Mwanamke mwanamke ujaolewa unanifanyia figisu mwenzio na ndoa yake hugikirii kesho ukipata mume na wew ukafanyiwa hicho unachokifanya hapo. Alafu ukajagundua sio kweri jee. Utajiskaje. Tuacheni roho mbaya na hila ktk familia za watu. Ndoa ieshimiwe na watu wote.
Mzidole litakukuta jambo😂😂😂😂😂😂
Kitamlambaaa
Kakoso big up uyoo kijanaa mzidole mzidole mzidolee shwaaaa ,kicheko anamuogopa sanaa mzidolee
Nakwel akazane tu
SUPER GENIUS MZEDOLE mzedole
Nimependa jinsi mzidole alivyo badili uhusika dogo atafika mbali shabiki wenu toka kenya
Mzidole anguka nayo😅😅😅
Mzidole wewe kazi kupambana na wachawi na majini inakuwaje uwe mmbea
Mwanamke mwanamke ujaolewa unanifanyia figisu mwenzio na ndoa yake hugikirii kesho ukipata mume na wew ukafanyiwa hicho unachokifanya hapo. Alafu ukajagundua sio kweri jee. Utajiskaje. Tuacheni roho mbaya na hila ktk familia za watu. Ndoa ieshimiwe na watu wote.
Hellow naitwa Vaileth Niko katika Tamthilia ya Dunia wapendwa 🙏 naomba usisaau Kuni follow wapendwa
Yaani Mimi naogopa kuona aibu
Kutoka 🇰🇪
Wakwanza mm leo