Yaani yanga DOP, CAMERA MAN, MPISHI, MLINZI yaani wote ni watu wenye taaluma ya ukocha,, mkuu wa idara wa digital anachambua kitaalam utadhani KOCHA wa Mashujaaa
Nyie nyie nyie nyie haaaaaahaaaaaaa Hadi rahaaa nimeipenda big up Azizi na Priva kikubwa ni wanaumia sana ndo Maana maneno mengi kutoka kolo's, na hii IMEENDA
Watu hawajui maana ya DEEP SQUAD! Waacheni wahangaike! Ukisikia mtu yeyote anayehoji ujio wa Chama Yanga,anahofu! Akisikia hizo namba 10 nne,tumbo joto! Man city wameweza ku dominate PL kwa sababu wana deepest squad IN PL! Arsenal wameshindwa kutwaa ubingwa misimu 2 iliyopita kwa SABABU kikosi chao games kama 5 za mwisho walichoka! Man City ,wakawa HAWANA wasiwasi! Wachezaji wote wanatisha! Hakuna 'man city B' yanga tutakua na mechi nyingi sana this coming season,why , WE.WANT TO WIN EVERY TROPHY OUT THERE! Wachambuzi uchwala wanashindwa kuelewa,YANGA TUNAFIKIRIA CAFCL ZAID KULIKO LIGI! CHAMA NI MASTER WA CAFCL!
Yaani waandishi wa habari bongo ndo wapumbavu,wanahoji vitu vya kitoto kisa ulaya😂😂😂ila hawazi kuhoji kwanini huko ulaya HAWANYWI SUPU?! YANG IS AN INDEPENDENT CLUB,WE DO IT OUR WAY!
Sisi mashabiki Wa yanga African tunawaomba Joseph Guede abaki jangwani maana hao tunao sikia sikia kuja badala yake Awana uwezo Wa kumfikia huyo mwamba Kwa mfano huyo Jean Baleke Jonasan SOWAH mmmmh awamfikii Guede kivyovyote vile
Mashaallah Alhamndulilah nakuomba M/Mungu wazidishie kheir watendaji wetu natujaalie Kheir nyigi kwenye timu yetu na wachezaji wetu Inshaallah
Inshaallah
Amen 🙏🙏🙏
Yaani yanga DOP, CAMERA MAN, MPISHI, MLINZI yaani wote ni watu wenye taaluma ya ukocha,, mkuu wa idara wa digital anachambua kitaalam utadhani KOCHA wa Mashujaaa
Msiishie hapo endeleeni vijana naona mkiwezeshwa mnaweza vizuri.
Safi Sana Vijana Wetu Nyie Ni Mfano Wa Kuigwa Waacheni Wachambuzi Wabaki Kuichambua Yanga Ya Zamani Bila Kujua Imeshabadilika.
Leo wa Kwanza Young African Forever Like zangu Please ❤
❤
mi napenda muzk sana hasa saut zikipangwa kama hawa jamaa walivyofanya, MUZKI FARAJA
Hakuna kipawa ambacho Yanga hatuna
Mnakaraha nyie vijana 😂😂😂😂❤
Yaani mmewazidi wachambuzi wengi sana....🙏🙏🙏
Alwatan brother umeuwa sna wallah 💛💚💚💛💚🤍🤍💛💯💥
Yanga oyeeeeeeee raha kama zote
Nyie nyie nyie nyie haaaaaahaaaaaaa Hadi rahaaa nimeipenda big up Azizi na Priva kikubwa ni wanaumia sana ndo Maana maneno mengi kutoka kolo's, na hii IMEENDA
Nasikia simba hawataki mashirikiano na young Africana ari asajiliwe fifa au cafu
CPA ya moto sana 🔥 🔥 🔥
Safi sana vijana kwa ubunifu huo
Mmetisha wanangu
🎉🎉🎉🎉tusijekujisahau msimu ujao utakuwa wa ushindani na sio rahisi natumai mtajipanga vyema Kila idara kuhakikisha tunalinda heshima yetu na kutimiza malengo yetu
Kumbe mnajua kuimba ivooo woooow😂❤❤😅 Sauti ya kwanza Alwatan ya pili Priva❤🎉❤
Mpo vizuri Sana wanangu❤
Alo nawapongeza yanga kwa sajili zinazo endelea nikitoka kupata kadi yamwanachama nifanye nini
Jamani hongereni kwa shairi zuri🎉🎉🎉🎉🎉
Hata mimi nahitaji kadi ya uwanachama ni shabiki wa yanga ila sina kadi💚💛💚💛
Nicheki nikupe maelekezo ujiunge na TAWI letu
Duuh hii pacha ni hatari sanah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Maadam Master Gamondi amehusishwa kwenye sajili hiyo nina imani Chama atahusika sana kwenye michezo ya Yanga SC
Priva safi nilimwacha Malangali High school form five
Nilimkuta mwaka wa tatu UDOM😅😅😅
Shairi ni zuri. Lakini Kuna taarifa zinasambaa kuwa SIMBA S.C imemsajili PACOME je ni kweli? Naomba Ally Kamwe aweke wazi Suala hili.
Aaaaaah!!!!! Madogo mnaojua kuwakera makolo!!
😂😂😂vijana wanakera hawa
Sawa wananch kwaya ya Sant Maria mashahid wa aman namba mnayo. Priver jpil mazabahun
PALE MBELE AWE MAYELE
Hahahaha! Yanga hakuna jambo dogo hata km litagharimu milioni 10.
Yanga rahaaa
Yanga is full of talents 😂😂😂
Mmetisha sana
ILA NYIE WAPUMZISHENI KIDOGO MTAWAUA JAMANI😂😂😂😂😂😂😂😂😂
CPA ni Chama, Pacome na A ni Aziz
Vijana mnatisha mkovizuri sana
Daima mbele
Yanga kun fursa nyingi hakik yanga day inafaaa
Watu Wa maana Sana nyie
YANGA OYEEEEEE
CPA imekamilika
Ila Wananchi jamn🤣🤣🤣💚💚💚
Tupe ukweli kuhusu Azz ky?
Ss ndo wananchiiii bhnaaaaa😂😂😂
Noma sana
Hongera sana chama jangwani
Nyie vijana mnabalaaaa😂😂😂😂
Ila Mudathir mtafutieni mbadala wake
Jamaa mnajua kukera
Jamani raha mpka unakeraaaaaaaa
Maxi naye amesahini mkataba
Wapi leo
fresh,tu,wananchi
Hahahaaaah,mupo vzr
Watu hawajui maana ya DEEP SQUAD! Waacheni wahangaike! Ukisikia mtu yeyote anayehoji ujio wa Chama Yanga,anahofu! Akisikia hizo namba 10 nne,tumbo joto! Man city wameweza ku dominate PL kwa sababu wana deepest squad IN PL! Arsenal wameshindwa kutwaa ubingwa misimu 2 iliyopita kwa SABABU kikosi chao games kama 5 za mwisho walichoka! Man City ,wakawa HAWANA wasiwasi! Wachezaji wote wanatisha! Hakuna 'man city B' yanga tutakua na mechi nyingi sana this coming season,why , WE.WANT TO WIN EVERY TROPHY OUT THERE! Wachambuzi uchwala wanashindwa kuelewa,YANGA TUNAFIKIRIA CAFCL ZAID KULIKO LIGI! CHAMA NI MASTER WA CAFCL!
Yaani nilikua nawaona watu wa maana kumbe mazuzu tu
Yaani waandishi wa habari bongo ndo wapumbavu,wanahoji vitu vya kitoto kisa ulaya😂😂😂ila hawazi kuhoji kwanini huko ulaya HAWANYWI SUPU?! YANG IS AN INDEPENDENT CLUB,WE DO IT OUR WAY!
WOW
😂😂😂😂ila yanga tunauchokozi baraa
😅😅 nawapenda sana
💚💚💚💛
❤❤❤❤❤
Mnavituko nyinyi 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂💚🧡🙌🙌🙌
🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
Ukisikia kukera basi huku😊😊😊😊😊😊
💚💛💚💛
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
Hii mkiifanya sa 3 asbh mtawanyima viewers media zengne
Yaan mnajua kukera daah
😁😁😁😁😁
Sisi mashabiki Wa yanga African tunawaomba Joseph Guede abaki jangwani maana hao tunao sikia sikia kuja badala yake Awana uwezo Wa kumfikia huyo mwamba Kwa mfano huyo Jean Baleke Jonasan SOWAH mmmmh awamfikii Guede kivyovyote vile
Vijana wa hovyo kabisaaaa😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 hakika wa hovyo kabisaa
❤❤❤❤
💚💚💚💚💚
Khaaaaa 😂😂😂😂
Nyie watotoo ni balaaa😂😂😂
Hilo ndo jambo nlitoa wazo saafi kabsa
Duh safiiiiii
nyie ni vichaa haki ya mungu😂
Hiiiiiiii imeendaaaaaaaaaaaaaaaa
Priva 4 sauti hiyo
Yani nyie mnawakera Sana
Shairi la nguvu
😅😅😅😅
😂😂😂🙌
Hahhaah
Priva una sauti nzr
😂😂😂💛💛💛💛💚
🎉🎉🎉😂😂
😁😁😁😁
😅😅😅
😂😂💚💚
Abdulaziz kumbe unaweza kuimba kwaya za kikatoliki swafi sana jangwani raha?
Vijana hawa bana 😅😅😅😅
Haaaa
😢😢😢😢😢😂
😂😂😂mmetisha