MAZOEZI YA MWISHO KUELEKEA MECHI DHIDI YA DODOMA JIJI YALIVYOPIGWA KWA NGUVU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 69

  • @SaidAkili
    @SaidAkili 19 วันที่ผ่านมา +4

    Inshallah KHER Allah awatangulie wachezaji wote Inshallah tuombe Mungu Inshaallah

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 19 วันที่ผ่านมา +4

    Kila la kheri inshaallah mchezo wa kesho Allah awajaalie mupate ushindi mnono daima mbele nyuma mwiko 💛💛💚💚

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz 19 วันที่ผ่านมา +6

    Mashabiki zangu wote wa yanga nawaombeeni huu mwaka tuumalize kwa usalama matatizo magonjwa vyote vikae mbali kwa uwezo wake aliyetuumba AMIIN 🙏🙏🙏

  • @nelsoncharles1296
    @nelsoncharles1296 19 วันที่ผ่านมา +4

    Woooow.all de best my team

  • @naftalykaaya8044
    @naftalykaaya8044 19 วันที่ผ่านมา +3

    All the best kesho furaha nyingine

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 19 วันที่ผ่านมา +2

    Safi sana chama langu kesho ushindi mnono

  • @MariamZanzibari
    @MariamZanzibari 19 วันที่ผ่านมา +3

    Allah tunakuomba kwa.utukufu wako ijaalie yanga ipate ushindi inshaallah kheri

  • @Jrfoundation-01
    @Jrfoundation-01 19 วันที่ผ่านมา +4

    All the best my team🎉🎉

  • @spkaprotas
    @spkaprotas 19 วันที่ผ่านมา +3

    Makocha tunao❤❤❤❤

  • @ShabaniDagila-d3r
    @ShabaniDagila-d3r 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu ibariki yanga❤❤

  • @teopistakomba2189
    @teopistakomba2189 19 วันที่ผ่านมา +2

    Nimefurahi kumwona Boka mazoezini. Tunakuombea uendelee kuimarika

  • @teopistakomba2189
    @teopistakomba2189 19 วันที่ผ่านมา +4

    Namuombea Master Key afunge free kick kesho

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz 19 วันที่ผ่านมา +3

    Naona kocha wa viungo mpya kuna kitu kaleta kwenye timu yetu hasa kwa wachezaj maan ile fitness tuliyokuwa tunaitaka inarudi kdg kdg mabadiliko sasa ndani ya timu na kocha Ramovich kunakitu kaja kukileta kwa wanajeshi wetu GUSA ACHIA TWENDE KILELENI

  • @Tassyomy
    @Tassyomy 19 วันที่ผ่านมา +2

    Namuona Tena Msher Kesho Akitudakia..Wana Yanga..☺️

  • @NdevuKamdini
    @NdevuKamdini 19 วันที่ผ่านมา +2

    Gud job

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 19 วันที่ผ่านมา +4

    Kibwana kawa lulu asa hivi 😅😅😅

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 19 วันที่ผ่านมา +2

    Aaa kesho ndio mpira safi mpira usiokua na zuruma

  • @MADAHAYOHANA
    @MADAHAYOHANA 19 วันที่ผ่านมา +3

    Waongeze sipd haoooo ah 🤣 wanadonyela donyela tena 😂 ! Kila la kher timu yetu pendwa daima mbele nyuma mwiko

  • @Tassyomy
    @Tassyomy 19 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa Mazoez Haya Dodoma Jiji Kesho Hatoki..😂

  • @muujr-ee9eb
    @muujr-ee9eb 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kilala kher mabingwa wa nchi yanga africans 🙏🙏

  • @suziedward8324
    @suziedward8324 19 วันที่ผ่านมา +4

    Kila kheri timu yangu pendwa,Mungu tunaomba kesho uwafanyie wepesi wachezaji wetu tupate ushindi

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz 19 วันที่ผ่านมา

    Kwa sasa naiyona timu yangu ya yanga inaimarika kidg kdg maana asaiv kila mechi magoli 2 na zaid inshaallah 🙏🙏 kesho ushindi kwa uwezo wake MUNGU tuseme Amiin

  • @maotv854
    @maotv854 19 วันที่ผ่านมา +13

    Naona video mngejitahidi kuziweka fupi zenye vitu vyakunogesha kuliko ndefu ivo alaf daah mfano angalia za real Madrid ingependeza all in all kila la kheri wananchi wenzangu

    • @Wifey_leader
      @Wifey_leader 19 วันที่ผ่านมา

      Sisi sio Madrid huwezi acha... alazimishwi mtu kuangalia

    • @ShamsajumanneMdigida
      @ShamsajumanneMdigida 18 วันที่ผ่านมา

      We zako zikowap mzeee fany mamb yko

  • @TozDa-gk9ej
    @TozDa-gk9ej 18 วันที่ผ่านมา

    Point 3 muhimu Allah Huma Amin

  • @chrissantkaunda9958
    @chrissantkaunda9958 19 วันที่ผ่านมา +4

    Kila la kheri wanajeshi wetu maana uku makolo yamebebwa tena

    • @AthamanRamadhani
      @AthamanRamadhani 19 วันที่ผ่านมา +2

      Wazee wa penalti fc

    • @Matokeo-v3v
      @Matokeo-v3v 18 วันที่ผ่านมา +1

      Hahahaaa mpaka yameona aibu

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 19 วันที่ผ่านมา +2

    Point 3 muhimu wapambanaji wetu umakini unahitajika msiyarudie makosa pia msimdharau mpinzani wenu maana makolo yashaanza kufunga kwa lazima na penati za mchongo ila siku Yao hipo wataangukia pua wachezaji wajitahidi mno kujituma nakufata mipango ya kocha

  • @TajiriPoti
    @TajiriPoti 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mm ni mwana chama wa yanga Naomba uongozi wetu umuangaliye yule kipa wa jkt tanzania aje aongeze nguvu golini

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 18 วันที่ผ่านมา

      Wawe makipa wanne ?

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mkapambane haswaa, Ddoma sio mziki mdogo.

  • @SaidyIbrahim-f4h
    @SaidyIbrahim-f4h 19 วันที่ผ่านมา +1

    Ila huyu mwali wa mazoezi anajua sna

  • @monicanatai144
    @monicanatai144 19 วันที่ผ่านมา +3

    Mkude acheze kesho jamaniii

  • @saidikomba3120
    @saidikomba3120 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu tujalie kesho tushinde

  • @michaelbucga
    @michaelbucga 19 วันที่ผ่านมา +2

    Kama unaipenda yanga 💛💛💚

    • @zakiakondo2849
      @zakiakondo2849 19 วันที่ผ่านมา +1

      💚💚💛💛

  • @AdamNdaki-n6q
    @AdamNdaki-n6q 19 วันที่ผ่านมา +1

    Hiv max yupo kweli

  • @ndulatv2373
    @ndulatv2373 19 วันที่ผ่านมา +1

    Bacca usigeuke bwana hiyo back pedal Ina maana kubwa inatengeneza flexibility

  • @BahatiEdward-q6r
    @BahatiEdward-q6r 19 วันที่ผ่านมา +2

    Naomba ushidi wa bao 3

  • @ndulatv2373
    @ndulatv2373 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mwamnyeto na Kibwana ndo naona wanafuata maelekezo

  • @babacaren1801
    @babacaren1801 18 วันที่ผ่านมา

    Dodoma ni kijani na njano 🔰

  • @AbuubakarAli-n2d
    @AbuubakarAli-n2d 19 วันที่ผ่านมา

    Inshallah point 3 muhim wanayanga

  • @kilalak2932
    @kilalak2932 19 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna habari zinazagaa mitandaoni eti Max mpia ameuzwa sauzi

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 18 วันที่ผ่านมา

    Allaah Akbar

  • @JamesAndrew-q1s
    @JamesAndrew-q1s 18 วันที่ผ่านมา

    Nawatakia kila laeri yanga yangy

  • @ndulatv2373
    @ndulatv2373 19 วันที่ผ่านมา +1

    Wachezaji tunawaona mjue, yaani mnatukatisha tamaa,,mbona hamfanyi kama kocha anavyoelekeza?

  • @sophiapande1847
    @sophiapande1847 19 วันที่ผ่านมา +1

    Kwan mnashoot na simu?

  • @GodwinMtungi
    @GodwinMtungi 19 วันที่ผ่านมา

    Kesho tumwone mkude kati kati awo wapya waliosajiliwa awachezi

  • @AbassAbdalla-e7j
    @AbassAbdalla-e7j 19 วันที่ผ่านมา +1

    Max majeruhi

    • @Muna-en4yq
      @Muna-en4yq 18 วันที่ผ่านมา

      Na msonda VIP?

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 19 วันที่ผ่านมา +1

    Hivi kwann Mkude hachezeshwi??

  • @redforcemagume958
    @redforcemagume958 19 วันที่ผ่านมา +1

    Jmn mwenye kujua MAX Yuko wap

    • @halimasawa611
      @halimasawa611 19 วันที่ผ่านมา +2

      Majira yy diaŕa musonda

    • @HabibaKhamisi-xo8tz
      @HabibaKhamisi-xo8tz 19 วันที่ผ่านมา +1

      Max majeruhi

    • @Muna-en4yq
      @Muna-en4yq 18 วันที่ผ่านมา +1

      Yao yao Nae yuwapi

    • @HabibaKhamisi-xo8tz
      @HabibaKhamisi-xo8tz 18 วันที่ผ่านมา +1

      @@Muna-en4yq mbona yupo tu kwani hukuona mechi ya juz alikaa bench alikuwa sub lkn hakuingia

  • @AlexJosaphat
    @AlexJosaphat 19 วันที่ผ่านมา +1

    Max zengeri Yuko wap mbn simuoni mazoezini ana tatizo gan an?

  • @hafia.056
    @hafia.056 19 วันที่ผ่านมา

    Vipi hali nyote wananchi sugar sugar muwaa cream maziwa chai soda for sure its every thing

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 19 วันที่ผ่านมา +2

    Kesho ushindi tu

  • @AdorableHalisi
    @AdorableHalisi 19 วันที่ผ่านมา

    max Yuko wap

  • @damianmcba9525
    @damianmcba9525 18 วันที่ผ่านมา

    Yule kocha mwingine wa viungo wamemalizana nae kinyemela nini? Walisema watasaidiana na huyu mpya lkn simuoni kabisa yule mwarabu atakuwa kashasepa sijui?

  • @Mwl.Jonathankwizera
    @Mwl.Jonathankwizera 19 วันที่ผ่านมา

    th-cam.com/video/LnU8b_hFlSk/w-d-xo.htmlsi=F3SOcK-OPxSmHODJ