Mbote nakupendea kitu Moja, you are not fake in your life and you are proud of the level you are so long not stagnant. No pressure in live utaishi Vizuri my brother
Mbote you can act a Hollywood🎬 Movie🎥 You are such a true and authentic vibe. To anyone who has never been to JKIA, we now feel we're not Mapepo. You have represented us very well.
Its good to see you happy for your trip, mimi huskia napanda ndege naskia apana, that thing makes one tired especially mimi juu ni mtu wa economy, unapanda for 8 hrs unaskia ni kama umekuwa ukilima mwezi mmoja straight
Nursing my heart broke with mbote's vibes
And it's so therapeutic 😂😂😂😂😂
Mbote nakupendea kitu Moja, you are not fake in your life and you are proud of the level you are so long not stagnant. No pressure in live utaishi Vizuri my brother
Way to go 🔥🔥🔥🔥
Mungu pia Wa kairu na Dada Sara Enlarge their ways na Ka buda pia🙏
wako na dow walichangiwa na kururia
The travel vlog I never knew I needed🎉imeweza
This guy is wonderful 🌹🌹
Mbote u are making my day. Ati u are going majuu
From mūrio family big team❤❤
U've just got a new subscriber from team bebii.U are such a vibe😂😂😂❤❤💐
Same here
Murages Kindness isvon another level❤
Real and authentic content ati unapiga tot usiskie vibaya kwa ndege 😂😂
Wow Mūrage congratulations 👏👏...mbote,Dame wa fb na swings mauno mkuwe na flight njema na Mungu ambaliki mūrage
Mbote noreke tuhuhie hanini your vibe is vibing 😂😂😂😂😂😂
Amazing have a nice trip broman
I had to subscribe for the love I have for mbote😂😂😂
Wanjiru wa Waya watching while sad. Bora hivo ameachwa I have an opportunity to take her. Wanjiru tigana na Mbote ni thenge ndukamake
Mbote you can act a Hollywood🎬 Movie🎥
You are such a true and authentic vibe.
To anyone who has never been to JKIA, we now feel we're not Mapepo.
You have represented us very well.
😂😂😂😂 I see you
Its good to see you happy for your trip, mimi huskia napanda ndege naskia apana, that thing makes one tired especially mimi juu ni mtu wa economy, unapanda for 8 hrs unaskia ni kama umekuwa ukilima mwezi mmoja straight
Real vibe
mbote you are naturally funny
Mbote welcome to this land of kubus and laban 😂😂❤❤
After Ruto kuwatusi juu ya airport here goes Mbote 😅😅😅
Nikega muno💙💙💙💖
Enjoy your vacation
Aki Mbote you are a vibe ❤❤❤
Aki mbote ❤❤❤❤
Bossie God bless you ❤😂
Guku gwathakarire maa 😊I miss home
Imebidi I subscribe coz I follow you on your social media platforms..I just like your jokes
Hata mimi nimefurahi kumpata TH-cam mbote is a vibe ❤😂
Mbote you are a vibe😅😅😅😅
Sijawai ingia ndege but for the frst time I have. Thnks mbote
Vibe ya mbote ni addictive walai😂..anakuaga mreal ajabu..mbogi yake hufeel fiti
True very real and raw
😂😂😂sana
Hana roho chafu
All the best kijana ya Deiya
Mbote jienjoy dear,
Big brother❤❤
Nice video keep up good work
Enjoy yourself habibi 😂😂😂
Thogoto church of torch... I came there on my early years many years ago. 😅
Mbote is, a, vibe ❤❤❤
Ni kuchomoka moja kwa moja hadi dubai 😂🎉❤😅😊😊😊😊 kabisa.
Amazing
big up mbote from ndeiya tu dubai
Subscribed,DWF fans .
I tap these blessings 🙏
Wanjiru eku....
Nice
😂😂😂😂😂😂😂 walai nimecheka yangu yote.. Mbote is crazy
Huyu jamaa ni mvibe walahi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Aki mnafanyishanga Murage kazi ya ziada...
1st to comment 😂😀😂 Mbote kujeni Qatar it's only 3 hours drive from Dubai...kana mugiuke na ndege 30 min only
Huyu ni mbote mwenye alikua anaambia shiko histyle amleteee pombe 😂😂😂
karis wa able God
Mbote ma iyo NI. buti ya ngariiii??
Wimukenu muno gathuuri😂😂Nakuoenda sana😘
Am sure hakulala
Never let down murage he trusts yue as afriend
😂😂😂😂😂Son from Ndeiya
Mbote ni celeb nikama ni yeye boss 😅😅😅😅😅kamurage ametulia tuu
Wewe ni neighbor. Nyumite Gikambura.
I was looking for neighbours in the comments. Ruthigiti massive 😂
subscribed lazima tuede dubai pamoja😊
interesting video😂😂
Safe skies...Mbote ntafutie job kwa Murage pls
😂😂tuko kwa line ....na si ya metro 😂😂
Ati kaa mnaenda kwa ndege moja uwalipie 😂😂😂😂
Am happy for you 😅😅😅😅
Vile namiss my home country Kenya 😂😂😂😅
Venye hio miguu inalia😂😂😂 taatata
😂😂😂line ya ndege si ya supermetro😂
Mbote njohi urute Kenya maah Murage aya nia winao 😅😅😅
Hii imenifunza usiwai acha mechanic ukienda Dubai😂😂😂
Sasa Na imagine mbote akiwa kwa ndege,, Na hanyamazi,, si watu watamuona majinun 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Gichuru ni fafa munini... Mbote safe Skies sikua online ndio naona maneno hapa bro na mtembee hapa Imaara Mall mkirudi bro
Mungechukua "County"😂😂😂😂😂😂😂
Thanks to your boss murage wow abarikiwe sana
The excitement is real
Weeh Mbote kwani ulipewa kiti karibu na Choo huko ni very far 😂😂😂
Yaani Shiru alikuwa wapi….
Huyu ndiye alikua akue Mzee wngu but haithru😂😂😂
😅😅😅Dam wa Facebook ati what
Gethia andu aa kwa gado😂😂😂
😂😂Kefharik ya mbote
Salimia kahumba sana
Kai wanjiru atanakumagaria?
Hio kitu ya Shingo inasaidia Na Nini mbote???
Nafurahia mmefurahia, lakini sipend safari za ndege kama mimi wa economy mimi huwasili nimechoka sana
Emirates was my fast flight back 2014 now qatar airways is the best best flight
❤❤❤❤
Yaani kwa airport boss ndiye camera man😂😂😂😂😂
I like the way he treats them
Malizia ilikuwa njia ya marram na watu walikuwa wanaibiwa mnaachwa uchi kwa hiyo njia gari inaenda kuporewa mbele, I thank God iliwekwa lami aki..
Ukirudi ukuje unipeleke Nairobi,,, imagine am 20 years old nasijui capital city yangu😢
Enjoy yourself men
Rosegate ni home...Mbote you making me miss home
Macho yangu imefika airport finally
Kwani hurudi Kenya hizo nguo zote ama ni kobe 🤣😂😂
Upcoming TH-camr let grow together
Man mbote😂😂😂😂😂
Mbote n vibe joh
Hiyo kitu ya shingo town ni 500/-
Acha mbote aongee iyo kitu imtoke😂😂😂
Ati laini si ya kuvote😂😂
Mbote na pombe ni mabro... Ata brand zenye anafanyia kazi zinajua 😂😂😂