issagwau378 4 ปีที่แล้ว +1

      Wanao muunga mkono ni wapiga dili mlitumbuliwa na kubanwa ndio maana mnachukia Magu ila rais ni magu

    • @beatrycdoto400
      @beatrycdoto400 4 ปีที่แล้ว

      Ataitowa tu hiyo ccm

    • @freshprincekapusi5193
      @freshprincekapusi5193 4 ปีที่แล้ว

      @@bantuisolele2543 tunayemtamani Ni yulo magufuli meko wenuu msenge wewe na ccm yenuun ya kisengeee

  • @fatumahamis166
    @fatumahamis166 4 ปีที่แล้ว +2

    mnaocoment kwamb hakuna wakuandaman mtakua mnajidanganya ccm wajaribu tena sio kujaribu wasubutu tu kuiba watapenda

  • @mwezembamwezembatopfamily372
    @mwezembamwezembatopfamily372 4 ปีที่แล้ว +2

    Nyinyi watu ccm tulieni tuli dawa iwaingie msipige kerere

  • @lilianjosephat9151
    @lilianjosephat9151 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe unatangaza kuwa utashinda siyo kweli kwamba unashinda

  • @aziadubaiydubaiy4565
    @aziadubaiydubaiy4565 4 ปีที่แล้ว +1

    Tundu russi acha bange mzee nendakarima

  • @adamfundikira8063
    @adamfundikira8063 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawashangaa Sana vijana wanaokiunga chama Cha waongo manyumbu ni hatari sana

  • @vicentsanga3046
    @vicentsanga3046 4 ปีที่แล้ว

    Sawa sawa.

  • @ashajakobo3748
    @ashajakobo3748 4 ปีที่แล้ว +10

    Nautashindwa

    • @chrissbigeti1055
      @chrissbigeti1055 4 ปีที่แล้ว

      Kwa watanzania msio jielewa ndio mnapiga kelele acheni ujinga nyie macho hamna Wala Ata masikio amna duu kweli tusio kua naelimu tunapelekeshwa Kama wendawazim

    • @issagwau378
      @issagwau378 4 ปีที่แล้ว

      Kweli chinz

    • @freshprincekapusi5193
      @freshprincekapusi5193 4 ปีที่แล้ว

      Msenge wewwwe

  • @jumanina7103
    @jumanina7103 4 ปีที่แล้ว +7

    una maana gani kusema itangazieni dunia

    • @beatrycdoto400
      @beatrycdoto400 4 ปีที่แล้ว

      Kwani wew unaishi kwenye sayari y kwako peke yako haupo kwenye hii dunia

  • @felixuduo5324
    @felixuduo5324 4 ปีที่แล้ว

    Asie kubali kushindwa sio mshindani, aache ujinga asubirie game tu, lakini polisi wawe makini wamkabili asikimbilie ubeljiji.

  • @danielphilipo9088
    @danielphilipo9088 4 ปีที่แล้ว +2

    Acha kusema utawaingiza watu wote barabarani sema utawaingiza mashabiki wako na watakula virungu vya kufa mtu

    • @bantuisolele2543
      @bantuisolele2543 4 ปีที่แล้ว

      Yaan wanavyowatamani hawajui tu hivi hizo kauli za kuingiza watu road muda huo majeshi yanawaangalia tu unafikiri hawajajipanga ila wametulia tu wanasikilizia oda Tena wakiumia hata huruma tusiwape watu wanaoleta fujo

  • @jabirdihimba350
    @jabirdihimba350 4 ปีที่แล้ว +8

    Labda na mkeo muingie barabaran, ucseme watanzania

  • @martinemaganga2546
    @martinemaganga2546 4 ปีที่แล้ว +5

    Naomba kuuliza,hivi huyu ndiyo Lisu ninayemjuwa au ni mwingine?

    • @jackmichael1953
      @jackmichael1953 4 ปีที่แล้ว

      ndiyo huyo Martine ndio huyo ambaye anahamasisha watu wakaandamane

  • @priscastamily1606
    @priscastamily1606 4 ปีที่แล้ว +15

    Kibaraka wewe usitutishe!!! Bebana na wabelgiji wenzio muingie barabarani, sio Mimi.

    • @frankmtei3017
      @frankmtei3017 4 ปีที่แล้ว +1

      Ww lala nyumbani kwako

    • @wolframkifaru5885
      @wolframkifaru5885 4 ปีที่แล้ว +1

      Wewe ndo kibaraka mjinga kabisa wa ccm

    • @halifasaidi370
      @halifasaidi370 4 ปีที่แล้ว +1

      we auna akili kwako njaa tupu imekuja mjinga wew kama akuna aki aman akuna

    • @tinamzava834
      @tinamzava834 4 ปีที่แล้ว +1

      Ww ndio kibaraka na lissu ni rais na ubeligij harud nenda ww

    • @myself4128
      @myself4128 4 ปีที่แล้ว +1

      Watanzania tumerogwa,,,
      Kibaraka ni wewe

  • @marthamalila8630
    @marthamalila8630 4 ปีที่แล้ว

    Itachukua mda saiv upo hivo ukipata je?

  • @jonathanmasalu1379
    @jonathanmasalu1379 4 ปีที่แล้ว +2

    Wasimamiz wajipange Maana hawa ndo huwa wanatutangazia tusio wachagua

  • @costavalenci7699
    @costavalenci7699 4 ปีที่แล้ว +6

    Hujawa rais wa Tz Bado hujakomaa wewe

  • @neemaemengele2142
    @neemaemengele2142 4 ปีที่แล้ว +16

    Toa ujinga utowai kua rais watanzania kamwe Watanzania watakua wajinga kukupatia kura crazy.

    • @shukurumwalukopetro6757
      @shukurumwalukopetro6757 4 ปีที่แล้ว +1

      Sio watanzania sema ww mbulura ww

    • @adamfundikira8063
      @adamfundikira8063 4 ปีที่แล้ว +1

      @@shukurumwalukopetro6757 mburula baba yako kenge wewe kuma iliyokuzaa na ilaaniwe maana huna akili wewe unazani Vita ni ya mchezo pumbavuuuu sanaaa maajenti wakubwa wa shetani

    • @eliabutitus6182
      @eliabutitus6182 4 ปีที่แล้ว

      Mumbavuu wrwe

    • @robertpaul2668
      @robertpaul2668 4 ปีที่แล้ว +1

      Yaani safari hii hata ubunge ukipata kumi sijiui, na mtu yeyote atakaeiingia barabarani kuvunja amani yetu mabobu ya kichwa yanawahusu piga kabisa

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 4 ปีที่แล้ว

      @@shukurumwalukopetro6757 ww mbona waniumiza mabavu zng jmn daha ninecheka kweli eti mambulila🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @phiniasoyugi4850
    @phiniasoyugi4850 4 ปีที่แล้ว +8

    Na ukishindwa uiambie pia dunia kuwa umeshindwa,
    Tusitabiri kuingia barabarani na huenda mkashinda,

  • @abelianraphili5150
    @abelianraphili5150 4 ปีที่แล้ว

    Mwanasheria, kaiva

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 4 ปีที่แล้ว +4

    Sio Tanzania, nchi yetu si ya watu wenye vurugu ni watu wa Amani na vyema nchi ikawa na Amani Siku zote. Mambo yakivurugika sote tutapata hasara na haifai.

  • @asukulubashilwango7968
    @asukulubashilwango7968 4 ปีที่แล้ว

    Shindwa kwa hamani mzehe

  • @mahijamsigiti6752
    @mahijamsigiti6752 4 ปีที่แล้ว

    Ukishindwa useme pia

  • @kadallahchambua3058
    @kadallahchambua3058 4 ปีที่แล้ว

    We we hujapona vizuri.barabarani utaingia mwenyewe.

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 4 ปีที่แล้ว +7

    Mnadanganywa mchana kweupe, mnawataka watu waingie barabarani, wakati huo ninyi mtakuwa mko airport!!!! niwa watanzania kuhusu suala la amani, Tanzaniaiko imara jana, leo na hata kesho!!! walinzi wetu hawajawahi kushindwa ndani wala nje na tunawa tumewatafutia amani watu nje mpaka hivi leo!!!Hakuna mtu yoyote wa kwenda the HERGIE kwa ujinga huo!!!!!

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 4 ปีที่แล้ว

    Wewe watakuvunja mguu mwingine tena kakae home utulie

  • @MaaneML
    @MaaneML 4 ปีที่แล้ว +1

    Huo ndiyo ukweli. Kura za vituoni ndiyo halali. Alisema akishindwa kihalali hana shida.

  • @mkamamajogoro2123
    @mkamamajogoro2123 4 ปีที่แล้ว +1

    Walipelekwa half nini kikatokea

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 4 ปีที่แล้ว

    Dunia ninani

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 4 ปีที่แล้ว

    Hutaongoza mpk Dunia iishe , hao ulonao wajumbe wako washakuacha njiani wote wamerud kwao Ccm, pole kwa kuropoka ropoka

  • @gracewiliam8872
    @gracewiliam8872 4 ปีที่แล้ว +1

    We ni mkundu

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 4 ปีที่แล้ว +3

    Muongo usipotoshe watanzania.
    Lete Sera acha malalamiko na kelele zako.. Kaa chini huna lolote hapo..

  • @alfredlimu308
    @alfredlimu308 4 ปีที่แล้ว +4

    Lisu ashashindwa kabla ya yote ila kwa kuwa ana nia mbaya na nchi yetu hasa raisi Magufuli tayari ana matokeo yake aliyetoka nayo ubelgiji,Tutakupoteza kwa jina la Yesu na hutaonekana tena kwenye ramani ya siasa Tz,

  • @matherinrevocatus9978
    @matherinrevocatus9978 4 ปีที่แล้ว +7

    Mfu utawapata hao wapumbavu wenzio

  • @fnnyanda5993
    @fnnyanda5993 4 ปีที่แล้ว

    Mithali 18 : 18 - Inasema, "Kura hukomesha Mashindano, hukata Maneno ya Wakuu.
    Katika hili, Mmoja wa Wakuu Tanzania ni Lissu nk kwa sababu Anatamka makuu sana yaani MATUSI, KEJELI, UCHOCHEZI, UROPOKAJI nk siku ya Tarehe 28.10.2020 Ubishi wote Utakomeshwa kabisa.
    Hivyo, Mungu huwa hasemi uongo na atatenda haki kwa mwenye Haki ambaye ni Rais Magufuli wa CCM. AAAAAAMIN.

  • @gilbertgallus2877
    @gilbertgallus2877 4 ปีที่แล้ว

    Unatutakia nini sisi tusiekuwa na hatia

  • @asukulubashilwango7968
    @asukulubashilwango7968 4 ปีที่แล้ว

    Uyo ni raisi au? Na watu mnakubali mnafikiri barabarani wataingiya ccm tu?

  • @doreenkahunde3186
    @doreenkahunde3186 4 ปีที่แล้ว

    Acha kutupigiya kelelele bwana,

  • @fredydominic1400
    @fredydominic1400 4 ปีที่แล้ว

    Mbona anasikilizwa na wavuta bange tu

  • @fatumaali7193
    @fatumaali7193 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa jinga kweli. Povu tupu huonji urais wewe

  • @josephqaymo1983
    @josephqaymo1983 4 ปีที่แล้ว

    We ni tahira tumegundua umetumwa

  • @waltermassawe1876
    @waltermassawe1876 4 ปีที่แล้ว

    Kajitangaze uone

  • @tinamzava834
    @tinamzava834 4 ปีที่แล้ว

    Ndio ivyo

  • @hoseamuyungu9133
    @hoseamuyungu9133 4 ปีที่แล้ว

    Safi lis

  • @nak3477
    @nak3477 4 ปีที่แล้ว

    Sawa sawa...💪💪💪 hatutaki ukhanith

  • @aminattai7844
    @aminattai7844 4 ปีที่แล้ว +1

    Wakati unataka kuingia barabarani ujue kuwa barabara ina wenyewe nao wanakusubiri,na utawadanganya hao wajinga wenzako lakini nakwambia hao unaowategemea wenyewe wamekalia kuti kavu na pia ukumbuke kuwa hatutawaliwi TUMEJITAWALA ila wewe tundu lisu ndio mtumwa.mi mwenyewe nakusubiri uingie barabarani nikutie adabu.

  • @mustakimutwaliki6203
    @mustakimutwaliki6203 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni yeye

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 4 ปีที่แล้ว

    Ulidhani utajitangaza kama unatangaza kujenga kijiji? Nenda bwana Singida ukapumzike tushakychoka wewe mzee wangenga

  • @felistanelson5373
    @felistanelson5373 4 ปีที่แล้ว

    Utaingia wewe na familia yako kisa Cha kuumia kisa wewe ukiingia barabarani mi najifungia ndani mwangu

  • @phiniasoyugi4850
    @phiniasoyugi4850 4 ปีที่แล้ว +3

    Dunia iambiwe nini
    Sisi ni inchi inayojitawala tuna jiamuria mambo yetu sisi wenyewe, tunasheria na taratibu zote za uchaguzi zipo kisheria....

  • @zakiajoseph8082
    @zakiajoseph8082 4 ปีที่แล้ว +1

    Acha ujinga

  • @edwardmakonge3371
    @edwardmakonge3371 4 ปีที่แล้ว

    Mwongo mkubwa .umeshindwa tayari.watu wameguna huo ushauri wako.kama una uhakika wa kushinda mbona unahangaika sana.

  • @kijeshiabdalla6316
    @kijeshiabdalla6316 4 ปีที่แล้ว

    Dah! Sina amani, maana naona amani ya Tanzania inaelekea kutoweka. Mungu ibariki Tanzania yetu!🇹🇿🙏

  • @costavalenci7699
    @costavalenci7699 4 ปีที่แล้ว +8

    Utaingia barabarani wewe na familia yako tu

  • @deusnzelan8413
    @deusnzelan8413 4 ปีที่แล้ว

    Wengine wanamwita mjinga hivi mjinga hupo kama huyu!!!

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 4 ปีที่แล้ว

    Tundu Lissu usiwatishe watu. Huna mamulaka yeyote ya kuwatisha Watanzania. Huna sifa ya uongozi wowote. Iambie dunia nani yuko nyuma yako? Iambie dunia nani anamulipa Bob Amsterdam na Kwa nini? Iambie dunia nani kakutuma kutaka kuleta fujo Tanzania? Huwezi kuwa Rais wewe musaliti. Watanzania musikubali KUDANGANYWA

  • @denicejoseph8632
    @denicejoseph8632 4 ปีที่แล้ว

    Tupo pamoja na ww kamanda wetu lisu kutetea ushindi wetu kwapmj✌

  • @nickkakumbi9567
    @nickkakumbi9567 4 ปีที่แล้ว

    Una kichaa tundu la choo..subiri ukaingiziwe nyuma na mabelgiji mjinga wewe

  • @alisaid1220
    @alisaid1220 4 ปีที่แล้ว

    Kuiambia dunia ipi wewe mbwa sema muwaambie mashoga zenu marekani na ubeligiji , na atuwaogopi we walete tuy wazungu watafurai na wataijuwa Tanzania

  • @winifrdaerias2693
    @winifrdaerias2693 4 ปีที่แล้ว +3

    Msiwe watu msio penda ushindani ndo mana kuna simba na yanga hivyo basi tufute upinzani kwani lisu yeye sio mtu kiasi kwamba ashindwe kutawala au nn hasa kinawabeza wakati nchi kubadilisha uongozi c fujo wala c kwamba yeye hakubaliki na anae kubalika na asie kubalika ni yupi hasa kama c mungu ndo mwenye kitupa kiongozi

  • @umulithokyarema6491
    @umulithokyarema6491 4 ปีที่แล้ว +6

    Acha unafiki wq kuvaa barakashia. Sasa wewe naona unaendelea kufuata alikokwama maaalim seif mwaka 2015. Wadangenye wajinga hao waingie barabarani watakiona cha moto.

  • @simonchristian6319
    @simonchristian6319 4 ปีที่แล้ว +1

    Naona hajafanya kosa, anachosema ni kwamba udanganyifu usiwepo, tatizo Huyu mtu akili mingi

  • @bakarimajombi937
    @bakarimajombi937 4 ปีที่แล้ว

    Kama wananchi wakorofi bc wachezee

  • @ldrisapettopetto2647
    @ldrisapettopetto2647 4 ปีที่แล้ว +1

    Nchi siyo yako

  • @marthamalila8630
    @marthamalila8630 4 ปีที่แล้ว

    Hutashinda,nahatuandamani tuna akili ukitaka tanguliza watoto wako