SPECIAL SERVICE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 231

  • @annastaciamuthama5936
    @annastaciamuthama5936 9 วันที่ผ่านมา +4

    May God bless my spiritual father pastor Ezekiel and spiritual mum pastor Sarah. Through this altar av been healed of brain tumor, I got back my eyesight and God has blessed me with business which I run it myself. Glory to God

    • @beera.g5302
      @beera.g5302 8 วันที่ผ่านมา

      Amen amen 🙏

  • @DhahabuAgneta
    @DhahabuAgneta 8 วันที่ผ่านมา

    Ombea familia yetu.madhabahu ya ulevi,uchawi,kuzika kila wakati,cancer, diabetes, pressure, ulcers. Mungu atuondoleee.

  • @MercylineNyamisi
    @MercylineNyamisi 8 วันที่ผ่านมา

    Kupitia Madhibahu hii ndoa yangu ikombolewe wateja wajae kwa biashara in Jesus name Amen

  • @Annkisonde
    @Annkisonde 5 วันที่ผ่านมา

    Naomba roho ya madeni itoweke na roho ya ufanisi itue ju yangu Amen

  • @FestusMwakio
    @FestusMwakio 9 วันที่ผ่านมา +3

    Naomba kwa imani uliyo nayo pastor, Roho ya talaka imeniinukia kwa nyumba yangu hata mke amekua na vita kama shetani. Mungu wa Ezekieli nisaidie, in Jesus's name 🙏

  • @AliceAtieno8525-mn2xv
    @AliceAtieno8525-mn2xv 9 วันที่ผ่านมา

    Nishike mkono bwana yesu nakuhitaji babaa 🙌🙏

  • @sarafina7032
    @sarafina7032 3 วันที่ผ่านมา

    Praise the Lord Pastor, this is very deep, thank you Jesus!

  • @KimanziSemba
    @KimanziSemba 9 วันที่ผ่านมา

    Niondolee aibu mbele yangu YESU nipe pesa ndoa yangu irudi katika katika Jina la YESU MWANA Wa MUNGU niokoe

  • @Kelvinmburu-f2o
    @Kelvinmburu-f2o 9 วันที่ผ่านมา +1

    Am ruth .nilipona cervix .Thank for praying for us .High blood pressure inashuka sasa after 7yrs struggling. Thank daddy.Naomba kazi mzuri

    • @beera.g5302
      @beera.g5302 8 วันที่ผ่านมา

      Amen 🙌

  • @EuniceKadenyi-n9l
    @EuniceKadenyi-n9l 4 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi wa mungu naomba uniombee mguu wangu umefura na mkono

  • @zainaburuthzainaburuth3376
    @zainaburuthzainaburuth3376 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kupitia kwa hii maombi,Eliud lunani afunguliwe kwa madawa,uchawi,uganga za family ya akina Sharon lando waliotoa uganga wakamufunga nazo zichomeke 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @egranyaega9699
    @egranyaega9699 10 วันที่ผ่านมา +2

    God through this altar protect my family from theft and robbery, the dream I heard at night thieves collecting properties from our house using my dad's pickup isambaratike kwa Jina la Yesu

  • @KimanziSemba
    @KimanziSemba 9 วันที่ผ่านมา

    Nipe Amani ma Upendo Amina naomba inirudishie ndoa yangu YESU niokwe Nyota yangu irudi katika Jina la YESU MWANA Wa MUNGU nipe ufanisi niteuwe katika Jina la Amina

  • @francissenelwa2971
    @francissenelwa2971 9 วันที่ผ่านมา

    May the Lord be with you pastor Ezekiel,and give you strength and protect you from every evil of the enemy ijn.

  • @mariesaks7676
    @mariesaks7676 9 วันที่ผ่านมา

    My God remember me and give me my healing🙏🙏

  • @FlorenceMunyao-ko9tk
    @FlorenceMunyao-ko9tk 9 วันที่ผ่านมา

    I connect my life job and my daughter mum into this alter for God to protect us and lead us in jesus name

  • @LuckyKey-gv3gr
    @LuckyKey-gv3gr 9 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu naomba uniondolee udhaifu kwa maombi na kufunga

  • @winnieondari7885
    @winnieondari7885 9 วันที่ผ่านมา

    Through this higher altar my kids, parents, brothers and sisters wakombolewe in Jesus mighty name Amen

  • @phillipmutende4551
    @phillipmutende4551 10 วันที่ผ่านมา +5

    Prayer Request... I pass my Assesment test with an A grade .. may the Lord go before me on 14th of January to 16 th of January. May be admitted in the Army. May i pass all my medical test. Be with my Family and let them join me as we pursue our projects and our plans that we have presented to God. May the lord rebuke any kind of chronic diseases in our lives.

  • @EuniceIrungu-y1k
    @EuniceIrungu-y1k 8 วันที่ผ่านมา

    Yesu naomba uondolee wazazi wangu aibu kwa familia mzima.

  • @JoyceJoseph-w9t
    @JoyceJoseph-w9t 9 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu naomba rehema ,sistahili Hata kulitaja jina lako,nioshe kwa damu yako ya masalabani

  • @KimanziSemba
    @KimanziSemba 9 วันที่ผ่านมา

    MUNGU usinipite siku ya Leo nipe Neema Amani na Upendo Kwa ndoa yangu nkomboe kutoka ulevini umaskini niondolee aibu na kutharauliwa na unipe shuhuda nanyota irudi Amina

  • @CvVv-l1n
    @CvVv-l1n 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu wapone wote na wakombolewe na wafanyike nyotaa nzuri ya baraka na heshima na ulinzi na wafanyike vichwa above only x5 in Jesus name x7Amen

  • @winnieondari7885
    @winnieondari7885 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu nizaidie nimefika mwisho,Naomba ushuhuda wangu in Jesus mighty name Amen

  • @vanemomanyi
    @vanemomanyi 9 วันที่ผ่านมา

    Baba yangu na shosho yangu wapone magonjwa yote vifungo vilivyo wafunga vikatika kwa jina la yesu

  • @CvVv-l1n
    @CvVv-l1n 9 วันที่ผ่านมา

    Naomba Amen x7 nipone na nipokeye nyotaa yangu ingahe kwa jina la yesu x7Amen

  • @carolinekithome5315
    @carolinekithome5315 8 วันที่ผ่านมา

    Mungu komboa mume wangu mutiso na aondolewe roho ya ulevi

  • @MercylineNyamisi
    @MercylineNyamisi 8 วันที่ผ่านมา

    Kupitia Madhibahu hii mipango yote ya kando kwa mume wangu wapigwe na nguvu radi ya Mungu akiwemo Nancy Onyango in Jesus name

  • @JaneRief-lv5gk
    @JaneRief-lv5gk 9 วันที่ผ่านมา

    I Connect my children, my husband and myself with this higher alter in Jesus name

  • @SilyviaJuma288
    @SilyviaJuma288 5 วันที่ผ่านมา

    Nahitaji amani ya moyo pastor maisha yangu yetu ni yakung'ang'ana nahitaji maombi yako

  • @winnieondari7885
    @winnieondari7885 9 วันที่ผ่านมา

    Through this higher altar madeni, umaskini kuangaika Madhabau mbaya ya kishetani iniondokee in Jesus mighty name Amen

  • @EstherWangui-gf6fk
    @EstherWangui-gf6fk 9 วันที่ผ่านมา

    May almighty God protect you and your family ,am praying you pst Ezekiel, I had a vision about you and I know you are atrue man of God, it doesn't matter what others think , I know who you really serve, God be with you

  • @KimanziSemba
    @KimanziSemba 9 วันที่ผ่านมา

    MUNGU usinipite siku ya Leo nipe ufanisi niteuwe katika Jina la YESU MWANA Wa MUNGU niokoe nirudishie Nyota yangu ndoa yangu nkomboe kutoka ulevini umaskini niondolee aibu mbele yangu ndoa yangu irudi Biashara kubwa Amina

  • @ShimitaShop
    @ShimitaShop 9 วันที่ผ่านมา

    God of God's remember me in the time of blessings

  • @KimanziSemba
    @KimanziSemba 9 วันที่ผ่านมา

    Naomba inirudishie ndoa yangu nkomboe kutoka ulevini umaskini niondolee aibu mbele yangu YESU nipe pesa ndoa yangu irudi kazi nzuri Amina

  • @annamariasilas8510
    @annamariasilas8510 9 วันที่ผ่านมา

    Yesu naomba neema ya kufunga na kuomba

  • @MoreenKarainto
    @MoreenKarainto 9 วันที่ผ่านมา +1

    Let me not give up on you dad ,, i need you in my life dad only you my redeemer ukinikataa nitaenda wapi dad?? I really need you father🙏🙏🙏🙏

  • @agnesmururu1264
    @agnesmururu1264 9 วันที่ผ่านมา

    Baba naomba uniponye uchungu ninaopitia, nipone kwa jina la yesu Kristu ameeeeeen

  • @zipporahjepchirchir7937
    @zipporahjepchirchir7937 9 วันที่ผ่านมา

    Madui wangu wapigwe na radhi ya mungu,wameniwinda Hadi watoto,Wakufee kifoo cha uchungu

  • @ClarisSituma
    @ClarisSituma 9 วันที่ผ่านมา

    May the Lord bless my spiritual father Pastor Ezekiel and spiritual mother Pastor Sarah,through this altar i managed to pass my clerical exam.thank u pastor for praying for me

  • @FaithmwendeMwende
    @FaithmwendeMwende 5 วันที่ผ่านมา

    Chochote kinasababisha Edward akoze kujielewa kifujike leo kupitia hii mathimbau ameeen

  • @agnessraphael
    @agnessraphael 10 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba Mwenyezi Mungu anitendee maisha yetu na watoto wangu tufanikiwe

    • @SMl-b7p
      @SMl-b7p 10 วันที่ผ่านมา

      Naomba mungu nitakapo maliza mwaka huu kila machungu,mgonjwa madharau n kila aina yyte ya mabya yabki kwa huu mwaka nilikiaz mwaka Anna nami bwan 😢😢🤲🤝🙏🙏🙏

  • @franciscandeto545
    @franciscandeto545 9 วันที่ผ่านมา

    Bwana Yesu nikomboe nope roho ya tamanio la Moyo wangu nauniondolee roho ya kukataliwa na roho ya umaskini in Jesusighty name ipray and believe Aaaaaaamen

  • @AbelaKamala
    @AbelaKamala 9 วันที่ผ่านมา

    Thank you pastor you have made my family into another level.Abela Shadrack

  • @kennedynjoroge5409
    @kennedynjoroge5409 9 วันที่ผ่านมา

    God protect us through our journey to kitale and back to nairobi Amen

  • @franciscandeto545
    @franciscandeto545 9 วันที่ผ่านมา

    Bwana Yesu naomba uniondolee roho isiyo yako nauniondolee roho ya rejection naunipe tamanio la Moyo wangu kupitia Kwa hii sacrifice in Jesus mighty name ipray and believe Aaaaaamen

  • @linet-zv7gc
    @linet-zv7gc 9 วันที่ผ่านมา

    Naomba mungu uponyanji in Jesus name

  • @GetrudeIchata
    @GetrudeIchata 5 วันที่ผ่านมา

    Man of God pray for me every time misscarege ,4time remember me enough is enough am tired 😢 nileeinthe name of jesus

  • @mercysoita7333
    @mercysoita7333 10 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba roho ya uponyaji,ndoa biashara..mungu nipee mume aliye wangu

    • @mirriamanusu4306
      @mirriamanusu4306 10 วันที่ผ่านมา

      niombeee mwk wapotee kwa ndoa yangu both side

  • @FestusMwakio
    @FestusMwakio 9 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba Amani ipitayo akili zote ipatikane nyumbani mwangu na kwa familia yangu in Jesus's name 🙏

  • @annastaciamuthama5936
    @annastaciamuthama5936 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba waliokatalia Kwa mashamba ya babangu matuu waondoke.

  • @CvVv-l1n
    @CvVv-l1n 9 วันที่ผ่านมา

    Kupitiya kwa hii mathabau watezi wangu na watezi wa watoto wangu wapikwe na Radhi za mungu na wangolewe uhayi in Jesus name x7Amen

  • @ruthnzioki3995
    @ruthnzioki3995 9 วันที่ผ่านมา

    Gof remember my self n my family during this month of December

  • @FaithmwendeMwende
    @FaithmwendeMwende 5 วันที่ผ่านมา

    Nimetuma moto moto kwa teresia mpaka akoze amani mpaka atoke kwa Edward wachane kabisa kupitia hii mathimbau ameeen

  • @SylviaItinot-k3c
    @SylviaItinot-k3c 9 วันที่ผ่านมา

    Naomba mungu nipe kibali ya kuomba na kufunga eehh Yesu nisaidie 🙏

  • @franciscandeto545
    @franciscandeto545 9 วันที่ผ่านมา

    Nipe neema ya ujenzi nipe neema na roho ya biashara

  • @ksempejohnson7948
    @ksempejohnson7948 9 วันที่ผ่านมา

    I connect my children to the higher alter naomba wafike salama Amen

  • @FaithmwendeMwende
    @FaithmwendeMwende 5 วันที่ผ่านมา

    Chochote teresia atumia kwajili ya Edward kimurudie yeye kupitia hii mathimbau ameeen

  • @annastaciamuthama5936
    @annastaciamuthama5936 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu kumbuka biashara yangu, iinuke niondolee roho ya madeni, aibu, stagnation, backwardnes and delay

  • @annastaciamuthama5936
    @annastaciamuthama5936 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba vijana wangu wawili wafunguliwe wapate kazi na msichana wangu Kwa masomo yake

  • @winnieondari7885
    @winnieondari7885 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu nifungulie milango in Jesus mighty name Amen

  • @mirriamanusu4306
    @mirriamanusu4306 10 วันที่ผ่านมา

    niombeeee ukombozi kwa ndoa yangu na roho ya ufanisiitue juu yangu katika jina l yesu

  • @ClarisSituma
    @ClarisSituma 9 วันที่ผ่านมา

    Pastor I connect to this higher altar my grandfather and whose undergone operation,my aunt whose in wheelchair got involved in accident,my brother whose in jail, i'm praying for my brother kupata nyota ya kazi na ndoa,nami pia naomba nyota ya kazi na ndoa.Amen.

  • @NaomiMbaka-w3f
    @NaomiMbaka-w3f 9 วันที่ผ่านมา

    Naomba mungu mama yangu case yake iishe Leo apewe vitu vyake kupitia ii madhabau ya new life church amen

  • @ednagesare4888
    @ednagesare4888 10 วันที่ผ่านมา

    God, nikomboe, nibariki nifungue. Tumia ofisi yako kama altar ya kubariki, kuponya na kushukihisha Shida za watu wako. Nitumie kama chombo chako Yesu. Via my sacrifice God, make your instrument

  • @lucymokeira4155
    @lucymokeira4155 9 วันที่ผ่านมา

    God protect pr EZEKIEL AND HIS FAMILY so that he can continue to help kenya spiritually. 😮

  • @WebNet-f9e
    @WebNet-f9e 9 วันที่ผ่านมา

    Kupitia haya madhabau magonjwq yote nipote Acidity ya kimapepo wishes milele in jesus name Amen

  • @JanetInyangala
    @JanetInyangala 9 วันที่ผ่านมา +2

    Pastor thank you so much,you have enlightened my heart, my spirit.I wondered why I would fill tired after leading prayers in the church,kumbe I needed to back to the presence of God to be refilled again.God I thank you so much for your servant.

  • @LuckyKey-gv3gr
    @LuckyKey-gv3gr 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu na amani,upendo na communication in my marriage give us spirit of marriage ijn Amen

  • @ruthmutsotso7211
    @ruthmutsotso7211 9 วันที่ผ่านมา

    Praying for journey mercies to all family members and friends traveling this week. Amen

  • @RobinaAbusa
    @RobinaAbusa 9 วันที่ผ่านมา

    Visirani kzn, nyumbani kwetu, kwangu, madhabahu ya giza ibomolewe kwa Damu ya Yesu

  • @patriciapamela2191
    @patriciapamela2191 9 วันที่ผ่านมา

    God bless you pastor we are glued here to hear what God says

  • @CvVv-l1n
    @CvVv-l1n 9 วันที่ผ่านมา

    God through this altar protect my family and my children forever in Jesus name x7Amen

  • @CvVv-l1n
    @CvVv-l1n 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba nehema ya hii mathabau iwe sehemu ya maisha yangu na watoto wangu wapone wakombolewe na wafanyike nyotaa nzuri ya baraka Kwa jina la yesu x7Amen

  • @henrymjomba6905
    @henrymjomba6905 9 วันที่ผ่านมา

    I pray for my visa to be out soon,,I connect my self with this altar n I have faith in God. Amen

  • @KimanziSemba
    @KimanziSemba 9 วันที่ผ่านมา

    GOD I need my marriage today, bless and mylost money and my 🌟

  • @samwelojwang3043
    @samwelojwang3043 9 วันที่ผ่านมา

    Naomba MUNGU nifungulie njia nifanyike wa msahada nipate kusaidia watu baba nifungulie milango kumbuka ndoa yangu MUNGU wangu

  • @maryrevelian9084
    @maryrevelian9084 9 วันที่ผ่านมา

    Naomba uniombee hamu ya kusoma nenp la Mungu na kuomba

  • @RoselnyEstua-bj9ri
    @RoselnyEstua-bj9ri 9 วันที่ผ่านมา +1

    Amen prayer request God help me to succeed the plan I plan this year

  • @zawadicharo9740
    @zawadicharo9740 9 วันที่ผ่านมา

    Powerful teachings pastor Ezekiel

  • @Ninahcaroh
    @Ninahcaroh 10 วันที่ผ่านมา

    I'm depending on you Lord, hear my prayers and wipe away my tears of pain

  • @zawadicharo9740
    @zawadicharo9740 9 วันที่ผ่านมา

    Thankyou Abba father for this altar

  • @kimpeter9281
    @kimpeter9281 10 วันที่ผ่านมา

    Never to be too busy for your the LORD.
    Breakthrough in my farming and above only in job.
    Restoration of my marriage and to be the best partner.
    -Gods Mercy and favor in my family. Amen

  • @MillicentChelangat-f4s
    @MillicentChelangat-f4s 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu magonjwa yote yayeyuke na nipate nguvu

  • @bonifacenzyuko4857
    @bonifacenzyuko4857 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu nikomboe kutokana na magongwa sugu na safari yangu iwe salama kesho in the naaame of Jesus Christ. Amina.

  • @kaingudoris3959
    @kaingudoris3959 9 วันที่ผ่านมา

    Thanks Pastor God bless you

  • @RobinaAbusa
    @RobinaAbusa 9 วันที่ผ่านมา

    My father protect my family, parents, sisters, brothers, my husband, children, nod to mbaya ziniondokee

  • @MillicentChelangat-f4s
    @MillicentChelangat-f4s 9 วันที่ผ่านมา

    Naomba uponyaji kupitia haya maombi na appetite mungu usinipite nipone ulcers iyeyuke in the might name of Jesus

  • @bandobandoo3568
    @bandobandoo3568 8 วันที่ผ่านมา

    Tawala maisha yangu baba

  • @judithodialo7139
    @judithodialo7139 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu kumbuka familia yangu,watoto wangu,kuanzia leo hadi mwaka mpya tukuone

  • @hellentuwei4860
    @hellentuwei4860 9 วันที่ผ่านมา

    Ameeeeeeeeeeen nikumbuke bwana

  • @ShillaMbone
    @ShillaMbone 10 วันที่ผ่านมา

    Naomba mungu anipee mume aliye wangu. Urejeshp katika biashara yangu naomba urejesho katika maombi so shall it be in Jesus name

  • @judithodialo7139
    @judithodialo7139 9 วันที่ผ่านมา

    Kupitia madhabau haya mtoto wangu timothy aitwe kwa ile kazi alifanya interview.....apate kibali na apite interview ya kazi Amen Amen Amen Amen

  • @mirriamanusu4306
    @mirriamanusu4306 9 วันที่ผ่านมา

    ameeeeeen lreceive in jesus name

  • @VeronicahNyambura-il6vf
    @VeronicahNyambura-il6vf 9 วันที่ผ่านมา

    My pray request l :, veronicah kamau ,,,kibali changu cha kumtafuta mungu iirudi,,,uombaji,kuimbaji in JESUS NAME AMEN

  • @CvVv-l1n
    @CvVv-l1n 9 วันที่ผ่านมา

    iconect my self and my children and my family to this altar protect me with my family in Jesus name x7Amen

  • @MoreenKarainto
    @MoreenKarainto 9 วันที่ผ่านมา

    GOD plz remember me let me not fall in temptation ,,, protect me from all evil dreams ,,, spiritual husband and wife .plz dad dont leave me alone devil will destroy my life.

  • @CvVv-l1n
    @CvVv-l1n 9 วันที่ผ่านมา

    Mahaduwi wangu wapikwe na Radhi za mungu in Jesus name x7Amen

  • @christineh990
    @christineh990 9 วันที่ผ่านมา

    Blood of jesus in my family and my children life in Jesus Christ name amen

  • @clarasada9941
    @clarasada9941 9 วันที่ผ่านมา

    God give me spiritual growth and strength in Jesus name