Asante kwa taarifa hii mimi nipo inje ya Tanzania ila ni mzaliwa wa tanzania, nimekuwa nukifatilia kilimo cha tangawizi kwamdamrefu nikiwa ninahamu ya kuludi nyumbani nakuwekeza kwenye zao la tangawizi, nilijalibu kuchunguza niwapi nitapata mbegu na elimu ya kulima zao hili sikuwa ninapata zaidi ya Uganda, nawaombeni mnisaidie jinsi ya kupata mbegu na elimu ya kulimia tangawizi, aridhi ninayo yakutosha mkoani Kagera asanteni
Mzuri Sana kweli 💖
Asante kwa taarifa hii mimi nipo inje ya Tanzania ila ni mzaliwa wa tanzania,
nimekuwa nukifatilia kilimo cha tangawizi kwamdamrefu nikiwa ninahamu ya kuludi nyumbani nakuwekeza kwenye zao la tangawizi,
nilijalibu kuchunguza niwapi nitapata mbegu na elimu ya kulima zao hili sikuwa ninapata zaidi ya Uganda,
nawaombeni mnisaidie jinsi ya kupata mbegu na elimu ya kulimia tangawizi,
aridhi ninayo yakutosha mkoani Kagera asanteni
Contact
Karbu sana ulipo tupo Mimi nipo dar nafanya package ya Tangawizi pia naweza kuwa nawe pamoja
@@edofoodproducts hello naweza pata contact zako
TUNASHUKURU KWA FURSA HII....... JE BEI YA KUEXPORT KWA KILO IPOJE KWENYE MASOKO HAYO YA NJE
❤
Naomba namba za simu kwa ajili ya tangawizi ,Niko songea
Namba za mawasiliona plz
Mimi nipo tanga mueza nataka kulima niwauzie nafanyaje
Tunaweza kuwapatejee
Hamjapata mawasiliano bado
Taha tunawapataje?
Wazidi kutusogeza karbu na wajasiriamali wadogo