Mdahalo Maadhimisho miaka 61 ya Uhuru wa Tz

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ค. 2023
  • Katika kuadhimisha miaka sitini na moja ya uhuru wa Tanzania bara, wafanyakazi wa Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro na wadau mbalimbali wa utalii wamekutana katika ukumbi wa makao makuu ya ofisi za NCAA ili kujadili mafanikio, changamoto na pia historia ya Ngorongoro katika kuadhimisha siku muhimu ya kitaifa ya uhuru wa Tanzania Bara.

ความคิดเห็น •