USIPUUZE MAONYO HAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 84

  • @elizabethtondo5178
    @elizabethtondo5178 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi Mungu akubariki Pastor Mbaga kwa somo hili, roho wa Mungu atuongoze tubadilike atuepushe na viburi

  • @Priscakihiyo4352
    @Priscakihiyo4352 4 ปีที่แล้ว +2

    Ameeeeen kubwaaa Mtumishi wa Mungu ni mebarikiwa sanaaaaaa Mungu akubariki sanaaaaaaa na zaidi ya yote akupe maisha marefu uendeleee kutufundisha njia ipasavyo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @vailethmarack374
    @vailethmarack374 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana mchungaji mbaga. Sauti yako iliyojaa Neema ya Kristo inayo wahubili maelfu kuokorewa.

  • @joelronoh8437
    @joelronoh8437 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana pastor kwa mahubiri .Nabarikiwa kutoka Qatar

  • @happymbilinyi4503
    @happymbilinyi4503 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana mtumishi unanifanya nilipende neno La Mungu kila cku ubarikiwe

  • @edinaclemence8977
    @edinaclemence8977 4 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi wa Mungu napenda mafundisho yako nakusikiliza kutoka Bukoba Kagera.

  • @erickcharlse408
    @erickcharlse408 4 ปีที่แล้ว

    Amina.. Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU

  • @tumainibusiliye2478
    @tumainibusiliye2478 4 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe sana mchungaji nafuatilia mahubiri yako youtube hakika nabarikiwa sana na maombi mengi yamejibiwa mungu akubariki

  • @t7zkc5tpxgim28
    @t7zkc5tpxgim28 4 ปีที่แล้ว

    AMEN, Mungu akubariki sana Pastor....huwa unanibariki kila wakati

  • @maureenjovial6083
    @maureenjovial6083 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen nabarikiwa sana kila mara ninapoyasikia Mahubiri haya na nimeona matokeo mazuri Roho mtakatifu ananibadilisha kila kuchao.Mungu akuinue zaidi nakuombea mchungaji Mwenyezi Mungu azidi kukupa hekima ndio huzidi kutulisha kiroho. Amina

  • @lamidalonghee7012
    @lamidalonghee7012 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina man of God. nimekumbuka usemi yako mshike mkono jirani yako.

  • @sammywanje2686
    @sammywanje2686 4 ปีที่แล้ว +8

    Pastor Mmbaga wewe ni mwalimu mwema, mafundisho yako nayapokea kwa imani, somo limenibariki sana,, nakufuatilia kwa vizuri nikiwa Kenya, malindi

    • @davidmmbaga3350
      @davidmmbaga3350 4 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @julianabaleja1674
      @julianabaleja1674 4 ปีที่แล้ว

      Ni kweli tumejipenda na kuwa na kiburi cha uzima. Mungu nirehemu

    • @rebeccampeta6650
      @rebeccampeta6650 4 ปีที่แล้ว

      mwalimu mwema ni Yesu

    • @rizikimarie6765
      @rizikimarie6765 4 ปีที่แล้ว

      @@davidmmbaga3350 pastor naomba uniungu ku telegram na mimi ili niwenapata maubiri siku ile ile maubiri yako uwa inanigusaga Sana nikiwa apa Australia sijuwi kama munatumia number au jina? Kwakuungana ku telegram? Naomba unijulishe ili nikupe number yangu munionge ku telegram asante.

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 ปีที่แล้ว

    amen amen ubarikiwa mafunzo mazuri

  • @neemabeatrice1672
    @neemabeatrice1672 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Mutu wa MUNGU

  • @msafirimasamaki1905
    @msafirimasamaki1905 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa na Bwana mtumishi

  • @unclemesh1
    @unclemesh1 4 ปีที่แล้ว

    Ole wangu mwanadam.... mara ngapi nimeonywa mara ngapi tumesikia mahubiri..mara ngapi tumehubiriwa...mara ngapi tumeonywa Mungu nipe nehema na rehema

  • @captaincloud7youngpol692
    @captaincloud7youngpol692 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimeelewa sanaaaaaa. Mbarikiwe sanaaaa

  • @esthermrambamramba1570
    @esthermrambamramba1570 4 ปีที่แล้ว +1

    Nnajifunza mengi kupitia mafundisho yako ,ubarikiwe sana

  • @mathiasmulwa876
    @mathiasmulwa876 4 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe sana mjungaji, Mungu azidi kukupa nguvu, ili uendelee kutubarik Naomi from Kenya God bless you so much.

  • @virussella9979
    @virussella9979 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU.

  • @shigazuelias4896
    @shigazuelias4896 4 ปีที่แล้ว

    Kaba sijamaliza kusikiliza,nimekuelewa sana pastor Mmbaga, nimechukua point tena. Mungu akubariki

  • @jesuslivesmysaviorlives1431
    @jesuslivesmysaviorlives1431 4 ปีที่แล้ว

    Mungu aku Bariki Pastor , Nime barikiwa kabisa

  • @hellfrennyanchoka9424
    @hellfrennyanchoka9424 4 ปีที่แล้ว +2

    Be blessed pastor,watching from usa but from kenya,kiti

  • @zakariajoel3994
    @zakariajoel3994 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nisaidie,nimebarikiwa pastor

  • @rizikimarie6765
    @rizikimarie6765 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @angel-y
    @angel-y 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana Pastor kwa somo nzuri.

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 4 ปีที่แล้ว

    Ameen nabarikiwa sana na masomo mazuri

  • @eunicelovey
    @eunicelovey 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo kitabu I napatikana Kenya nataka moja

  • @mashaelieazer6120
    @mashaelieazer6120 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie sana

  • @elizabethmabula101
    @elizabethmabula101 4 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzuri sana. Ubarikiwe pastor

  • @isaiahstadius2383
    @isaiahstadius2383 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 et #malaika wakikatiza mbinguni wanamuelewa Belshaza ni nani. Mchungaji unastyle flani hv ya kuhubiri inafurahisha sana.

  • @matendomedia
    @matendomedia 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @lutigerhaule5567
    @lutigerhaule5567 4 ปีที่แล้ว

    Somo lina ujumbe mzito sana. Amina

  • @callennyacnchama1860
    @callennyacnchama1860 4 ปีที่แล้ว

    Asante pastor kwa somo nzuri ubarikiwe,pastor naomba uniombee ujaso wa roho pamoja na mtoto wangu ambao atafanya mtihani kwa college ya kua nurse America asante.

  • @garvinmcchrystal8115
    @garvinmcchrystal8115 4 ปีที่แล้ว

    Nimebariwa sana GOD BLESS YOU PASTOR

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 ปีที่แล้ว +1

    Am really blessed Amen 🇰🇪

  • @johnsonkegori8763
    @johnsonkegori8763 4 ปีที่แล้ว

    Amina Pastor, barikiwe kwa somo zuri

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa masomo nabarikiwa sana na mahubiri nahisi kama nalishwa chakula kitamu,asante

  • @esternaftari4553
    @esternaftari4553 4 ปีที่แล้ว

    Daah! Ni hatar sana lkn Mungu ni tumain kuna vitu ninajifunz sana ubarikiwe sana

  • @eutropiangido9684
    @eutropiangido9684 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ameendelea kuongea nami. Ubarikiwe Pastor wangu

  • @peninahpeter5284
    @peninahpeter5284 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa ujumbe mwema mungu niumbie roho ya unyenyekevu nisamehe kwa kiburi changu

  • @aikaabelimboya4271
    @aikaabelimboya4271 4 ปีที่แล้ว

    Amina pastor kwa ujumbe mzuri Barikiwa

  • @maliyadinas9645
    @maliyadinas9645 4 ปีที่แล้ว

    Asante sans kwa mafundisho mazuri ubarikiwe sana mchungaji 🙏

  • @lenahasantemchungajiauko8811
    @lenahasantemchungajiauko8811 4 ปีที่แล้ว

    Asante mchungaji kweli nilikuwa nikiipuuza sana

  • @nyotaepapi2375
    @nyotaepapi2375 4 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🏿, ubarikiwe

  • @janetfrancis7180
    @janetfrancis7180 4 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na somo lako Mchungaji🙏🙏

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana pastor I am here who dreams and it happened all time. I love when it’s nice dreams, but if it’s bad dream I don’t like kabisa

  • @zachyadaholy4924
    @zachyadaholy4924 4 ปีที่แล้ว +1

    Stay bless

  • @BarnabasJonas-nv4ig
    @BarnabasJonas-nv4ig 11 หลายเดือนก่อน

    AMINA

  • @ednakilasa5082
    @ednakilasa5082 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe pastor

  • @janetfrancis7180
    @janetfrancis7180 4 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na soma lako mchungaji D mbaga nikiwa huku Brazil ubarikiwe sana

  • @vayaulashedrack5994
    @vayaulashedrack5994 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa PR

  • @user-wq9pv3uz8f
    @user-wq9pv3uz8f 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa pastor naomba kujiunga na kikundi cha Telegram

  • @thegospelmessage5039
    @thegospelmessage5039 4 ปีที่แล้ว +2

    Tuma link ya telegram natakakufatilia mafunzo

  • @thelezamakene1798
    @thelezamakene1798 4 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana,naomba uniunge kwenye kundi la Telegram au uweke link ili kurahisisha

  • @nkwembacharles8676
    @nkwembacharles8676 4 ปีที่แล้ว

    Amina mchungaji

  • @delishbby8542
    @delishbby8542 4 ปีที่แล้ว

    Kuna mtu aliniambia kwamba Kazi yake ndiyo Mungu wake wa kwanza kwasababu inampa maisha mazuri tena aliongea kwa kiburi sana. I was shocked kwakweli.

    • @davidmmbaga3350
      @davidmmbaga3350 4 ปีที่แล้ว +1

      Mpe mpole !! Kabla hajapata kazi Mungu alikuwepo!! Kazi itaenda Mungu atabaki

  • @mussayebete8919
    @mussayebete8919 4 ปีที่แล้ว +1

    Pastor naomba mtufundishe kuhusu hii watu wanaita trinity of God

  • @pauletmajinanina8178
    @pauletmajinanina8178 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafunzo

  • @modestarubunda4250
    @modestarubunda4250 4 ปีที่แล้ว

    Pastor, nimeota niko Nyumbani nkaona nyumba ya na ya Bibi yangu Bibi akanimbia nyumba yake inavuja mvua, na ya Mama imeharibikà nikasema kuwa nitazikarabati, kuwa nitoe nyasi niweke bati vzr. Na, Mama na Bibi wore washafariki. How nilipo, nawaza Ina maana gani? Hd nimekosa amani!

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 4 ปีที่แล้ว +1

    Hili somo limenilenga juu jana usiku saa 3:30 niliota ndoto na ikanisubua sana lakini niliomba

  • @aloycegasper5188
    @aloycegasper5188 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba uniunge telegram mtumishi +255 713 928 117

  • @neemakilango9762
    @neemakilango9762 4 ปีที่แล้ว

    MTUMISHI INAWEZEKANA KUPUUZA AU KUTOPUUZA MAONYO KWA AKILI ZAKO...??? NAWEZAJE.???

  • @zigashanebaleke7701
    @zigashanebaleke7701 4 ปีที่แล้ว

    0764883348
    Niunge kwenye group telegram

  • @aishaabuu9692
    @aishaabuu9692 4 ปีที่แล้ว

    Naomba uniunge telegram pastor 0746194783 .

  • @rosemarywawira2421
    @rosemarywawira2421 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @watwegopnina6480
    @watwegopnina6480 4 ปีที่แล้ว

    Amen