DUH! MBUNGE AVUTWA SHATI NA WANANCHI ARUSHA, ATISHIWA KUSOMEWA ALBADIRI WIZI WA VIFAA TIBA ARUMERU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @JubilateChristopher
    @JubilateChristopher วันที่ผ่านมา

    Mbona hamtuoneshi huyo mbunge wetu jamani hatumuonagi hata

  • @anthonymgina3893
    @anthonymgina3893 วันที่ผ่านมา

    Duuh! Mnaiba vifaa vya huduma za afya, watu watatibiwa na nini mbona huo ni zaidi ya ugaidi!

  • @josephmolle
    @josephmolle 3 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢 serekali ituangalie kwajicho la uruma tena 😢😢

  • @mikeonesmo285
    @mikeonesmo285 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji hii ni halmashauri ya ya wilaya ya Arusha,iliyopo ndani ya wilaya ya arumeru, wilaya ya arumeru Ina halmashauri mbili ya Arusha na meru

  • @SaidSaid-sl8ct
    @SaidSaid-sl8ct 2 วันที่ผ่านมา

    Jamani serikali ipo na wazuri yupo. Kwa nini wasisguhulikie jambo Hilo.

  • @snipershort6988
    @snipershort6988 2 วันที่ผ่านมา +1

    Pia huduma kwenye kituo hicho zimekuwa ghali kama kituo cha mtu binafsi 🤔 hakuna dawa mpaka ukanunue madukani, iwe mzee, kijana na hata watoto, bila pesa unakufa bila kujali wana Nduruma wamekijenga wenyewe kwa nguvu kazi, GARAMA na KAULI KWA WAGONJWA vichunguzwe😭🤔

  • @JosephJackson-f1s
    @JosephJackson-f1s 2 วันที่ผ่านมา

    Ccm oyeeee wapiga dili ndo mda wao

  • @HalimaMayunga
    @HalimaMayunga 2 วันที่ผ่านมา

    Wenye hospital zao wamechukua mlinzi alikua wapi?

  • @SaidSaid-sl8ct
    @SaidSaid-sl8ct 2 วันที่ผ่านมา

    Dawa ya yote ni Al badiri

  • @musalugwisha3994
    @musalugwisha3994 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂