ila diamondplatnumz umeshindikana, nakumbuka baba levo alisema kukupiku wew labda ufe😂 namimi namwomba mwenye enzi MUNGU akupe maisha marefu na ndoto zako zote zitimie, najua unandoto kubwa mara mia ata ya ulipo namim naamin utafika baba pambana💪💪💪💪
Wallahi sioni Msanii wakulinganishwa Diamond Platnumz kwa Afrika,,Diamond ni msanii wa kipekee kabisa kuanzia audio zake,video na ata perfomnca kwenye show ni zenye Energy kubwa sana#Role Model in Music @Diamond Platnumz Simbaaa 🦁🦁🦁
You always shine bright with your songs just like a diamond that you you are.....May Allah continue to bless you Nassib.....penda ww bure. Kweli wewe SIMBA
Nimejikuta naipenda Sana hi ngoma Sana Sana Long live @Diamond Platnumz Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu ba watoto wetu waje kufurahia muziki wako huku tukiwapigia hadithi ya ulivyoanza 🤗🤗🤗🤗
Wapi nyie sikiliza hiyo ngoma alafu mniambie Simba Nan link hiyo apo so ya harmonize Wala diamond 👇👇👇👇👇👇th-cam.com/video/heKHceSF3Gg/w-d-xo.html alafu Seema Nani simba
Mjinga wewe Hakuna Matata ni msemo wa Kenya. Ulikua kwa wimbo tuliouimba huo wimbo tukiwa watoto watakwambia. Na pia Kama hajui, Lion King Movie was set up on Maasai Mara and Hell's Gate gorge. Nothing Tanzanian hapo
Nafurahi kua mmoja wa binadam alie wahi kushuhudia uwepo wa binadam alie jaliwa kipaji cha music ... 2050 nta kua na kitu cha kuwa eleza wajukuu zangu if God wish
Sijaona Likes za #diamond_platnumz AKA #simba Nampenda Sanaa. Naomba Sapoti Yenu Kwa Nyimbo Yangu Mpya wadau. Nawaombeni Plz🔥🔥🔥💥💥💥❤️❤️❤️🎻🎻🎻🎵🎵🎙️🙏🙏👇 th-cam.com/video/gX8BDSl-_Dc/w-d-xo.html
Mim nilikuwa #king music, KUMBE NILIKUWA NASHABIKIA MTU AMBAYE UTOPOLO🙄.... From today, Mm ni #Wasafiiii, nipokeeni jaman. "Ndege wafananao ndo wanaruka pamoja" Naomba like zenu kama mmenikubali..#SIMBA 💪💪💪 moja😛😛
Wa Kwanza leo from Kigali Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼
th-cam.com/video/xkdbqiN_VNs/w-d-xo.html
ila diamondplatnumz umeshindikana,
nakumbuka baba levo alisema
kukupiku wew labda ufe😂 namimi namwomba
mwenye enzi MUNGU akupe maisha marefu
na ndoto zako zote zitimie, najua unandoto
kubwa mara mia ata ya ulipo
namim naamin utafika baba pambana💪💪💪💪
🙏🙏🙏
Maombi yako yamfikie mwenyez mungu moja kwa moja
Penda hiyo
th-cam.com/video/El82ShXIKpk/w-d-xo.html
New songs
Amen
Ametimiza ahadi yake THIS IS SIMBA we appreciate you MOND
Cjaelewa izo jez kwann zmeandkwa mond
Akuna team bora bongo kuishinda Simba 🦁
Ngoma Kali Kabisa nampenda Simba buree jamani....love from 254 😍😍
FIRST +254 HERE LIKES ZANGUUU
ZOTE ZA SIMBA HUWAAA HIT SONGS BANAAAA,KUSHINDANA NA MNYAMA NANII
NANI BABA WA NCHIII????
L.U.V
th-cam.com/video/EVue5WksJ7A/w-d-xo.html
🔥🔥🔥
@@masterson5569 mmmmm jamani washidana na jeshi 😜😜😜 nimewachia Ibrah siku izi
Huu wimbo uwe ndio wimbo wa taifa LA simba
Nakukubalisana diamond platnumz simba Africa Zima akuna mtuiko wa levo zako
Nyimbo tamu sanaaaa .. Daaaah chibu anajua kupangilia mashairi daaaaaaah
Huyu ndo simba mwenye bongo fleva yake Tz,
Like za nguvu kama unamkubali SIMBA OG TZ
Sasa kuna muziki gan hapa, wacha ushabiki
@@sponsor7882 kuna nini wewe ndo mjinga
Ah brooo unafeli ndo nyimbogan iyooo
Sanaa
@@feysalboy5819 acha ujnga
Utamu wa hii ngoma uwe shabik wa Simba na uwe unampenda au unamkubal Diamond Platnumz.. Ndio utajuw utamu wakee kudadadek cyo pow
Hahahaaaa
Nikweli kabisa
True
So kweli mishbiki wa Ali ila hoi nimeielewa
Hii ngoma ni kali sana
Woyooooo, Simba chama langu,Simba msaniii wanguuu🦁🦁🦁🦁
th-cam.com/video/xkdbqiN_VNs/w-d-xo.html
Simba baba laoooo...! C wanawashwaaa tutawakuna upele
This is SIMBA Nguvu Moja Another Level Machampion wa NCHi, 🏆🏆🏆🏆🏆🦁🦁🦁🦁🦁🦁💯💯💯💯💯💪💪💪💪💪❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Waiteeeeee....
Ndio maana Burna boy anazidi kutusua kimataifa,
@@sponsor7882 kamwambie davido, wizkid na kina psqure usisahau kumjulisha rafiki yake konde na kiba hiyo taarifa. Kwann wasiwe wao no 1 Africa?
Ila Diamond anapenda sifa sana nasisi mashabiki wa Yanga utuimbie nyimbo na iwe nzuri kama hi😭😭😭😭😭 ntaiweka wapi sura yangu mimi
😂😂😂😂
Wapo kina msagasumu uko mafundi tu wapo kina alikiba msijali siku ya wananchi mtapewa vitu 😂
Hahahhaaaaa,umenivunja mbav
🤣🤣alikiba saizi yenu
😂😂😂😂
Hakika ushabiki pembeni support ipo kwako ila sio kwa utani wa jadi tusubiri nyimbo nyingine tutakuwa pamojaa like Kama unamkubali mond🦁🦁🦁🦁
Simba Baba Lao siku zote💪🏾💪🏾💪🏾 Diamond Platnumz Hana mpinzani💪🏾💪🏾💪🏾
Yanga tunaompenda Diamond daah tunaumia huku tunatabasamu
Nikwel baba kama umeona
Oyo anaipenda simb aangalii mashabik zake ni timu mchanganyiko me kwanzia Leo nipo kwa ye baba
Tuliipenda wenyewe jmn
Mmmm
@@Sakaboytz kabisa ndo imesha kuwaivo utani malipo yake ndo haya
first to comment from KENYA ..Simba ni baba yao
Tenya nyie ngoja mjikoroge ,mnatueka karantini sisi 😞
Unyamwezi wa diamond hadi unyamwezi Nani bingwa wa nchi ni 🦁🦁🦁 hapo2🙌🙌 Yan kweny miusc Simba kweny soka Simba
Wallahi sioni Msanii wakulinganishwa Diamond Platnumz kwa Afrika,,Diamond ni msanii wa kipekee kabisa kuanzia audio zake,video na ata perfomnca kwenye show ni zenye Energy kubwa sana#Role Model in Music @Diamond Platnumz Simbaaa 🦁🦁🦁
LONG LIVE SIMBA 🦁🦁🦁
Diamond platnumz hujawai acha mtu salama ngoma kaliiiii
*Simba simba simba simba simba simba simba simba simba* 🦁🦁🦁🦁 kumekucha 🇹🇿 Tanzania kumekucha *SIMBA KIBOKO YAO* 🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mbona umeweka emoji ya chura sasa?😏
th-cam.com/video/xB2v7rvcz9M/w-d-xo.html naomba sabscribe kaka
Wangap wamekuja baada ya manara kufukuzwaaa😁😁
Simba Team, Simba Mnyama, Simba Chibu Yan wote ni BALAAAAAA💥🔥
#Anotherlevel #Nguvumoja #Chamalawana
Simba chama langu Simba msanii wangu namkubali kama tuko pamoja gonga like💪💪
Tuko pmoja 🙌🏻🙌🏻
SIMBA , Diamond platnum 🦁🦁🦁🦁my favorite, what a beautiful son !!. From cyprus 🇨🇾🇨🇾
Manara hakutakiwa kusikika katika hii ngoma sema wew umekaa kwenye misimamo yako saf sana SIMBA WA TANDALE
Simba akisifia Simbaa🔥hatari ya mwakaa🔥🔥
Simba na Simba zimekutana gonga like hapa tusongee kidedeaaa🦁🦁🦁🦁🦁🦁
Si wana washwa sasa tutawakuna kwa mbele. . . .mondi umeua wallah!
😀😀 mstari unasema tutawakuna upele bhana sio kwa mbelee 😂😂
Wangapi tumekuja Tena hapa baada ya kuwapiga AS Vita #Nguvumoja❤️❤️🦁
You always shine bright with your songs just like a diamond that you you are.....May Allah continue to bless you Nassib.....penda ww bure. Kweli wewe SIMBA
You killed them! Watacheza kileso!! Na mimi nimewahi nataka like zangu leooooooooo SIIIIIIMMMBAAAAAAAA #SIMBA
Who else is representing! KENYA🔥❤❤
Likes zangu
Kazaaa simbaaa mungu yupo hata kama wengine umewainua leo hiii wanakutusiiiiy maripo kwa mungu 😍😍😍😍😍👏
Mamae me nami nmekuja team mond rasmi🔥🔥🔥😂😂,, si wanawashwa tutawakuna upele💥💥
KAribuu huku hKuna stress😂😂
oyaaaaaaaaaaaaaaa tuipelekee trending hii ngoma wanasimbaaaaaaaaaa
Sanaaaaaaaaaaaaa oyooooooooo
Nimekubali simba mwenyewe! Love from Somalia.
Nimejikuta naipenda Sana hi ngoma Sana Sana Long live @Diamond Platnumz Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu ba watoto wetu waje kufurahia muziki wako huku tukiwapigia hadithi ya ulivyoanza 🤗🤗🤗🤗
Wakenya piga keleleeeeee kwa🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kahata,onyang'o,kagele pia japo kidogoooooo 👹✌️
Kelele zangu kwa Tanasha
Kelele zangu
@@olgaouma1652 🤣🤣🤣🤣
Kelele kwa tanasha pekee
@@fionamelissa7891 🤣🤣🤣✌️✌️👹
Mimi shabikiii damuuuuu😭❤️
Ivi kweli diamond ana mpinzani tz, siamini kabisa huy ni more dhan firee, akitoa na video si atauwa kabisa
Yaan huyu jamaa 🔥🔥
Kwa muziki huu,munachekesha sna, tena munamfananisha na Burna boy,
Simba anakula mpaka tembo kama umenielewa gonga like twende sawa
Mamaeeeeeee ngoma kali, mpaka najikuta na vibe kuickiliza je mond akiwa live itakuwaje sasa
Tulimmaindi mondi kwa kufanya hivi na hatuna Cha kumfanya tulike hapa
Wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hooooyee🔊 likes za Simba tunaachana hapa
Simba jamani nini unatufanyia sasa
meddy x rj the dj x rayvanny_ we dont care
th-cam.com/video/YJY0iEOzg74/w-d-xo.html
Kwisha huyoo
@Shauri Mtobwa I love you too baby
Ha ha ha ha ha ha simba mnyama na diamondi ni mabest sana
Listening form Somalia 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴
Mimi Niko ya yanga hila kwa diamond platnumz yanga mniache kidogo kwl Simba ni baba laooooo💥💥
Jalibu kushabikia simba kama utaweza japo kidogo
Mie YANGA Ila HATUWASHWI ...na bado nalicheza hili goma,, kwa ajili ya MOND,,,🎶🎵 NANI BABA JAMANIII NANI BABA YANGA!!!!🎤🙆🙆🙆🤣🤣🤣🤣🤣📢📢⚽🟨🟡💛
Akawaambie 🦁 kiboko yao 🔥🔥🔥
Sioni haja ya kuongea Sana, kama Simu yako ni Og weka hizi 🦁🦁🦁🦁🦁 5star za Simba💪
🦁🦁🦁🦁🦁
🦁🦁🦁🦁
🦁🦁🦁🦁
🦁🦁🦁🦁🦁
🦁🦁🦁🦁🦁
From USA gonga like kama unaitizama hii nyimbo kutokea USA
USA wapi
@@biko8509 Colorado
United state of Arusha😅
th-cam.com/channels/UQfdm1JZmL2FbwTzdSwWgg.html
Simba no one like you KING PERIOD!👌🙌
WHAT OTHER MUSIC GENRE HAVEN'T U DONE BRO!😂😂😂🔥🎺
U REALLY ARE THE LION 👑 😍
#NguvuMoja 💪
Cha kushangaza jina la manara limekuja kabla ya la mo 😥😂😂😂mond Ana tharau kweli
Toka 254,huyu mnyama anawameza 🔥🔥 🔥🔥 🔥 simba for life
Walio irudia hii ngoma Mara kwa Mara tujuane like hapa
th-cam.com/video/chEGKvYSg24/w-d-xo.html Siri 1 kuu Ya Mafanikio
@@DrMylesMunroe-xy1rm Diamond Platnumz Simba 🦁 👉 th-cam.com/video/Dc9Vp4exqsU/w-d-xo.html
Huyu Dogo WATANZANIA Mmepata , kazi nikwenu tu sasa
th-cam.com/video/awL4vT7pSTc/w-d-xo.html
Simbaaaaaaaaaa sijui huyu platnumz kitu gan hawez kuimba embu dondosha like kama ngoma kaliiiiii hadi kwako
NIMESIKILIZA NYIMBO YA HERMONIZE YA YANGA,,, NAELEWA KWANINI DIAMOND PLATNUMZ ANAITWA SIMBA,,, UPO JUU
Kayumba
😂😂😂😂😂 jana angekufa misifa mingn bhn📢
@@simonelia6425 hahaha
Wapi nyie sikiliza hiyo ngoma alafu mniambie Simba Nan link hiyo apo so ya harmonize Wala diamond 👇👇👇👇👇👇th-cam.com/video/heKHceSF3Gg/w-d-xo.html alafu Seema Nani simba
Upo sawa kabisa maana hata mm niliona ni watu wawili tofauti Sana. Mondi anajua sana
Wale mashabikii wa yanga na diamond platnumz Leo ndo tumejua kuumia asubuh asubuh daaahhhh
Diamond ulinifanya nikajihisi msanii bila kujua ata kuandika mistari vina na mishororo.Kenya twakupenda
Kama unakubali simba kaua gonga like tujuane team diamond platnumz
🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂waumie shida roho zawauma wewe Dangote hongera nyimbo nzury💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯🎺💃💃💃💃💃✅
kama we ni shabiki wa wcb pia shabiki wa simba kama mm gonga like
Mimi yanga damdam'ila mond wewe umeniweza",nakupenda kuliko
😂😂😂😂😂
Poa mtani tishaa
meddy x rj the dj x rayvanny_ we dont care
th-cam.com/video/YJY0iEOzg74/w-d-xo.html
The name "Simba" and phrase "Hakuna matata" are rightfully swahili words Disney's LionKing producer should give credit to Tanzanians🇹🇿👌😭
Mjinga wewe Hakuna Matata ni msemo wa Kenya. Ulikua kwa wimbo tuliouimba huo wimbo tukiwa watoto watakwambia. Na pia Kama hajui, Lion King Movie was set up on Maasai Mara and Hell's Gate gorge. Nothing Tanzanian hapo
Aiseee aito,tokea tena jomon
@@DjRHINOInternational1 AaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAaaaaaaaaaaaAaAAAAAAAAAAAAAAAA
Period👌💪
I don't like football but my guy, this a hit ma boi! Congrats bruh
th-cam.com/video/xkdbqiN_VNs/w-d-xo.html
Tu es formidable mon frère j'adore ta voix depuis Guinée conakry 🇬🇳🇬🇳🇬🇳🦾🦾🛩🛩🛩😷😷 Tanzanie fierté africaine🙏1️⃣💯💚👏💯💋🧳
Motooo
Simba kiboko yao 🇰🇪🇰🇪
Mm sioshabik wa mond ila Simba damm kwahili no comment biggiup brother God bless you and scpt family Simba kama🚀🚀🚀
simba piga keleleeeeeeee mond noma like zenu kwa mond Na timu ya simba 😍😍😍😍😘😘😘😘😘
Wakenya 🇰🇪🇰🇪 tunaompenda diamond tuhamie tu simba ata kama hatujui ni nini 😅😅😅😅😅
Nafurahi kua mmoja wa binadam alie wahi kushuhudia uwepo wa binadam alie jaliwa kipaji cha music ... 2050 nta kua na kitu cha kuwa eleza wajukuu zangu if God wish
😂😂😂🔥🎺🎺🎺🎶😘
Sema inshaaalah
Mbossooooooi
Nikweliiii khan kweli nitakua n mambo mengi y kuwaeleza kuhusu diamond
mbosso Khann mm pia uyu jamaa ni moto
I have to learn Swahili just because of u swt Diamond
Kwasimba hii lazima waeleweee hii ni WCB SIMBA!!!!!!!!
Wanasimbaa na wanaYanga wooote tuliomfata mkali wa muziki kutokea hapa East Africa tujuane Kwa speed ya likes 1K 💓.
Soon harmoniz anaashia yanga song😃😃
Hongera dear huo ndio ushabiki sasa sio ety MTU akiwa team flan arfu Ww ni shabki ety umuwache Anna nakupenda hongra
Hahahahha punga
kujiingiza kwenye ushabiki wa mpira hapo utapoteza mashabiki wako wengi we piga mzki achana na mpira utawachanganya mashabiki zako
Hamn
Platinumez Simbaaaaaa 🔥 🔥 Chafu yaooo NEMBO YA TAIFA 🇹🇿 🇹🇿 DIAMOND PLATINUM PONGEZ KWAKE LIKE ZAKE 👇 👇🔥 🔥 WCB CHAMA KUBWA
Kabixaaaa
Sanaaa
Team kiba wenzangu wa simba mkuje tujadili jambo
Tumekubaliana kushangilia wimbo huu 2 wa simba 😂😂😂
This dude is unstoppable simbaaa kweli we mnyama
Simba ,Baba Lao Diamond hapo sawa!
Najivunia kuwa ndani ya family Moja na magwiji hawa Diamond na Moodewji.... I love Simba_sc
Platinumzzzzzzz🔥🔥🔥 wish ngekuwa Dar es salaam nshuhudie matus taifa,,,!
Njoo tu
Pia iko namba 3 twende kwa jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Awakujua kua Simba ndie mkali wa hizi singeli toka Zama za mdogo mdogo...😅😅 Haya Acha mnyama awatafune..,😄😄😄
Everybody now say Diamond Platinumz is a bigger than Vancouver Simbaaaa you kill it my G💯💯💯
BAMUTU BATAROKOTA BENYEWE KUNYAAAVUUUU🔥🔥🔥🔥🙌🙌 THIS IS SIMBA🦁🦁🦁🦁🦁🦁❤️❤️❤️❤️❤️❤️
😂😂😂umenkumbusha mbal kinyamaa
😁😁😁😁
Uyu jamaa siku izi Hana mvuto kabisa ameishaa
Mashabiki wa diamond na simba sports club tujuane apa jaman @diamondsimba
Htr Sana huu wimbo ndo wajuee kujiita Simba so mchezo ,Simba kiboko yaooooooooo
PLATNUMZ DIAMOND 🦁🦁🦁🦁🦁 @DIAMOND PLATNUMZ 💎
Tangu tembo atoe nyimbo ya Yanga
💪💪💪
Nimeamua kuamia kwa tembo mm naona huyu mondi ashaishiwa kwakweli
Sijaona Likes za #diamond_platnumz AKA #simba Nampenda Sanaa. Naomba Sapoti Yenu Kwa Nyimbo Yangu Mpya wadau. Nawaombeni Plz🔥🔥🔥💥💥💥❤️❤️❤️🎻🎻🎻🎵🎵🎙️🙏🙏👇
th-cam.com/video/gX8BDSl-_Dc/w-d-xo.html
Mim nilikuwa #king music, KUMBE NILIKUWA NASHABIKIA MTU AMBAYE UTOPOLO🙄.... From today, Mm ni #Wasafiiii, nipokeeni jaman. "Ndege wafananao ndo wanaruka pamoja" Naomba like zenu kama mmenikubali..#SIMBA 💪💪💪 moja😛😛
Karibu
Karibu kweny raha tupu
Hakuna mzuki hapa,madoido tu
Kalib sana mwana
Karibu sana msimbazi
Mnyama anakula!
Tuliorudi kusikiliza nyimbo ya diamond baada ya alikiba kuhamia Simba na kuona diamond bado ni mnyama japo yupo yanga gonga like hapa
I'm a Ghanaian and i so much love your songs. I just wish i understand the words...😏😏😏😏😏
Hhhhh hyo ndio raha ya kuwa mshabiki wa diamond alf bado upo simbaa 😂
Xanaaa😋
Wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hooooyee 📢 Likes za Simba tunaacha hapa 👇👇👇👇
Simba tungepoa kidg kusoto kwet watazimia sasa
Huku kahata kule onyango
Tukose tuchekwe
haina mpng wwte hii nyimbo wabong mnaipamba tu
@@laurentchimbirani5990 bila kusahau Ex-Players Mark Sirengo, Moses Odhiambo,Mike Baraza, Jerry Santo, George Owino and Hillary Echesa
Nani amekuja hapa baada ya ushindi kigoma 😍😍
😂😂😂😂😂😂😂 your more than a famous your more than legendary your more than I don’t know what to say this song is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
#simba baba lao ngoma kali kuliko 😍😍😍
Acha uongo 😆
🔥🔥🔥
Acha uongo yko
Nimeipenda sanaaa