VIDEO HD: JIONEE MAAJABU YA FORCE ACCOUNT

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Kwenye Jengo la TAMISEMI, Mji wa Serikali Mtumba

ความคิดเห็น • 39

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 4 ปีที่แล้ว +2

    Ktk top five viongozi wanaochapa kazi kizalendo Mh. Jaffo upo hongera sana

  • @mugerajakatarama2144
    @mugerajakatarama2144 5 ปีที่แล้ว +8

    Hongera Sana our dear Minister Ukweli mheshimiwa Rais hajakosea kukuchagua aliona mbali ndo maana anasema anajenga taifa la kesho wewe ni moja ya mawaziri ambayo Mko makini sana halafu umri Bado ina maana tutegemee mkubwa kutoka kwenu. Naumia sana kutomuona Tena minister Mwijage aliekuwa WAZIRI wa viwanda kweli nayeye alikuwa Jembeee hamna mtu asiependa kusikia Sauti yake na nini amesema Leo..! Kwa kweli ahamu ya TANU 5 mmetupa matumaini.., nakujisifu kwamba cc ni wa Tanzania MUNGU IBALIKI TANZANIA 🙏🙏MUNGU MBALIKI WAZIRI WA TAMISEMI🙏🙏 MUNGU MBARIKI RAIS WETU DR POMBE JOSEPH MAGUFULI 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 ปีที่แล้ว +4

    Jaffo, ww ni mchapa kazi sana. Dahh labda baadae utakuwa waziri mkuu..safi sana my best friend.

  • @lucassabida5471
    @lucassabida5471 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimefurahi sana mheshimiwa Waziri na mheshimiwa Rais alishasema tutumie force account lakini kuna watu katika kipindi hiki bado wanaipiga force account kwa sababu haona ulaji hasa ikisimamiwa vizuri. Angalia sasa jengo zuri anayefaidika siyo wewe no serikali. God bless you

  • @AllyASalum
    @AllyASalum 4 ปีที่แล้ว +3

    I'm in love with this government. You are one of my best role models.

  • @TheCvm229
    @TheCvm229 4 ปีที่แล้ว +1

    Samahani, muheshimiwa.. Mtumba sio nguo chakau ni nguo au kifaa kilichotumika na kinauzwa...
    Ukisema nguo chakavu basi watanzani wengi tunavaa nguo chakavu...
    Natoa pongezi zangu ila nashauuri hapo papandwe miti. Kwa kutumia mfumo wa umwagiliaji wa matone drip irrigation system mnaweza kabisa kuwa na miti na maua mengi sana...
    Naomba kazi ya kufunga huo mfumo na kupanda miti

  • @bisekoc.k.jenjela7936
    @bisekoc.k.jenjela7936 5 ปีที่แล้ว +1

    safisana, anzeni kupanda miti mingi sana Dodoma.

  • @jumannechupa7964
    @jumannechupa7964 5 ปีที่แล้ว +1

    Hogera Jafo kwa kazi unayo ifanya mungu akulinde

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 4 ปีที่แล้ว

    Kiongozi bora na mchapakazi ambaye nikikutazama naona ukifika mbali sana.
    ntakusapoti all the way up
    mh Jaffo.

  • @samateryussuf5938
    @samateryussuf5938 5 ปีที่แล้ว +5

    hongera sana kwa juhudi zako , hapo sasa baada miaka ya miwili utaona patakapobadilika

    • @kinjeketilengwale1141
      @kinjeketilengwale1141 5 ปีที่แล้ว

      Samater Yussuf ilikuaje hapa ukawa positive na mtu kutoka serikali ya Magu?umeanza kukubali?😆😆😆😆

    • @freddymello3227
      @freddymello3227 4 ปีที่แล้ว

      Samater Yussuf wooow!!umeandika vizuri sana ndugu yangu.Habari ya siku nyingi?

    • @kinjeketilengwale1141
      @kinjeketilengwale1141 4 ปีที่แล้ว

      Freddy Mello kama samater yusuf akikubali basi mambo yamenoga😀😀😀 za siku nzuri bro,sijui ww?

  • @millenniumtot4565
    @millenniumtot4565 4 ปีที่แล้ว

    Vizur sanaa

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 5 ปีที่แล้ว

    Hengereni sana kazi nzuri sana

  • @samwelhechei8537
    @samwelhechei8537 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mh.
    Inatakiwa uache Alama

  • @MrIlichi
    @MrIlichi 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana ! What a great move!!

  • @martineemmanuel657
    @martineemmanuel657 5 ปีที่แล้ว +5

    Hongera Sana! Nchi yetu ikiwapata watu kama wewe 100 tutakuwa zaidi ya Singapore

    • @samateryussuf5938
      @samateryussuf5938 5 ปีที่แล้ว

      sidhani kama mtaifikia Singapore hata mkipata milioni kama huyu , TZ mnazidi kurudi nyuma

    • @emmanuelmkeba7901
      @emmanuelmkeba7901 5 ปีที่แล้ว +1

      @@samateryussuf5938 mbumbumbu wewe hujui ulisemalo

    • @elishachanzi6074
      @elishachanzi6074 4 ปีที่แล้ว

      Mtumba ni jina la kabila ya kigogo na hutamkwa "Mtuumba". Ni jina la mti (mti wa asili). Ni sawa na eneo linaloitwa Kikuyu ktk jiji la Dodoma. Nalo linatokana na mti uitwao 'mkuyu' kwa kabila ya kigogo. Hivyo jina Mtumba (Mtuumba) halina maana ya nguo kuu kuu zinazouzwa tena au vitu vikuu kuu vinavyouzwa tena baada ya kutumika awali kama vile magari, baiskeli nk. Ni jina la eneo ambapo serikali imeamua kujenga mji wa serikali, ingefaa likubalike hivyohivyo lilivyo ili litunze historia ya eneo husika. MTUUMBA. Lisipewe tafsiri ya (mitumba).

  • @isihakahussein7144
    @isihakahussein7144 5 ปีที่แล้ว

    Good kijana.

  • @april7teen
    @april7teen 5 ปีที่แล้ว +4

    Tunafurahia kazi mnazozifanya ila kuna tatizo moja, mnaipa sana kipaumbele lugha ya kiengereza.. yaani lazma muweke English kwanza halafu kiswahili ndo kinafuata chini, hii sio sawa. Watakaokuja wanakuja kwenye ofisi zenu 95% ni watanzania.
    Mabango na matangazo viwe kwa lugha yetu ya kiswahili, serikali ndo inatakiwa iwe ya kwanza kuipa kipaumbele Lugha yetu na kusisitiza sehemu nyingine kuhakikisha wanaipa lugha kipaumbele pia,
    tumeshavichoka vibao vya EXIT kwenye kila jengo, wekeni lugha yetu.. pia tumechoka hivi vibao vya "Man At Work" kwenye mabarabara yanayofanyiwa ujenzi au ukarabati.. na vibao vya Administration sijui nini kwenye ofisi za serikali haswa kwenye ofisi za Mkuu wa mkoa au wilaya na mahospitali.. Mnamuandikia nani kiengereza???
    Sisi ni WATANZANIA, lugha yetu ni KISWAHILI na sio kiengereza.
    Tupende kilicho chetu.
    TANZANIA ndo Mwasisi wa kiswahili Duniani, so let the white people to feel it when they're here.
    NB:
    Naunga mkono suala la kubadilisha jina la hiyo sehemu, tafuteni jina zuri lenye mvuto na wepesi wa kutamkika hata kwa wageni kutoka nje.

  • @michaelsiweya6500
    @michaelsiweya6500 5 ปีที่แล้ว

    Safi. Inapendeza sana

  • @mhnmiruguay4502
    @mhnmiruguay4502 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Katika mawaziri wote wa JPM namuhisi yuko smart sana, na akiwa na spirit hii naamini Mungu atampaisha mbali sana(upaisho wenye kheri nyingi). Tunahitaji wasaidizi wa Rais wawe namna hii!

  • @hanifawaliya7976
    @hanifawaliya7976 4 ปีที่แล้ว +1

    Waziri mkuu. Mtarajiwa 2025..

  • @rajabalfarazliganja397
    @rajabalfarazliganja397 5 ปีที่แล้ว +2

    Team No Retreat No Surrender 👍

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 5 ปีที่แล้ว +1

    Wewe jembe upo kwenye orodha ya 5 bora kwa Mhe. Nakukubali kabisa. Hiyo hela enzi zile ingekuwa msingi hautoshi

  • @lamecktheonest225
    @lamecktheonest225 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @TheCvm229
    @TheCvm229 4 ปีที่แล้ว

    Watu wanacheza na hela baba, usimamizi wa hela za ujenzi sehemu nyingi serikalin ni kichefuchefu

  • @georgemwidima3851
    @georgemwidima3851 5 ปีที่แล้ว

    Jengo Bilioni moja lakini watu wanapanga kwa mwaka kwa zaidi ya milioni 500? Kupanga ni hasara na bado walikuwa wanang'ang'ania kupanga badala ya kujenga? Hongera Mh. Rais Magufuli ni afadhali watu wajenge ofisi zao Dodoma kuliko kubakia Dar es Salaam wakipanga kwa bei juu.

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 4 ปีที่แล้ว

    Unatufaa uje kuwa rais wetu wa miaka ijayo

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 5 ปีที่แล้ว

    Wengi tunafikiri ofisi zilizojengwa ni za muda ili kujipanga kujenga ofisi nzuri zaidi baadaye.

  • @frankd1156
    @frankd1156 4 ปีที่แล้ว

    Mmepewa pesa bila kupitishwa na bunge?wizi mtupu..mwenye macho na aone

  • @jembagerald5813
    @jembagerald5813 4 ปีที่แล้ว

    angalieni uwezekano wa kuweka bwawa kubwa kwa kuvuta maji kutoka ziwa victoria au bahari ya hindi

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 5 ปีที่แล้ว +1

    UNAFITI KUA KWENYE SEREKALI YA AWAMU YA 5 YA DR JOHN POMBE MAGUFULI

  • @sebastianmudwele2945
    @sebastianmudwele2945 5 ปีที่แล้ว

    Rais atakaye kuja baada ya awamu ya nane (8)