ความคิดเห็น •

  • @johnbupimali5019
    @johnbupimali5019 2 ปีที่แล้ว +9

    Twaha ni mtu mmoja yuko makini sana, kingine anapigana na mpinzani wake feya play maana alikuwa na uwezo wa kumuumiza Dulla mbabe. His bravo

  • @benedictmsami4966
    @benedictmsami4966 2 ปีที่แล้ว +3

    Refa man of the match, ile twaha kuanguka raund ya kwanza na kusukumiwa kumi zaidi, rwfa angemaliza

  • @paulmwangi1439
    @paulmwangi1439 2 ปีที่แล้ว +3

    Uyu bondia tuna mpenda sana. Ako na eshima sana anakuanga na eshima sana ❤️🇰🇪 ❤️

  • @fiderisedward2076
    @fiderisedward2076 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu abarik kazi yako brodher hujabebwa ngumi zmeonekana tunakukubar miaka 💯

  • @ahmedlao7273
    @ahmedlao7273 2 ปีที่แล้ว +2

    Laa ilaha illa Allah muhammad rasul Allah.
    Kiduku big up bro keep it up.
    Allah atulinde sote mm na wewe na kila anaekupenda na atuongoze.

  • @giuseppegumina5576
    @giuseppegumina5576 5 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations Is Italian Boxeur.
    I LOVE BOXE ❤
    I LOVE AFRICA ❤
    I LOVE AFRICAN CULTURE ❤
    I LOVE AFRICAN PEOPLE ❤

  • @ShaqueeBlackrapper
    @ShaqueeBlackrapper 2 ปีที่แล้ว +3

    TWAHA KIDUKU NEVER DISAPPOINTS

  • @Lumegilemukata
    @Lumegilemukata 2 ปีที่แล้ว +6

    Nilichokiona dulla ni mvumilivu,laiti angekuwa bondia mwingine angepigwa KO,,big up Kiduku💪💪

  • @tolepeter3538
    @tolepeter3538 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mabondia wote. Ila kile ningeweza kusema ni kua ,ni vyema kukubali uamuzi wa majaji, kwani huu ni mchezo wala si vita.Cha pili, kama mchezaji hakuridhika na pambano basi kuna nafasi ya kuomba pambano liregeleo tena. Tusionyeshe hasira tuwe wapole tu.Otherwise hongera sana watanzania. Salamu kutoka Kenya.

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 ปีที่แล้ว +4

    Twaa inatakiwa usimamizi mzuri uyu ni Tyson wa Tanzania

  • @husseinkinaa9445
    @husseinkinaa9445 2 ปีที่แล้ว +2

    Big uuuuuup twaha kidogo umemshikisha adabu mawe maweeeeni!!!

  • @galuyegaluye2813
    @galuyegaluye2813 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmmh kwa Wimbo Wa Dulla Bingwa Alikua ameshapatikana kwenye Intro Tu🤣🤣🤣🤣

  • @aishamaulidi7425
    @aishamaulidi7425 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Twaha umecheza mchezo mzuri sana show show kaza buti tupo p1

  • @roqerz
    @roqerz 2 ปีที่แล้ว +2

    Hapa Hakuna Mabondia,, Wote Akili Wanatumia kidogo Nguvu Nyingi Ndio Maana Wakitoka Nje ya Nchi Wanapigwa, Mwakinyo Still On Top

  • @halfahalfa9728
    @halfahalfa9728 2 ปีที่แล้ว +5

    Mmechelewa sana kupandisha highlights za hili pambano TH-cam

  • @aishaalliy3131
    @aishaalliy3131 2 ปีที่แล้ว +3

    Team kidukuuuuu oyeeeeee

  • @muhamadmaulid694
    @muhamadmaulid694 2 ปีที่แล้ว +1

    Boy kiduku kifaru , respect kiduku nakukubali mwano .show show......

  • @peterjohn8405
    @peterjohn8405 ปีที่แล้ว +4

    Twaha ana nguvu ,ila anatakiwa mwalimu wake amfundishe kuhifadhi pumzi na kupiga target. Anarusha ngumi na mwili mzima mzima. Akipata bondia makini anayeweza ku defend vizuri anaweza akapigika vibaya.

    • @hanashhanash535
      @hanashhanash535 ปีที่แล้ว

      jamaa ako kama Tyson 💯✍️ alafu akuwe na foot work position

    • @zuberimohammedi201
      @zuberimohammedi201 ปีที่แล้ว

      Safi,tatizo kiduku ni walimu wake in reality kiduku walimu wake si walimu wa ngumi bali wa kubeba vitu vizito

  • @stevensimbakila5383
    @stevensimbakila5383 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukimtegemea mungu yetu Yana wezekana

  • @davidmajor9807
    @davidmajor9807 2 ปีที่แล้ว +6

    Kumbe shida ilianzia kwenye nyimbo ya dura kaingia na taarabu

  • @omarmzee758
    @omarmzee758 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu jaman ndo dula mbabe ninaemskia au dula makabila???

  • @fatmarashid3629
    @fatmarashid3629 2 ปีที่แล้ว +4

    Msiwe mnachelewesha video bhn, sio vizuri

  • @themountaintv6625
    @themountaintv6625 ปีที่แล้ว +2

    Morogoro ni mji wa vipaji
    Hongera twaha ukae kunogo

  • @aminamwangile4020
    @aminamwangile4020 2 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante twaha kwa kutuwakilisha vyema wana morogoro

    • @shabanikamsawa181
      @shabanikamsawa181 2 ปีที่แล้ว

      Nimefurah sana hata mm Dada amina wa morogoro mwenzangu Moro sehemu gani my sister

  • @JuliusTasius
    @JuliusTasius หลายเดือนก่อน

    Twaha hongera kwa kazi nzur

  • @hanashhanash535
    @hanashhanash535 ปีที่แล้ว +1

    Twaha uko sawa sana Ila jaribu zoezi ya kamba kuruka juu uko na nguvu Sana Ila miguu inahitaji power ✍️ anyway your champion 🏆

  • @lastsimbatv1497
    @lastsimbatv1497 ปีที่แล้ว +1

    Moja sheria ya bondia.bor ni anajua ku kwepa ngumi htrahi hlo kwa kiduku kapass then antupa ngum nying san sem akipa da nguv za miguu na kumove kwenye position sahihi atakua ka win sana

  • @soundjorge4468
    @soundjorge4468 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania boxing mko vizuri Sana , 🥊🥊🥊🔥🔥🔥🔥🔥

  • @abmropeamadeus7286
    @abmropeamadeus7286 2 ปีที่แล้ว +6

    Ilo Jamaa la morogoro linanguvu Sana, kashida kwa haki kabisa

  • @saidomari001
    @saidomari001 2 ปีที่แล้ว +2

    sijaona sababu ya Dulla kulalamika na maamuzi,akubali matokeo Twaa yuko vizuri kumliko

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 2 ปีที่แล้ว +1

    Dula hamuwezi Twaha, ajipange tena mwakani!!!

  • @godblessnkyale8980
    @godblessnkyale8980 2 ปีที่แล้ว +1

    Dulla mnyonge 😂 Aliingia Amesukaa kilichochomktaaa
    Hadiii nyweleee zilifumkaa amaà kwerii ujanjaaa siii kuwaiiii ujanjaaa
    Ni kupataaaa😂😂😂😂😂👏

  • @fatmarashid3629
    @fatmarashid3629 2 ปีที่แล้ว +4

    Dullah ana kiburi ndo maana kadundwa

  • @josephclemence4441
    @josephclemence4441 2 ปีที่แล้ว +2

    Kiduku oyeeeeeeeeeeeeeeeee🙏🙏🙏

  • @dipletitus9967
    @dipletitus9967 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyo referee sio professional kabisa kwani ni lazima fighters wa touch gloves 😅 , and the craziest thing she said ety sintoruhusu pambano mpaka mtouch gloves

    • @CANNYMAN
      @CANNYMAN 2 ปีที่แล้ว +2

      We ni professional mchambuz au hater tyu

    • @aidongitau7214
      @aidongitau7214 ปีที่แล้ว

      Yani wacha nkucheke tu😅😅 hii si Wrestling usiwe mbumbu katika masumbwi kazi ya referee mwanzo nkupeana General instructions
      1, Obey my commands at all times
      2, Protect yourself at all times
      3, Any questions?
      Kisha utaskia referee akisema touch them up (yani touch gloves) na kila bond anarudi kwa corner yake na referee anaendelea kuwa sawia na majudge na time keeper.

  • @abrahampalanjo2306
    @abrahampalanjo2306 2 ปีที่แล้ว +1

    Naikubali sana

  • @johnsonmarick45
    @johnsonmarick45 2 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania is doing good in Boxing nowdays

  • @yussufkansela8118
    @yussufkansela8118 2 ปีที่แล้ว +15

    refary yuko vizuri sana

  • @fakihassani3
    @fakihassani3 9 หลายเดือนก่อน +1

    Dlla jasiri maashaallah

  • @kiya0910
    @kiya0910 7 หลายเดือนก่อน +4

    Bado nacheki hii pambano dulla aliyakanyaga na Jena pia akayakanyaga Kwa katopa daah kiduku smtu poa

  • @wamoroboy8963
    @wamoroboy8963 2 ปีที่แล้ว +4

    Moro town stand up✌️

    • @BONGELANEEMA
      @BONGELANEEMA 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/MOMMwViyIaU/w-d-xo.html

  • @victorbais6215
    @victorbais6215 2 ปีที่แล้ว +2

    Mm nilifurahishwa na mtangazaji😂😂😂😂

  • @hamza.abubakarhamza.abubak997
    @hamza.abubakarhamza.abubak997 ปีที่แล้ว +3

    Hi

  • @richarddabryin9126
    @richarddabryin9126 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaani nyimbo tuu inaonesha nani mshindi

  • @mbarakahmed3892
    @mbarakahmed3892 ปีที่แล้ว

    Twaa pia Ako sawa sana kwakweli

  • @kngshassan5202
    @kngshassan5202 2 ปีที่แล้ว +3

    Hivi tuseme ukweli upiganaji huu kweli ndio mnataka kupigana na bondia mwakinyo tusitaniane jamani wacheni ushabik uchwara hawa bado sana wanapigana kama kuku majogoo

  • @alinyange8186
    @alinyange8186 2 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja twaha kazi tumeiona

  • @ngwanasongowelero7153
    @ngwanasongowelero7153 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh noma sana

  • @icclcharters3389
    @icclcharters3389 2 ปีที่แล้ว +1

    Maoni yangu
    Twaha bondia mzuri,nguvu anazo isipokuwa punches bado shallow lazima aongeze bidii to get maximum power from the ground to legs hips shoulders and fist must deliver it,kifupi improve stamina and techniques,atulie asipige kwa jazba:end result ya knockout zilizompata ni weak stance.
    dulla mbabe:Good punches but medium power,lazima aongeze nguvu, defence is weak when blocking punches anatakiwa ajifunze ku redirect force not to fight against it.
    Overall results:Crown wangeikata nusu(draw match)👍

  • @plaizoboy2647
    @plaizoboy2647 2 ปีที่แล้ว

    Noma

  • @ewhite2806
    @ewhite2806 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna wa kupigana na Mwakinyo hapa

  • @abdullaothman3772
    @abdullaothman3772 2 ปีที่แล้ว +1

    Kila nikirudia kuangalia hii clip nachukia sana ujinga wa Ushirikina wa huyu kiguru mlemavu na huyu dullah shoga, limeacha kufanya mazoezi kwa bidii limeishia Ushirikina kwenye michezo

  • @anthonysangawe8094
    @anthonysangawe8094 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @kngshassan5202
    @kngshassan5202 2 ปีที่แล้ว +12

    Hivi upiganaji huu ndio mnaweza kupanbana na mwakinyo ndio kweli ngumi hazina mwenyewe ila kwa upiganaji huu dah mwakinyo hebu muacheni kwanza yy yupo kimataifa zaidi.

    • @godytz6874
      @godytz6874 2 ปีที่แล้ว

      Mwakinyo ndo nani

    • @habilmeshack9462
      @habilmeshack9462 ปีที่แล้ว

      Huyo mwakinyo muuza mapambano melete

    • @kambaajunior842
      @kambaajunior842 ปีที่แล้ว

      Wewe ngumi zenyewe hujuw naxdhani km unajuwa Sheria zangumi

    • @faisamsaid254
      @faisamsaid254 ปีที่แล้ว

      Jidanganye

  • @mohamedzuber3830
    @mohamedzuber3830 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @ramsokundowela7134
    @ramsokundowela7134 2 ปีที่แล้ว +2

    Twaha kiduku

  • @rizikijaha3390
    @rizikijaha3390 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwenye kushindwa ngumi zake nzito ako poa sana Bora awe faster atakua deontay wilder junior kwa knock out

  • @user-fr8jp9ui8l
    @user-fr8jp9ui8l 9 หลายเดือนก่อน +2

    Dulla akiwacha kiburi basi atafanikisha ndoto zake

  • @leticiarugakira2367
    @leticiarugakira2367 2 ปีที่แล้ว +1

    Twaha tuna believ in u

  • @assab3167
    @assab3167 ปีที่แล้ว

    Kazi kazi

  • @saidomari001
    @saidomari001 2 ปีที่แล้ว +1

    majaji wako sahihi,hupenda kuregelea kutizama hii fight kwasababu ni nzuri hii fight

  • @allyseleman7787
    @allyseleman7787 6 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba pambano na dullah

  • @georginaluoga731
    @georginaluoga731 2 ปีที่แล้ว +2

    wimbo alio ingilia dulla mbabe🤣🤣🤣🤣 ndio man alishindwa

  • @issubajaji7924
    @issubajaji7924 2 ปีที่แล้ว +1

    Twaha ww ndiyo tanzania one. karibu sana mtwara ata huku tunataka raha

  • @hanashhanash535
    @hanashhanash535 ปีที่แล้ว +1

    huyu Twaha anakaa kama Tyson 💯✍️

  • @yustasaid4785
    @yustasaid4785 2 ปีที่แล้ว

    Ama kweli dula amechezea vitas.big up twaha

  • @tiffahsalimsalim500
    @tiffahsalimsalim500 2 ปีที่แล้ว

    Hongera twaha kiduku

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 ปีที่แล้ว +1

    Ila kiduku anajitaidi sana azidishe tekiniki na mazoezi

  • @hasanjambi9871
    @hasanjambi9871 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ndo Kila kitu

  • @kaismwanjonde7771
    @kaismwanjonde7771 2 ปีที่แล้ว +1

    Dulla mbabe alijpanga

  • @mikebaltazar2402
    @mikebaltazar2402 2 ปีที่แล้ว +1

    Anae jiuona mbabe akapigane na efe ajagba Nigeria

  • @jumaobudo6823
    @jumaobudo6823 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwakinyo

  • @user-oe3bu8sc4i
    @user-oe3bu8sc4i 3 หลายเดือนก่อน

    Twaha nihatari Sana

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 ปีที่แล้ว +1

    Dullah mnyonge

  • @cellinethomas4715
    @cellinethomas4715 2 ปีที่แล้ว

    Show show 🤓🇹🇿👋

  • @user-pu9fq9cv5c
    @user-pu9fq9cv5c 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hili pambano lilikuwa noma sana

  • @samsongwambiye9704
    @samsongwambiye9704 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwakinyo anaweza kumuua kiduku

    • @erickmsigwa88
      @erickmsigwa88 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa kiduku gut zake huyoko makini nazo mwakiinyo noma atalegeza tumbo lake ataomba poo kiduku

  • @riffatsaid2256
    @riffatsaid2256 2 ปีที่แล้ว +3

    Hata me ningekuwa mwakinyo siwez nikakubali kutia saini, maana kwa ngumi kama hizi unaweza jikuta unashushwa CV yako hiv hiv.

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 2 ปีที่แล้ว +1

    Kamati za ufundi vitasa, waganga wapo au hawapo🤣🤣🤣

  • @rajabupetermoses7338
    @rajabupetermoses7338 2 ปีที่แล้ว +3

    Dulla mbabe alishinda Kwa ko Kwa Sheria za ngumi

    • @twaibuiddy6851
      @twaibuiddy6851 2 ปีที่แล้ว

      Unazungumzia sheria ipi iyo Dullah angeshinda endapo Twah angeshindwa kuweka guard

    • @kibokoyaotz4509
      @kibokoyaotz4509 2 ปีที่แล้ว

      Angeua km anaweza ukiona twaha ameendelea na amempiga dulla maana yake anamuweza..

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 2 ปีที่แล้ว +3

    Dula alikua hajielewi refa alimsaidia kwamba rudi kwenye kamba yako yeye hajaelewa

  • @JacksonFanuel
    @JacksonFanuel ปีที่แล้ว +1

    ANAJUA SANA

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 ปีที่แล้ว +2

    Kila nokijaribu kutafuta kosa la refa Pendo njau hapa silioni!! Bali naona tu kosa la Dullah baada ya kumuangusha Kiduku alibakia hapohapo wakati alipaswa kwenda kwenye neutral corner ili kumpa nafasi refa aanze kumhesabia Kiduku.

    • @feisalomar-hr3hq
      @feisalomar-hr3hq ปีที่แล้ว

      Huwez kuona ila Kwa hapa nw nimeona pendo njau alileta mapenzi twaha alipo anguka na kuisabiwa nakurud Tena chini asiinuke moja Kwa moja ni mchezo umeisha na pia amepigwa ngumi nyingi bila ya kujibu mchezo ulikuwa umeisha dulla Yuko sahihi kaonewa

    • @user-dz6zq2xd5w
      @user-dz6zq2xd5w 2 หลายเดือนก่อน

      Kaonewa, wawe wanajifunza kucheki marefa WA ulaya namna wanavyo hesabu, mchezo umekuwa umeisha kwa kuwa hakujibu mashambulizi pindi alipo anguka Twaha,kaonewa Dulla

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 หลายเดือนก่อน

    Watu wanamsifu kiduku,,,,lakini asijaribu pambano na Mwakinyo ataumbuka.

  • @udiabdullah5261
    @udiabdullah5261 ปีที่แล้ว +3

    Kiduku uyu jamaa anapumzi mzur sana

  • @kimscharos9156
    @kimscharos9156 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo lilianzia hapa!

  • @soundjorge4468
    @soundjorge4468 ปีที่แล้ว

    Great fight , real warriors TANZANIA BOXING RESPECT ' 🥊🔥🔥🔥🔥

  • @kngshassan5202
    @kngshassan5202 2 ปีที่แล้ว +3

    Waendelee tu kupambana huku huku chini kwanza

  • @mtv6829
    @mtv6829 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwenzie kaingia na wimbo wa kibabe yeye kaja na taarabu kwanini asipigwe

  • @ochengcollines
    @ochengcollines ปีที่แล้ว

    Correct score.

  • @mbarakaubuguyu7448
    @mbarakaubuguyu7448 ปีที่แล้ว +7

    Dullah mbabe kazurumiwa haki yake kwani Sheria inasemaje

    • @user-ec6ox7pw3b
      @user-ec6ox7pw3b 5 หลายเดือนก่อน

      Ni kwel ajajib ngumi mara nyingi ingetakiwa amalize pambano

    • @djrichsingelifreva8245
      @djrichsingelifreva8245 5 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 2 ปีที่แล้ว +2

    kweli Twaha n boxer no 1 Tz
    sasa mwakinyo ndıo acheze na twaha!
    mbona anakuga rpund ya pili

  • @abdallahhamis7888
    @abdallahhamis7888 2 ปีที่แล้ว

    Sawa

  • @thomasmapunda1772
    @thomasmapunda1772 2 ปีที่แล้ว +1

    Vitasa

  • @gfunk7440
    @gfunk7440 2 ปีที่แล้ว

    Kiduku🔥

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 2 ปีที่แล้ว +1

    mwakinyo asthubut mzık wa Twaha
    atajamba checherr
    yy asubir wazungu wanakula mayaı cıo mıhogo moro n kıla kıtu ngum moro -Tz.

  • @saimonmagesa8916
    @saimonmagesa8916 2 ปีที่แล้ว

    Haya bhana

  • @mustaphamkawa5052
    @mustaphamkawa5052 2 ปีที่แล้ว

    Hivi kale kamsemo niling'atwa na mbuzi bado kipo?

  • @alfhhakaguo2864
    @alfhhakaguo2864 2 ปีที่แล้ว +1

    ase ungeuwa kiduku ameishauyo

  • @fahdihasnuu9034
    @fahdihasnuu9034 ปีที่แล้ว +1

    Dulla kaonewa ni kama vile refa alikuwa anapeta yawezekana ime muathiri dulla kisaikolojia hatimae kapoteza