Mwaminifuwee mwaminifu baba niliishi Kwa Zambia sikujuwa YESU Nita mufata Mimi kkweli Wana usimuache YESU mile Mungu akuonyeshe njia yake Lila siku umufuate YESU Mimi bamina
Forever and ever I will follow you Jesus becouse you are faithful to me, wherever I'm need you are there for me, your love endures forever.. Hallelujah hallelujah hallelujah
Yesu Yu Mwaminifu sitamucha Milele Ubarikiwe kwa Wimbo mzurii.
Mwaminifu Baba Hongera Kwa kazi nzuri
So powerfully done .. barikiwa siz
Yesu Yu MWAMINIFU stomwacha milele wimbo umejaa upako kabisa ubarikiwe sana mtumishi
amazing melody
Kabisa huyu yesu ni mwaminufu Maishani mwetu,, upendo wake wadumu milele na milele.. barikiwa Sana mtumishi 🙏🙏🙏🙏
Napenda sana
YESU si Kama Mwanadamu kweli kabisa 🙏🙏 Hallelujah 💓💓
Ni kwa neema tu
Thanks for your encouraging comments
Hallelujah nimwaminifu sana, keep going sis
Yesu ni mwaminifu sitamwacha milele, nice song 🙏
Yesu ni mwaminifu nitamfuata milele simuachi BWANA YESU hakika
Keep soaring high ,beautiful song
YESU ni yule yule habadiliki. Uaminifu wake ni wa milele na milele. Amina.
Mwaminifu ni wewe peke BWANA zisi kuwa mwaminifu kwa uduma yako atabarikiwa na BWANA amina
Hakika Yesu ni Mwaminifu pia nitamfuata milele ubarikiwe sana kwa wimbo mzuri
Yesu ni mwaminifu nitamfuata milele, Hallelujah 🙌 ❤may God bless u ❤❤
I tell you ❤
Hallelujah kwa YESU barikiwa Sana wanja wimbo ina bariki Sana nimeoenda
Hongera sana Dada mtumishi kwa ujumbe ulio na uguzo tele.....barikiwa sana 😢 🙏
Yesu habadiliki wow nice one❤❤❤❤
Yesu ni mwaminifu nitafuata milele... powerful song
Kwa huo uwaminifu Mungu ametulinda ametutunza Sifa na Utukufu ni kwake 🙏🙏
Wewe ni mwaminifu Bwana katika maishani Mwangu
Yesu yu mwaminifu nitamfuata milele,Hallelujah 🙌 ❤
Kwa kweli yesu Ni mwaminifu congrats may you go go
Mwaminifu ni Mungu tuu aah nyimbo nzuri
Yes ni mwaminifu nitafuata milele, powerful song 🙏
Amen, sauti Nzuri, wimbo mzuri
Yesu ni mwaminifu nitamfuata milele
Kwa kweli huu wimbo unaguza Sana,,, more grace Mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏
Hallelujah hallelujah hallelujah bwana we we ni mwaminifu
Hakika waminifu wake Maishani mwetu ni WA milele. Nami nitamfuata milele,, Great song..
Powerful 👏🏽👏🏽👏🏽
Yesu yu mwaminifu nitamfuata milele.Amen❤❤❤
Nimempata Yesu ,sitamuacha milele.Amen❤❤❤
Habadiliki kamwe.... wonderful song sis Lydiah
YESU ni mwaminifu sitomwacha milele ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa Kazi nzuri hii iliyobariki moyo wangu by Kennedy mwantwebe from tz
wow
Lydia uko vizurii songa mbeleee my dear ❤❤❤❤❤
Kweli yesu ni muaminifu sana kabisa siku zote 🙏
Hallelujah,Amen anastahili kuabudiwa
Mungu wetu yu mwaminifu kila wakati, hallelujah hallelujah
Ubarikiwe sana
Yesu yu mwaminifu nitamfuata milele.....may God bless you 🙏
Yesu ndiye Rafiki wa kweli, yeye ni mwaminifu
Mwaminifu ni MUNGU peke Sisi tuko chini ya NEEMA yaka barikiwa wanja
Hallelujah 🙌🙌 AKIKA UYU YESU UMWAMINIFU💪💪
Halleluyah 🙌 wimbo mzuri barikiwa
Umwaminifu Yesu Katika Maisha Yetu what a song
Wimbo mzuri sana❤
Hallelujah yesu ndie Rafiki uaminifu wake wadumu milele na milele
Mwaminifu ni weye Baba 🙌🙌🙌
Mwaminifuwee mwaminifu baba niliishi Kwa Zambia sikujuwa YESU Nita mufata Mimi kkweli Wana usimuache YESU mile Mungu akuonyeshe njia yake Lila siku umufuate YESU Mimi bamina
Mwaminifu baba ee ukujuwa uzuri weeke yesu ni mwaminifu ntamufata mile barikiwa sana wanna mungu akuone umufiate milele
Yesu ni mwaminifu namfuata milele, powerful
Mwaminifu Yesu nitamfwata milele.. great song
Kweli Yesu ni mwaminifu kwangu. Sitamuacha .
Barikiwa sana
Nyimbo nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Usimwache Yesu mtumishi. Good message mtumishi
Ustadi kwenye vyombo vimechezwa vizuri
Barikiwa sana mtumishi
Great song! More grace
Kweli kabisa huyu yesu ni mwaminifu, nitamfuata milele
Yes mwaminifu yesu good message 🙏🙏
Atabaki KUWAA Mungu tuuuu ❤❤❤❤❤❤
Ubarikiwe sana wimbo mzuri❤❤
Yesu peke ndiye rafiki wa kweli asante
Wow nyimbo ina bariki Sana barikiwa Sana Lidia na usonge mbele
Mungu ni mwaminifu nystatin zote🔥🔥🔥🔥
Barikiwaaa Sanaa best Lydia ❤️❤️❤️❤️😘😘😘😘💃🎶🎶🎧🇰🇪🇹🇿
Nabalikiwa kutoka Tanzania ❤
Yesu ni mwaminifu milele. Watu udanganya lakini huyu yesu wetu ni mwaminifu milele. Good message
Tangu nimpateYesu,sijaaibika.Barikiwa.
Imeikubali kazi nzuri Sana
Nimekupata yesu ,umwaminifu kwangu,nice
Kwa hakika Mungu ni Mwaminifu tena sana 🙏🙏
Mungu wetu ni mwaminifu🙌🙌🙌🙌
Nice song sister be blessed,hakika mungu ni mwaminifu
Yesu ni mwaminifu sitamuacha milele.. Such a blessing song
Wimbo mzur Aiseeeee songa mbeleeee
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa wimbo mzuri
Hakika Yesu umwanifu
Wimbo mzuri sana hakika nimeona Mungu akubariki
Kumfuata Yesu ni kujitengenesea maisha mazuri juu yeye ni mwaminifu
Kweli ni mwaminifu siku zote kabisa
Yeye ni mwaminifu kweli, barikiwa
Unaimba vizuri sana endelea kumtukuza Mungu wetu mwaminifu
Nice song...Tuzindi kumwamini mungu AMEN.
Hii ni lite sana 🔥🔥💯💯
Dancers wako wawww
Ubarikiwe sana wimbo mzuri unabariki sana
Nyimbo nzuri ❤
Keep soaring higher, nice song,powerful massage
Kazi nzuri sana
Mungu wetu ni mwaminifu Amen ❤❤❤
Mungu akubariki sana wimbo mzuri unabariki sana❤
Sauti tamu, utunzi mzuri, napenda sana huu wimbo, Yesu ni mwaminifu milele.
Forever and ever I will follow you Jesus becouse you are faithful to me, wherever I'm need you are there for me, your love endures forever.. Hallelujah hallelujah hallelujah
Umwaminifu bwana,nice song
Baba ni mwaminifu sana