Wakenya kuanza kukabidhiwa nyumba za gharama nafuu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • Serikali iko tayari kukabidhi nyumba zilizokamilika za mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu huko Mukuru, katika kipindi cha miezi miwili ijayo. Miongoni mwa watakaonufaika na mradi huo ni Milkah Moraa, ambaye ni mwanamke iliyeangaziwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuaibishwa na mhubiri mmoja kwenye runinga hapa nchini alipoomba msaada ili kulipa ada ya nyumba, majuma mawili yaliyopita. Nyumba hizo zitakabidhiwa na rais William Ruto.
    Connect with KBC Online;
    Subscribe to our channel: t.ly/86BKN
    Follow us on Twitter: / kbcchannel1
    Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
    Check our website: www.kbc.co.ke/
    #KBCchannel1 #Kenya #News

ความคิดเห็น •

  • @stephenkabiran9055
    @stephenkabiran9055 5 วันที่ผ่านมา +1

    Beautiful lady

  • @mashar4192
    @mashar4192 4 วันที่ผ่านมา

    Hizi zilikuwa zinatengenezwa Na uhuru before his retirement

  • @bonfacekaranja5782
    @bonfacekaranja5782 5 วันที่ผ่านมา

    Kwani ni mambo ya kunufaika ama hizi nyumba zilikua zipewe maskini wanao ishi huko

  • @abdullahijma2073
    @abdullahijma2073 5 วันที่ผ่านมา

    Na wale ambao hawawezi ku raise deposit?

  • @bensonjojo6259
    @bensonjojo6259 5 วันที่ผ่านมา

    Na Sasa, if she could not pay 4k per month, how is she going 3,900 ? They could have given her for free.

  • @juliusmaranga-zh6be
    @juliusmaranga-zh6be 5 วันที่ผ่านมา

    Ikiwa hakuna ajira kodi ya nyumba itatoka wapi?

  • @VioletMbaisi
    @VioletMbaisi 5 วันที่ผ่านมา

    Sio za bure

  • @shuaibalula9003
    @shuaibalula9003 5 วันที่ผ่านมา

    Pst nganga anakuona

  • @JusterKarimi-v9i
    @JusterKarimi-v9i 5 วันที่ผ่านมา

    Whats the difference between the two prices.4k and 3900

    • @Willy-cu9ri
      @Willy-cu9ri 4 วันที่ผ่านมา

      The house itself and the facilities in it

  • @mohamedibrahim7732
    @mohamedibrahim7732 5 วันที่ผ่านมา

    anae mpinga hii anachuki moyoni

  • @Fatherabraham254
    @Fatherabraham254 5 วันที่ผ่านมา +4

    Haiya kumbe kasongo can deliver 😳😳😳
    Kumi bila breaks

    • @rodgersochieng4961
      @rodgersochieng4961 5 วันที่ผ่านมา

      Anaficha white

    • @mainakihurusia6380
      @mainakihurusia6380 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@rodgersochieng4961 munalaumu Rais wetu William Ruto na in 2yrs ameendika over 76k youth teachers,over 100k to foreign job and he targeted over 5m youth to job in foreign countries..Over 200k youth around Kenya they have daily salaries on affordable housing project...Wee endelea kupinga but Kwa ground Jamaa anapiga kazi...sai ana connect stima to over millions kilometres, And it's just in 2yrs What about in 30yrs in gorvemnt...c Kenya itakua ulaya... Angalia sai how many gorvemnt parastatals zilikua zimekufa in Uhuru rgm and now are functional...

    • @MsooMercie
      @MsooMercie 5 วันที่ผ่านมา +1

      What na hizi nyumba ziliwachwa na uhuru zikiwa 90 % complete only final touches

    • @AmiryyahayaKhamisi
      @AmiryyahayaKhamisi 5 วันที่ผ่านมา

      wewe hata mbwa anaa afazari maana unarohochafu​@@MsooMercie

  • @JohnLuka-x6u
    @JohnLuka-x6u 5 วันที่ผ่านมา

    Huu ni upuzi tuu ,,na wale walimbomolewa.,,Athiriver?

    • @mohamedibrahim7732
      @mohamedibrahim7732 5 วันที่ผ่านมา +2

      hii sasa ni chuki hapa Kuna kosa Gani na maskini wanafurahia