*Enzi hizo mziki unaskilizika na babu Bibi baba mama shangazi mjomba Kaka dada, na maneno yanaeleweka , ila kwa Sasa wasanii wanaimba matusi na vitu visivyo eleweka*
Awa jamaaa walikuwa wana uwezo mkubwa sana!!...... na walikuwa wanajijua , angalia majina yao ( Juma "NATURE" , PROFESSOR jay , ngwair A.K.A "MIMI" ) kazi zao ziliendana na majina yao.
Enzi hizo tukiwa vijana wa sec. Bongo flava ikiwa kwenye harakati za kutoka kwenye muonekano wa mziki wa kihuni kuwa mziki wa jamii. Sio siku wasanii wanaigana kuimba hadi kucheza yaani hakuna ubinifu isipokuwa kiki ndo ubinifu unaowasaidia
You take me way back....... Damn days of my o-level studies pale bagamoyo sec 'magambani'. Today 29 Jan 2018 all the way from Canada nasikiliza ladha za home
Ati mnasifu ngono na pombe kwenye zama za ukimwi hamna soni. Iko maana gani kuimba nyimbo za furaha kila saa wakati kule vijijini watu wanakufa kwa njaa. Aliponyosha miguu wakati blanketi ni fupi aling'attwa na mbu kwenye visigino
Mwambiye diamond na wcb yake waende shule kwanza kujifunza mziki maana hapa hawaingii maana hakuna matusi hapa ni full kuelimisha jamani na harakati za kunogesha bongo flavor.wcb nendeni shuleni
daaaaahh yan mpkaa najisikia vzr man umenikumbushaa mbali sanukowap dj nikupe atavuku ten ya soda man nilikuwa nataka nisikie saut ya mkali wa frestyle mzee mzima ngweair
Who is listening dis in 2024...gonga like
2023 nani yupo 🎉 I need like zenu wahenga
2024 na mambo imechemuka 🔥
wacha tu...znachemsha....apa rongai ni kama zimetoka jana
2023 Tunasonga nayo mix kali sana 🔥🔥 gonga like tukisonga mtu wangu💔💔
Kama umekubali like hapa
2024 nani Ako hapa?
Listening 2023
Hizi ni nyara za Taifa yapashwa kutunza kwenye makumbusho na kulindwa kwa wivu mkubwa 🇹🇿
@19 Dec 2020
Yeah! Nafikiri baraza la sanaa wangefanya hivi inge make sense
2023 love from Kenya...only bongo songs i listen
2023 wallai
who's here 2023?
2024 still onTop🙌🙌
Ruto ndio president na bongo bado inatamba kama niinii
*Enzi hizo mziki unaskilizika na babu Bibi baba mama shangazi mjomba Kaka dada, na maneno yanaeleweka , ila kwa Sasa wasanii wanaimba matusi na vitu visivyo eleweka*
Kabisa hadi raha Sasa ivi freemason imealibu kila kitu
umenena mule mule
True old bongo fleva
alafu anasifiwa ana nyimbo kali hahahahahah
Mh! Ulisikiliza Dege la jeshi la Dudu Baya😁😁😁
Oct. 2023 gonga like
2021 bado inahit. Big up ndugu zetu jirani watanzania. Weka nguvu tukisonga🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ujirani bado n mwema sana
Hapa ndipo, yani dj brazza God bless you kwa sana, yani hizi ndio niziregeshwe 🔥🔥🔥🔥🔥🔥kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Mexico🇲🇽🇲🇽🇲🇽
Mkongwe wa mistari, wafunze wataishi wakikumbuka...
2020 Nani Yuko In Gonga Like Twende Pamoja
Pamoja xn
Sanaaaa
Sana tu bro
Tupo wengi tu
Bongo Flavã will never be da same Wanaume,Nature,Man Ngwair,P.Jay,Dully,Blue,Ray c,Jaydee,Temba😂😂😂😂 ATAAAARI
Sidhani kama kitakuja kujiludia Tena kizazi kamahiki chenye burudani Kali kamahizi
2023 still listening to this music
Awa jamaaa walikuwa wana uwezo mkubwa sana!!...... na walikuwa wanajijua , angalia majina yao ( Juma "NATURE" , PROFESSOR jay , ngwair A.K.A "MIMI" ) kazi zao ziliendana na majina yao.
Na ubunifu 100% sio sasa hivi hawa wa sasa wana copy copy tu
Nakumbuka shamra shamra enzi zile za kisekondari high skuli
2021 gonga like twende sawa ❤️❤️from cape Town
Niliacha shule Dio niskize hii elimu ya hizi ngoma ,
Mwenye Anajua Huyu mwenye Aliimba hii nyimbo inayoimba "kama Unapenda hii track basi sema ooh Aniambie pliz
28:50 min you can Google up the lyrics. Good luck
Anaitwa JayMoe-name of the song Kimyakimya
Tanzanian producers wako juu sana.
Mix hatari Sana 🔥
Way back that was real bongo hip hop gonga like if you still listening till 2020🇰🇪🇹🇿🇧🇭
Misosi ntoke vp 🎼🎼🎼🔊🔊, likes kibao kwa bongo old skool!!!
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🦋
Ngwair we miss you man..you inspired most of the East African rappers
Ngwair and professor 🔥
@@kennedymaende5297 pp0p00
Mkusanyiko wako bora zaidi. Shukran
mx kali sana
MWITA...DOOLER...P FUNK MAJANI...CHADEMA...
leo hawawezi hata waimbeje jaman,he!!
Najihusi kuwa kichaaa
2023
Bobi wine for president 2021........Tanzania oyee...one love
This takes me back down the memory lane... 'em good old days.
Noma sana
One love 2020 gonga like twende pamoko 👍
p1
Nakubal
13/12/2019 like kwa anaesikiliza hii
Samahani DJ huna kanda yeyote hapo maaana umenikumbusha mbaaaaali enz za zali
Atariii sana kimy kimy
Ngoma Kali brother nakubali Sana vitu vya old
2021 naskiliza mikito hii naikubaal knomanoma
Gonga like km tunazkubal nyimbo hz
Oooh no give change
Una mawazo mengi
Itakufariji weekend
Saivi ni mbunge heshima kwako brodah....
oooh no keep change
Zali lameni taaari❤❤
Napenda sana bongo hip hop kama hizi yaan og San🔥🔥🔥
R.I.P cow boy Ngwea East Zoo tunakukumbuka sana 27.03.2020
Kali
Wazi hizi ndio zenyew all the way from kenya mombasa
Enzi hizo tukiwa vijana wa sec. Bongo flava ikiwa kwenye harakati za kutoka kwenye muonekano wa mziki wa kihuni kuwa mziki wa jamii. Sio siku wasanii wanaigana kuimba hadi kucheza yaani hakuna ubinifu isipokuwa kiki ndo ubinifu unaowasaidia
DJ noomaa
nakufuata jamani!!
izo ndo bongo kamili siku izi ni ujinga 2
True.. From Kenya hapa
Nimeenjoy sana like kama zote twenzetu enzi izo raha sana si siku hizi mziki wa gonolea hàibu kubwa kuusikiliza
Nimekuball Mbabane,woza
32:15 remind me please the song. all love from Burundi
Mos mos-E-sir
Good mix
Dah asee bonge la thowback yaan song zote nimezikubal,Sasa nikitaka kuedownlord nafanyaje
Old is gold. Certified entertaining music. Muhenga mimi naburudika in June, 2022.
naamuka asubuhi .......natoa mkeka chini pia nukunja vyema....proff jizze
Iko juu tu sana
Miaka inaenda siku hazigandi nakumbuka mbali sana daima nainjoi kusikia huu wimbo wote sema yehaaaaaa!
Yehaaaaaaa!
Bongo flever
Hii ndio time talent ilikua inafanya kazi acha siku hizi imekua tu biashara kila mahali wasanii wamekua fake juu wako after money
Rip magweir 😭😭😭
Prof.jay
Hip hop hoyeeee!
2022🔥
Konkiii enzi zako hahaha nakupenda tu
Leo ndiyo nimesikiza HIP HOP ya ukweli............
much respect sir
Alafu kuna msenge ananiambia hakuna hiphop za kibongo...mshamba kweli
great selection of music but unnecessary scratching..let the music flow
kama kuna nyimbo zinifurahisha ni hizi za akina professed j na juma nature love so mutch
Hapo nimeelewa mziki
Hatar
list nzuri ila transitions kati ya mziki na mziki ungeiweka poa zaid
Hip hop ni noma sana
Nomaaaaaaaa bongooo 9/5/2020🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
kazi kinomaa
huu ndo mziki wa sisi watanzania huko Nigeria tumepotea ##
You take me way back....... Damn days of my o-level studies pale bagamoyo sec 'magambani'.
Today 29 Jan 2018 all the way from Canada nasikiliza ladha za home
me ni 2006
Welcome my love. Zilikuwa tamu zisizo chosha. Bagamoyo home sweet home
hizi ndio nyimbo saruti mkojuuu na wakubali nyimbo zaaa saiz uchafu tuuuu maaa brother wetu ndio walikuwa wanatisha hawaaa mangwear Rip brother
Izi ndo ngoma kali sasa sio zasikuiZ
Ila watz wanajua kuimba kwa hilo nawakubali😂😂2024 naskiliza
Kitambo raha San watu wakikua wanaimba vitu vinavo elewka vizur
Nani anajua jina la wimbo kwenye dakika 28:15
R.i.p mangwea
Og sanaaaa
Nice tme by long time from burg
Esir represent me here👍
Noma sana dj
Wapi wakali wahizi kazi
Ati mnasifu ngono na pombe kwenye zama za ukimwi hamna soni. Iko maana gani kuimba nyimbo za furaha kila saa wakati kule vijijini watu wanakufa kwa njaa. Aliponyosha miguu wakati blanketi ni fupi aling'attwa na mbu kwenye visigino
Heavy Weight mhhhh
Darubini kali
Mnatajataja majina tu nyimbo nzima na mistar isiyokuwa na vina
Ni hatareee Sana pamoja
So
kitambo sana 😜😜
Bakora The Bugz,Bobby Mapesa alitisha sana🔥
Enzii yangu nko kenya
Nimeenjoy sana hii style nakukumbuka wa kongwe wa hip hop kutoka Drc
Niko sazskliza niko hm na wazaz yaan hakuna ata shda. ngma kal tena maadil yako palepale cyo ujnga et uno babalao .12/02/2020 naangalia
HAHaha hatari kaka
Kabisaa❤
2024
2021 ....
The time when music was music
For real..I miss these old days.
Mixing haupo sawa. Ila ngoma ni kali
Mwambiye diamond na wcb yake waende shule kwanza kujifunza mziki maana hapa hawaingii maana hakuna matusi hapa ni full kuelimisha jamani na harakati za kunogesha bongo flavor.wcb nendeni shuleni
Sio matusi tu hata beat zao ndogo
Kabixaa shogangu ushasema Hawa ni bingwala wa msiki
Thanks for your support...DJ braza.. this is a really hip hop... more 🔥 fire!
daaaaahh yan mpkaa najisikia vzr man umenikumbushaa mbali sanukowap dj nikupe atavuku ten ya soda man nilikuwa nataka nisikie saut ya mkali wa frestyle mzee mzima ngweair
namkubali san broo ngweair mungu amlazee sehemuu inayooo stahirii etiii