Joho is not prophet but wisdomful leader but Kenyans hawafikiri mpali saai ndio wanaona kitu joho aliona 3yrs ago let us vote joho as president 2027 he is only leader who can lead us in Kenya
@@MarknickNgethe wewe hukumtazama namna alivyo behave tangu kuapishwa?? Hukufuatilia matamko yake mbalimbali?? Hata km hakuhitajika ni sababu hakutenda km DP kitaifa
Watu was mlima ni Bure kabisa only uhuru was wise the rest mabuyu walidanganywa kama kenge wakazubaa kama jini u didn't want to listen to uhuru na kiwarambe Sana ata mashamba wapokonywe kabisa
Badala ya kufanya kazi as DP alisahau na kumtusi RAO mara haingi state hse,mara hakuna cha mlango wa nyuma sasa inakubidi umtafute RAO uingiye kwa chama pumbuvavu.
ALI HASSAN JOH alisema ukuweli kabisa ❤❤❤❤❤❤❤
Joho is not prophet but wisdomful leader but Kenyans hawafikiri mpali saai ndio wanaona kitu joho aliona 3yrs ago let us vote joho as president 2027 he is only leader who can lead us in Kenya
Hata uhuru alisema watalia😂😂
Tiy
Joho ni waziri kwenye serikali ya ruto ambaye mnasema ni mbaya. Kwani jiho atakuwa mtu mzuri na anafanya kama waziri hii kenya? Wacha kutupima
Joho was an angel sent by God to talk the truth at the right time.
What truth wakati he said he will never work with Ruto wheel barrow Umesahau
@@benardnjogu14that's politics
I have tromendous respect for you Ali Hassan Joho for speaking the bitter truth
Wallahi nimejifunza mengi kufikia hapa, ahasante mungu
❤❤❤❤❤ weee Allah atustiri na athifadhi wajawake
Absalom stole the hearts of the people😢😢😢then woe woe woe.
Joho mkweli kabisa I salute mheshimiwa joho❤
Mheshimiwa John allah akujalie neema na busar amiin❤😊
Joho kweli yako imetimia
Very nice ❤️❤️❤️
Joho is like a prophet
Si uchawi ni maombi...🙌
Kabisaa
Tena yakunga siku saba.
001 siku zote ni mukweli❤❤❤
Joho is a prophet. His exact words are happening. Teresiah wairimu hawezi mfikia.
Kali Tu sana
Ubaya ya mlimani nikujipenda sana mbaka hawapendi mashaurí kuwa wako wengi hiyo ndio wimbo Yao Kila wakati
Walai ni ukweli kabisaa even though I'm from mlimaa 😂
You are true brother
Wanajifanya wanaona mbali bt hakuna bure kabisa
@@millicientnoreen9601 Exactly
Usipojipenanda nani atakupenda
Very true kaka umesema ukwali kabisa 😂😂😂
Mimi naipenda hii channel kwa kile unacho sema kiko na ushahidi kabisaaa
Wah! Joho can be a real prophet
Surely he is a man of god
Mko na ujinga! Do you know who is his boss right now?
I remember jho speech,,he saw far Mila is finshind
Kweli mtukufu lies ametenda my friend
It is true 🎉perfect said
God have mercy on our country
That's why I like joho
Hapo iko sawa
Waaaaah Johor Ni prophet
Sipagwigwi ni maombi😂😂😂😂
Joho the prophet walai''Now in Suit as Cs and bought to support the the rooting and dictatorship..Woi..😮
Hapo kueli bwana joho
Mungu ndie. AJUA
Very true heroes of coast
Hayo siyo kweli
Rig G kajiondoa. Heshimu katiba na Heshimu mkubwa wako.
kajiondoa kwa sababu hahitajiki pale akufukuzaye
@@MarknickNgethe wewe hukumtazama namna alivyo behave tangu kuapishwa?? Hukufuatilia matamko yake mbalimbali?? Hata km hakuhitajika ni sababu hakutenda km DP kitaifa
Sasa went wameachwa are all holler than thao .
From Arusha mie.. watching
Chuga
@@fahadfaraj6474 ,..Ok
Perfect said
Accurate
Ruto swallowed his own words
Let Mt kenya people learn from their own mistakes by electing ruto
We want gachagwa to be the deputy president
WELL PLANNED DEAL
Ni kweli joho alisema but Ruto ni msaliti mkubwa sana na dictator...but but let's put our trust to God..he is ever faithful.
Wow!🙏🏿🙏🏿💕
Joho the prophet
Joe ageyo aligonga ndipo kwa hili swali .....joe anajua Ruto vzuri zaidi alitabirii kama joho
I have learned to trust myself only in my life
Wah!😮
Ruto for President
You listen to Ruto and his actions and you know we doomed
acha wakikuyu wakule ukola yao😂😂😂
Ongea ya Tanzania wachana na kenya wewe
Ata wewe unaikulia tu hapo😂😂
@@JamesMwangi-hn2du am not benefiting anything from him/this illegitimate gov't
these community is very tribal
@@amosvasco4723 shame on you.Come see how many tribes and foreigners live and work with kikuyu land. Luo mca in kiambu. talk what you know.
I'm Congolese
What happened joho become a prophet today
🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Sasa na gachagua anatumia mpska ihiibzimu humiliate,. and to make matters worse he is using watu wetu kufight Gachagua.May God see this
Very true it has happened.
Kwel
Noma hii
Correct
Ni Ukweli Mtupu 😀😆🤔
A very true Prophet had spoken
😂😂😂😂😂 atayeye Wacha asikie vizuri kama wale wengine.,..
Kutoka Tanganyika we're together ooo🎉🎉
Exactly Joho
Joho ni mtabiri
Ukweli wa maneno
Wah kweli kabsa
Utabiri wa Joho
Ukweli
When he starts his speech with a laughter, red flag
Ni mwenye mungu peke yake ana weza kumpa kiongozi kama huyo, lakini kwa siasa ya Kenya, ni ya ukabila, kwa nn mupwani aongoze ,Hilo ndilo jibu sahihi
already yametia😂😂😂😂
Joho n mtabiri 😅😅
Wakae tu 😂😂😂😂
Yani Pre Ruto ni muongo kuliko shetani mwenyewe
Asosikia la mkuu huvunjika guu
❤❤❤❤
Mungu iko
The prediction is true now😂
😮
Joho kumbe aliona hii kwa umbali.
Huyu Joho pia amejoin serikali ya wakae wakae
Si imetimoa
Utabiri uligonga ndipo😅
It seams here nobody remember PENTAGON, Joho was part of it and that is where everything was planned, the intention was to silence the mountain.
You are 💯 % right. Things are unfolding as preplanned.
Patrick Pentagon ilimua Najib Balala😂😂😂
Joe Ageyo
Joho akuwa kama malaika alitumwa na mungu
Sai Joho NI waziri wa Ruto naye Gachagua amekuwa opposition, siasa balaa
Very true ,,,,,,
Watu was mlima ni Bure kabisa only uhuru was wise the rest mabuyu walidanganywa kama kenge wakazubaa kama jini u didn't want to listen to uhuru na kiwarambe Sana ata mashamba wapokonywe kabisa
.Dunia ni duara
Better said than done
🤣🤣Ruto ni muongo never trusted
nikwei alivyo sema joho
Ruto ni muongo sanaa😂😂😂
There's some truth in it. Gachagua is gone now it's about changing the constitution. Tutalia sana. 07/11/24
True
Ngai ma joho wi muraika imetimia kweri
Na akae akae sana😂😂😂
Kweli
Hee kweri sasa bado miaka gapi
Sasa miaka miwili imeisha imebaki miaka Arubaini na nane 😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Badala ya kufanya kazi as DP alisahau na kumtusi RAO mara haingi state hse,mara hakuna cha mlango wa nyuma sasa inakubidi umtafute RAO uingiye kwa chama pumbuvavu.
😂😂😂😂😂akae .akae.. 😮
001 aliona mbali sana