Hivi inamaana watekaji wataen!delea kuteka hadi wachoke wenyewe? Kama watawala hawatakomesha upuuzi huu! Wajue Mungu ataingilia kati! Na wanao injinia maumivu haya kwa watu watalia na kusaga meno. Mungu tufanyie jambo!
Acha ujinga hakuna watekaji ila wapo watu wanajifanya wametrkwa kumbe sy .huyo Nondo Leo ck yapili Mara yakwanza alikuwa kwa Dem wake iringa lkn wamewambia watu ametekwa, mgombea wa chadema nae akisema ametekwa akakutwa kwashangazi yake amejificha naanaendelea kutuma meseji kuwa ametekwa. Watu wakikosa chakufanya wanafanya hayo ili wapate kuzungumzwa kwahiyo nisehem ya siasa
Haya sasa jiandaaeni na taarifa kutoka polisi: 1) amejiteka sababu za wivu wa kimapenzi. 2) au ACT wamemteka. 3) au anatafuta umashuhuri. 4) uchunguzi unaendela, .... ndio basi tena...
Nondo asituone watanzania waninga,mara ya Kwanza alisema ametekwa akakutwa iringa kwa dem. Mgombea chadema akasema ametekwa akakutwa amejificha kwa ndugu yake halafu anatumia simu ya mtu mwingine kusema bado ametekwa .watanzania wSituone waninga sana wao ndio wajanja
Hivi inamaana watekaji wataen!delea kuteka hadi wachoke wenyewe? Kama watawala hawatakomesha upuuzi huu! Wajue Mungu ataingilia kati! Na wanao injinia maumivu haya kwa watu watalia na kusaga meno. Mungu tufanyie jambo!
Kwanini jeshi la polisi limeshindwa kuzuia na kuwakamata watekaji hawa?
Tuhuma za ACT kwambo polisi ndiyo walimteka ,na walikuwa wanamshikilia Nondo mbona hamzikanushi,kama nyiye siyo wahusika?
Nani yuko salama watanzania wenzangu, tumlilie nani atuepusge na watekaji hawa?
Acha ujinga hakuna watekaji ila wapo watu wanajifanya wametrkwa kumbe sy .huyo Nondo Leo ck yapili Mara yakwanza alikuwa kwa Dem wake iringa lkn wamewambia watu ametekwa, mgombea wa chadema nae akisema ametekwa akakutwa kwashangazi yake amejificha naanaendelea kutuma meseji kuwa ametekwa. Watu wakikosa chakufanya wanafanya hayo ili wapate kuzungumzwa kwahiyo nisehem ya siasa
@EmmanuelMlowe-u1v Heri ya mjinga kuliko MPUMBAVU
@JumbeOjaso watanzania wanaona sn
Vyama vyasiasa viwapate elimu ya siasa ili waache kufanya matukio kama sehem ya kufanya siasa ,wengine wanajikamatisha kwapolisi wanikosa chakusema
Haya sasa jiandaaeni na taarifa kutoka polisi:
1) amejiteka sababu za wivu wa kimapenzi. 2) au ACT wamemteka. 3) au anatafuta umashuhuri. 4) uchunguzi unaendela, .... ndio basi tena...
Nondo hajawahi kutekwa Ila anajiteka Kama Mara yakwanza akakutwa kwa Dem iringa. Anataka umaarufu nakulipaka matupe jeshi lapolisi
Watu wakikosa sera wanajiteka,wanajikamatisha kwapolisi wapate chakuzungumza
Nondo asituone watanzania waninga,mara ya Kwanza alisema ametekwa akakutwa iringa kwa dem. Mgombea chadema akasema ametekwa akakutwa amejificha kwa ndugu yake halafu anatumia simu ya mtu mwingine kusema bado ametekwa .watanzania wSituone waninga sana wao ndio wajanja
Hv wanaofanya hvy wandugu kwel
I 😂😂😂😂😂