Good song...Sauti tamu malaika..Bukene hoyeeeee....Mnaiwaikilisha vyema kimataifa binafs najivunia sana nyie nkiwaona..Mungu asabariki adi mshangaeee..
Mmemtendea Haki Maestro Felician Nyundo. Hongera organist, utulivu wa kutosha, umegusa nota vzuri, a little tricky pale mwishoni “fa mi re do re ti so do, mi re do ti re do”ili kuzi link hizo nota vzuri binafsi huwa na forsake baadhi ya nota za Alto, ili nipate smooth playing ya kipande hicho, otherwise kazi nzuri sana, ukiacha maestro mwenyewe aliyeicheza kwenye first record, naweza kusema umefanya vyema sana👏🏼👏🏼
Nyimbo nzuri sana hongereni kwa kazi nzuri
Amina, Mungu akubariki ndugu yetu
Good song...Sauti tamu malaika..Bukene hoyeeeee....Mnaiwaikilisha vyema kimataifa binafs najivunia sana nyie nkiwaona..Mungu asabariki adi mshangaeee..
Amina, tunahukuru sana na ubarikiwe zaidi, endelea kuwa nasi karibu
Goood job, apimzike kwa amani felician albert nyundo
Sauti tamu nyimbo nzuri sanaa
Kazi imetulia sana , Hongera waimbaji na mpiga kinanda.
Asante sana Japhet, Mungu akubariki kwa support yako
Noma sana. ❤❤❤❤❤❤
Kwa kweli mnaimba vizuri sana. Naumwa, kusikia sauti zenu za kumtukuza Mungu Mwenyezi maumivu yanatoweka
Mmemtendea Haki Maestro Felician Nyundo. Hongera organist, utulivu wa kutosha, umegusa nota vzuri, a little tricky pale mwishoni “fa mi re do re ti so do, mi re do ti re do”ili kuzi link hizo nota vzuri binafsi huwa na forsake baadhi ya nota za Alto, ili nipate smooth playing ya kipande hicho, otherwise kazi nzuri sana, ukiacha maestro mwenyewe aliyeicheza kwenye first record, naweza kusema umefanya vyema sana👏🏼👏🏼
Nakuona prof 😂😂😂😂😂 hongereni wimbo mzuri
Hapo mmetugusa wakatoliki wa zamani.Mwalimu wenu namlipa mm mwezi huu.
Nyimbo nzuri sana Hongeren
mmenikosha kwelikweli mpaka damu zimesisimuka kwa wimbo nzuri na melody Safi kabisa
Nice song. Mungu azidi kuwaimarisha kwenye utume wenu
Amina
🙏🙏🙏🙏 Asanteni sana kwa uinjilishaji mnaoufanya.Mungu azidi kuwabarikini❤
Mbarikiwe Sana🤝
Siwadaiiiii. !!!
Translation Psalm 122:1 I was glad when they said unto me, Let us go into the house of the LORD.
Hongereni kazi nzuri
My favourite song ever
I'm addicted to this song😍😍 Kazi nzuri👏👏
So am I
Ewaa, Safi sanaaa💪💪
Asante sana
Nawapenda Fatima jamaniiiiiiiiii!!!!
Amina kubwa
Nyimbo nzuri sana
kazi nzuri sana
Be blessed
Amen, stay blessed ever
Nice song dear ones,keep up
Paschal mlinitolea mwanakwaya wang HAPPYNESS..Jmn...😂
🤣🤣🤣
Safiiiiiii