KAMALI MOVIE PARTY 1 STARLING -MKOJANI, KINGWENDU, MWALUVANDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 249

  • @josephmgovano3892
    @josephmgovano3892 ปีที่แล้ว +1

    Mkojan acha ukorofi maisha hayaendi kwa kudhurum si utoe hela ya kutosha ili mfanye umbambamba

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 ปีที่แล้ว +16

    Umbamba ndo basi tena mkojani umezingua sana bro wallah 😔 🇶🇦

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 ปีที่แล้ว

    Mkojani kaka mbona hatukuelewi ùnaanza vizuri harafu hakuna mwisho

  • @sharifusadiki2348
    @sharifusadiki2348 ปีที่แล้ว +1

    Mkojani na geng yake ni wasazi sana umbambaba wamesha tu bloc tayari mafala kweli

  • @MohammedAlly-eo5yy
    @MohammedAlly-eo5yy ปีที่แล้ว

    amuna kazi tena wala atufati lii tena kazi zenu mana mutatuchanganya maisha yetu mara ugaigai mara umbambamba mara kamari kiukwwli mwatuzinguwa

  • @mohamedsalim3498
    @mohamedsalim3498 ปีที่แล้ว +1

    Mkojani mm nakukubali san ila umbamba vip

  • @ramadhankakai7303
    @ramadhankakai7303 ปีที่แล้ว

    Mkojani tamaa zitakufanya upotee...Haiwezekani hao wasanii wote waondoke kwako...,mambwende,chumvi,samofi

  • @nassjog990youtube6
    @nassjog990youtube6 ปีที่แล้ว

    Umbambamba itaruka pitia wasafi be on touch keep waiting,mkojani hajazingua Mashabiki wote wa UMBAMBAMBA &MKOJANI GANG kaeni Kwa kusubiria muendelezo mzuri Sanaa ni biashara kueni na subira

  • @AbdulaziziRashidy-hk3zi
    @AbdulaziziRashidy-hk3zi ปีที่แล้ว

    Assalam aleikum warahmatu llah wabarakatu mkojan munatuchanganya wateja wenu umbambamba imeishia wap munatuchanganyia vitu vingine kulikon

  • @edeskolojelo6116
    @edeskolojelo6116 ปีที่แล้ว

    Dah Mkojani 2nakufatilia Mno Ila Uctukosee Fanyakaz iishe Ndo Uanzishe Nyngne

  • @jamesjameswisdomtz1577
    @jamesjameswisdomtz1577 ปีที่แล้ว +1

    Mkojani unakubali sana huku kwetu lakini kwasasa basi Tena umba mbamba pamoja na ngumi 21 mbona hatuoni mwendelezo tutakuwa tunajifunza nini 😢😢

  • @zeronizosolomon8033
    @zeronizosolomon8033 ปีที่แล้ว +37

    Mkojani unatukosea sana unatoa episode nyingi na muafaka wake hatuujui

    • @mohamedkilemile3058
      @mohamedkilemile3058 ปีที่แล้ว +5

      Kweki kaka mimi nilikuwa nishaanza kumuelewa lkn ananileti down kawa kama kitale, badilika mkojani. 😣

    • @mwalimumlaula6167
      @mwalimumlaula6167 ปีที่แล้ว +6

      Ashakum si Matusi,"Mkojani na Kitale kitu kinawasbua ni Viburi,wanaitajika kueshimu waigizaji wao pamoja na maoni ya mashabiki zao.Lau watajirekebisha basi watakuwa sawa." Wanabugi sababu ya machozi ya baadhi ya wasanii walodhulumiwa katika Gang zao na hao viongozi.Badilikeni ndugu zetu Tasnia ya sanaa muisongeze mbele.

    • @allyjuma1496
      @allyjuma1496 ปีที่แล้ว +3

      Kweli kabica

    • @salimjuma3239
      @salimjuma3239 ปีที่แล้ว +1

      Kwelii labda kaz zimemzid

    • @255_sport
      @255_sport ปีที่แล้ว +1

      Iyo kweli

  • @Kabangakig
    @Kabangakig ปีที่แล้ว +2

    Mkojani unayumba mie sahiv sio shabiki ako nimeamua zangu kwa madebe lidai samahani njia hii inatoka

  • @cecilmwango-jw4il
    @cecilmwango-jw4il ปีที่แล้ว

    Mkojani gang kwani mlikosana tayari mbona umbambamba haiendelei

  • @DullahDaud-xy1yo
    @DullahDaud-xy1yo ปีที่แล้ว +1

    Kwan mkojan unakwama wapi kaka hatuelewi zinaishaisha vpi filam zako ugai gai umetuacha njian na umbamba. Pia kaka . Aaaaaaaaaaaa.vp banaaaaa

  • @Randomlycrashes
    @Randomlycrashes ปีที่แล้ว +1

    JOTI,MKOJANi,KITALE kuna kitu mkae chini mki tafakari

  • @jabirabdalla2200
    @jabirabdalla2200 ปีที่แล้ว

    Vp kuhusu umbamba naona jiwe juu ya jiwe sema ziwezinamaliza vizuri isiwe kama movie za kihindi steling anakufa halafu anazaliwa upya.Heshima kwenu mkojani gang

  • @saidmohammed2405
    @saidmohammed2405 ปีที่แล้ว +1

    Wanachanganya sana utaona clip imeandikwa umbambamba ukifungua unakuta sio

  • @mohamedmanshufu-qi7gf
    @mohamedmanshufu-qi7gf ปีที่แล้ว +1

    Mkojani unatuletea ukengee umbambambaa ipo wapi au ndio mshike mshike ndege tunduni

  • @abubakarmpawenayo2318
    @abubakarmpawenayo2318 ปีที่แล้ว

    Mkojani movie zako zisizo malizika tumezichoka 🙅🏾‍♂️🙅🏾‍♂️🙅🏾‍♂️

  • @jonniethomas7788
    @jonniethomas7788 ปีที่แล้ว

    Hapo mzee hatuelewani kamilisha umbambamba kwanza ww vipi

  • @eliyanorobeth8567
    @eliyanorobeth8567 ปีที่แล้ว

    Mkojani narudia Tena badilika ugonvi hautokufiksha popote...!! Hakikisha mnachokipata gawana na wenzio il maisha yasonge!! Hakuna kitu kibaya kama mtu kuish kwa kukusononekea badilka

  • @mohaaabdl866
    @mohaaabdl866 ปีที่แล้ว

    Mkojani nimefatikia sana umbambamba kumbe ndio basi ,, inazenguwa mzee

  • @rajaburamadhani6612
    @rajaburamadhani6612 ปีที่แล้ว

    Tunakoelekea mkojani hizi movie zako utaangalia mwenyewe maana unatukosea sana umbambamba imeishia wapi mara flani kaondoka mara hivi tuelewe nini sasa

  • @manchesterunitedfanspage7613
    @manchesterunitedfanspage7613 ปีที่แล้ว +1

    Naona samofi pia kaenda

  • @barwaniamani1951
    @barwaniamani1951 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna gang ambayo watu watoke hivi alaf ibaki imara ni lazima itingizike tu

  • @jacksonhaggai6771
    @jacksonhaggai6771 ปีที่แล้ว +2

    Kiukwer Mimi Big fani wako sema2 mnazingua mna toa SER nyingi nahaziishi yaniii nyiee 😁 jamani mwatukoshaaaaa. Aaaaa😰😰🔥

  • @halemamoon1782
    @halemamoon1782 ปีที่แล้ว +4

    Kaz safi sana...lkn mkojani tunaomba mwendelezo wa UMBAMBAMBA jmn

    • @dennisevarist
      @dennisevarist ปีที่แล้ว

      Haiwezekani, maana ameshamkoroga mmoja ya main character samofi. Hiyo ndio imeisha tayari. Anguko la mkojani hili. Wacha tuendelee kumuangalia tiny white aka zunde

  • @uuuuiiii3917
    @uuuuiiii3917 ปีที่แล้ว +1

    Mkojani mbona unatufanyia hivi umbambamba mbona atuiyoni Tena vipi daruweshi ww

  • @nassorabdallah99
    @nassorabdallah99 ปีที่แล้ว +1

    Mkojani kapata tunzo saiv anatutesa tu anafanya anavyotaka yeye mamb gan sasa mnatoa siriz mnaishia njiani mnatuboa kama mshachoka acheni💔💔💔

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 ปีที่แล้ว

    Waheshimuni wenzenu wanaounda Team... Muwe km Mark Angel Comedy,, toka enzi had leo

  • @tuwa7690
    @tuwa7690 ปีที่แล้ว +5

    Na expect umbamba mkuu...nini ilifanyika... hope hii iko sawa though..from Kenya

  • @Fununu933
    @Fununu933 ปีที่แล้ว

    Mbona hii hatukujua unaileta mkojani unakosea watazamaji cc tunangojea umbambamba kumbe ww Una yako ss ndio imekwisha ama tujueje🇰🇪🇰🇪

  • @ainsesseverest1136
    @ainsesseverest1136 ปีที่แล้ว +3

    Mkojan umbamba ni story ngumu sana mbona unakwama kwama kila mara sasa hatujamaliza hile watuletea kamari😂😂😂

  • @HassanJuma-zz4it
    @HassanJuma-zz4it ปีที่แล้ว

    UmbAmba ilisimama ,kwa sababu ya wasanii kadhaa kutoka kwa mkojani gang

  • @rainohazard2453
    @rainohazard2453 ปีที่แล้ว

    Sisi ndo waangaliaji mnatuchanganya atuelew tushike ipi mnazingua

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 ปีที่แล้ว +6

    Jamani umba mbamba vp mnatuboa

  • @damianjohn3356
    @damianjohn3356 ปีที่แล้ว +1

    Mkojani unazingua umbamba ujamaliza kaka

  • @aishaomarry6996
    @aishaomarry6996 ปีที่แล้ว

    Kamari ikikolea na baruti chado master wanatoka

  • @najmajoneke7413
    @najmajoneke7413 ปีที่แล้ว +1

    Huu Ni Umb mbamba

  • @modelthedon548
    @modelthedon548 ปีที่แล้ว

    Popaaa chukua chako mapema asijekukuzulumu km alivyomzulumu samofi

  • @abubakarhamad4191
    @abubakarhamad4191 ปีที่แล้ว +1

    Unazingua mbaba Ubambamba iko wap

  • @vincentmbuyi5128
    @vincentmbuyi5128 ปีที่แล้ว +1

    Sasa iyi nini tena umbamba mume ipotezea moja kwa moja

  • @marselinosong1656
    @marselinosong1656 ปีที่แล้ว

    Mkojani jmn mbn unatutesah hv jmn broo tuambie bc umefeli wap

  • @fredyjohn7499
    @fredyjohn7499 ปีที่แล้ว

    Mkojani nae mmmmmmmh kashaanza kuzingua Umbambamba hata sijui tamati yake chaajabu naiona kamali

  • @fakijuma1979
    @fakijuma1979 ปีที่แล้ว

    mkojani.............. chmvi nyingi katoka. mambwende ka let ... samofi kaleft ttz nn brooooooooooooooooooooooooooooo

  • @mabulatv3792
    @mabulatv3792 ปีที่แล้ว

    Mkojani unatukosea watanzania umbambamba ujamaliza unaanza nyigine

  • @farukluisussene2421
    @farukluisussene2421 ปีที่แล้ว

    Mkojani unazingua sana episode fupi tulikupenda sana kwetu 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @masterplan9203
    @masterplan9203 ปีที่แล้ว

    Mashabiki naona tunalalamika tu, ila huenda kuna matatizo tele yametokea, mfano kuibiwa kwa mchezo wote wa umbambamba, nakadhalik

    • @masterplan9203
      @masterplan9203 ปีที่แล้ว

      Kwa io kwanza tujue nini sababu ndipo tutoe lawama na sio kulaumu tu 1 kwa 1

  • @yassirmbwana4867
    @yassirmbwana4867 ปีที่แล้ว

    Mkojani hongeraa 👍 ila watoa movie nyingi bt umalizi boss mkojani

  • @adamadnan6491
    @adamadnan6491 ปีที่แล้ว +1

    Mkoian msanii mzur sn ila unatuondolea ladha sis wadau umba mba vp ten kule

  • @abdallahhamic3586
    @abdallahhamic3586 ปีที่แล้ว

    Unafeli wapi mkojani mashabiki zako unatukosea umbambamba umeishia wapi

  • @silvesterfesto2457
    @silvesterfesto2457 ปีที่แล้ว +1

    Mkojan ckuelew ,umbambamba nayo ikowap

  • @SolomonKanzoo-dw1wd
    @SolomonKanzoo-dw1wd ปีที่แล้ว

    Loo mwatubowesha kweli

  • @ibundatv9545
    @ibundatv9545 ปีที่แล้ว

    Kila tamusilia wakitoa Huwa naangalia mwanzo Hadi mwisho...ila wamezunguwa sana mbona ugaigai tulimaliza yote.ubambamba imekuaje alaf hata kja kutupa tarifa hamna wasenge nyie siangalii kamali pati

  • @eliyanorobeth8567
    @eliyanorobeth8567 ปีที่แล้ว

    Sawa kipaj unacho Tena Cha uhakika. Lakin kipaj bila watu nisawa na bulee mzee badilka

  • @sadamumohammedi8552
    @sadamumohammedi8552 ปีที่แล้ว

    Mkojani unayaacha majembe brand inashuka

  • @officialmaswaga4720
    @officialmaswaga4720 ปีที่แล้ว

    Mbno mmeanza nyingne Ankali mkojani na umbambamba haujaisha

  • @fauziayassin7987
    @fauziayassin7987 ปีที่แล้ว

    Malizia hyo mbambamba kwanza bas

  • @benedictocletus6284
    @benedictocletus6284 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuu mbn ujamaliza umbamba umeanza kuingne tena

  • @godfreysangawe5489
    @godfreysangawe5489 ปีที่แล้ว +1

    Mkojan gang tayr mshaanza kupoteana...hammaliz hili mnaleta hili...hii n ishara ya kuishiwa kwa mwendelezo..angalien wnzenu wakina BENDERA wapo on fire san

  • @rashidkhamisjuma3714
    @rashidkhamisjuma3714 ปีที่แล้ว +2

    mov ina dkk 9 mkojani umeshachoka

  • @alexnzunda8315
    @alexnzunda8315 ปีที่แล้ว

    Mkojani gang hatuwaelewi munatoa episode nying na mwafaka wenu haueleweki

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 ปีที่แล้ว

    Kwa mujibu wa refresh ya wasafi tv amehojiwa samofi amesema mkojani hajamlipa mshahara wa miezi 4. Hapa ndo naanza kuelewa kua mkojani ni tatzo ndo mana wengine wanatoka kundini .

  • @dominichamza5524
    @dominichamza5524 ปีที่แล้ว +1

    mbona kama baada ya kutoka kwa chumvi chingi mnayumba vile
    vitu haviendi kama zamani

  • @allymasms4140
    @allymasms4140 ปีที่แล้ว

    Ndio umbambamba umeukatisha na hakuna taarifa yoyote ile

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 ปีที่แล้ว

    Mkojani umepoteza muelekeo sasa, unakatisha huku bila maelezo mashabiki tunashindwa kukuelewa sasa, umekuja na vipicha vya sekunde mbili havieleweki sasa.

  • @officialAlAbdul
    @officialAlAbdul ปีที่แล้ว +2

    Jamaa kajisahau uyu

  • @RomeoCryptos
    @RomeoCryptos ปีที่แล้ว +2

    Mnafeli sana, mmefuta umbambamba

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 ปีที่แล้ว

    Kuna riziki hapa kwahyo kumejaa fitna mkojani tengeneza management imara ambayo itakufanya ukae vzuri na wasanii wako bila hivyo gang itakushinda

  • @josephatrobert9588
    @josephatrobert9588 ปีที่แล้ว

    Naona mkojani unalewa sifa sasa umeanz kuwa nakiburi kama umeshindwa kutoa umbamba

  • @modelthedon548
    @modelthedon548 ปีที่แล้ว

    Popa mzee was ugaigai

  • @MaryamMgawe
    @MaryamMgawe 3 หลายเดือนก่อน

    Jaman watu wamevurugwa naumbambambaa

  • @daudimweta
    @daudimweta ปีที่แล้ว +9

    Mkojani fire 🔥 🔥 🔥

  • @zainabubakari4117
    @zainabubakari4117 ปีที่แล้ว

    Uyo mukojani tangu vijana wake wameanza kumukimbia anachanganyikiwa kila siku

  • @yusufuhemedy7210
    @yusufuhemedy7210 ปีที่แล้ว +2

    Wabongo mnazingua kishenzi bora kuangalia season za kikolea kwani umba mba hamjamaliza mnaleta nyingine maliza moja kwanza

  • @osamadbanarab5162
    @osamadbanarab5162 ปีที่แล้ว +2

    Mbona hautumaliziii story mkojani........ina maaana umbambamba ndo basi au

  • @mirageayotv
    @mirageayotv ปีที่แล้ว

    Aah mkojani umeyumbaaa umbamba vp sasa unapoteza thaman yak

  • @schoolshamba
    @schoolshamba ปีที่แล้ว

    Dakika 9

  • @dablejay6404
    @dablejay6404 ปีที่แล้ว +3

    Timu mkojani hatuelewi episode y umbambamba mbona aijakamikika

  • @hassansaid3833
    @hassansaid3833 ปีที่แล้ว +2

    Umbambamba itt wafaa halas ya mkojani Intahaa.bil Hindi iguluna kushnehi 😂😂😂😂

  • @fesal5302
    @fesal5302 ปีที่แล้ว +1

    Vip mushachoka kutuletea umbamba au ayidia zimeisha

  • @mwinyikombomwasamani976
    @mwinyikombomwasamani976 ปีที่แล้ว

    Samofi ongeni na chumvi nyingi na mambwende mmalize tofauti zenu tunasubiri series ya swaumu zetu

  • @ractboy8453
    @ractboy8453 ปีที่แล้ว

    Tupo pamoja sem umbamba mba umetukatisha stimu

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 ปีที่แล้ว +1

    Unatuona mafala sana kila siku movie nusu nusu
    Yaaani UMBAMBA 😭😭😭😭😭 na sehemu ilipofikiaaa daaaaaaaaaa

  • @toxhervangaspaltz4109
    @toxhervangaspaltz4109 ปีที่แล้ว

    Awa mkojaji gang kama mafala umbamba imeishia wap mbona mnatuyayusha

  • @idrisamangwala6470
    @idrisamangwala6470 ปีที่แล้ว +2

    Sasa mkojani unaanza kutukosea mashabiki wako yani unaacha movie katikati hata bila taarifa

  • @amanimwakipesile7072
    @amanimwakipesile7072 ปีที่แล้ว +2

    Umbambamba mumeipotezea wapi

  • @naseebchande2922
    @naseebchande2922 ปีที่แล้ว

    Hiii so mpya ya zaman

  • @blackscorpion6514
    @blackscorpion6514 ปีที่แล้ว

    Mkojani unatupa network nn unatoa vitu haziishi mashabiki hatufutahii hata kidogo ,maliza umbamba kwanza ndo uendelee wacha poyoyo

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 ปีที่แล้ว

    Kuendesha kundi ni kazi sana coz unao waendesha wao pia wanahitaji ukubwa yaani ni shida tupu pia pesa viburi ujuaji kuchukuliana mademu hamuwez fika mbali

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 ปีที่แล้ว

    Umbambamba ndiyo imeisha hivyo mkojani

  • @saidilome-ue2df
    @saidilome-ue2df ปีที่แล้ว

    Ankali unatukosea wadau wako kbs lakini hatutoacha kukufwatilia labda uamue kuacha kuigiza.

  • @aronyhussein8545
    @aronyhussein8545 ปีที่แล้ว +3

    Amuerewekii kama unga wa ngano tunataka umbambamba sis acheni zenu izo🤣🤣🤣🤣

  • @AbdulRashid-vi1wg
    @AbdulRashid-vi1wg ปีที่แล้ว +1

    Mkojan umbamba umeipeleka wap

  • @andrewogesa579
    @andrewogesa579 ปีที่แล้ว +7

    Hi team!. Wat abt umbambamba, ?. Is it done?. Coz have been waiting for any updates but am confused😢. Some one to guide me, ninangoja

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 ปีที่แล้ว

    Naziona sku zake znahesabika kwenye game .....hii hua ni dalili ya wangi kupotea 1. Kundi kusambaa 2. Kutoa tqmthilia ambazo haziishi af inatoka ingine. Ni dall za mtu kuanz kupotea kweny game mkojan hawez kua kama zaman tena kw mamb haya

  • @dullyyasinn7051
    @dullyyasinn7051 ปีที่แล้ว

    Hamna swaga nyie mmeshindwa kuiendeleza umbamba ilikuw kali Alf mnaishia katikat tunahamia kwa bendera

  • @KigomaKgm-bm6bu
    @KigomaKgm-bm6bu ปีที่แล้ว +3

    wanaboa sana

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 ปีที่แล้ว

    Kashamzulumu samofi naona kundi litakufa ujanja ujanja mwingi kama episode zao zimeluja live ugai gai umbambamba