NURRUL HUDA MADRASAT DUFU KUBWA WAKIWA TADHWAMMUN MAULIDI 2019

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @ramadhanlinja5226
    @ramadhanlinja5226 ปีที่แล้ว

    اللهم صل وسلم على سيدنا محمد عدد خلقك ورضى نفسك وزنة عرشك ومداد كلماتك من يوم خلقت الدنيا إلى يوم الدين

  • @allykessy1893
    @allykessy1893 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Mashallah

  • @maryoomm8359
    @maryoomm8359 4 ปีที่แล้ว +2

    Kullu bidaat dhwalaala,masheikh mnaohalalisha hayo mazumari na hizo ngoma eleweni ipo siku mtafufuliwa na mtaenda kuulizwa kwa mola wenu juu ya huu uzushi,Allah awatoe katika hicho mlichozama na awaingize katika nuru ya kweli ya uongofu

  • @kilakajwtz420
    @kilakajwtz420 3 ปีที่แล้ว +1

    jaamaa wanajua

  • @bahariyatibanaduaaduaniiba6120
    @bahariyatibanaduaaduaniiba6120 4 ปีที่แล้ว +1

    Yani hamjachuja Toka muda Sana.mko vizuri

  • @ramadhanbota1937
    @ramadhanbota1937 4 ปีที่แล้ว +1

    dah ebwana katika dufu kubwa awajamaa wametulia sana kwakwel

  • @bahariyatibanaduaaduaniiba6120
    @bahariyatibanaduaaduaniiba6120 4 ปีที่แล้ว +1

    Ninawakubali.mko vizuri sana.sema muaimbe na wajukuu wa mtume muwasifu pia.lakin big up

  • @abuubakariamiri1037
    @abuubakariamiri1037 5 ปีที่แล้ว +2

    mwamba hawa ni nuu llhuda na siyo nuri

  • @bahariyatibanaduaaduaniiba6120
    @bahariyatibanaduaaduaniiba6120 4 ปีที่แล้ว +1

    Saluuut

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 5 ปีที่แล้ว +2

    mash ALLAH

  • @jumajuma2726
    @jumajuma2726 5 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @sabryhariyz7867
    @sabryhariyz7867 4 ปีที่แล้ว +1

    Wapo vizur

  • @bahariyatibanaduaaduaniiba6120
    @bahariyatibanaduaaduaniiba6120 4 ปีที่แล้ว +1

    Vita balaaaa

  • @samirsaid762
    @samirsaid762 5 ปีที่แล้ว +1

    Eee bwana wee hawa jamaa mm Leo naacha vishoka bwanaa kwao

  • @samirsaid762
    @samirsaid762 4 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭 jamaani mwaniumiza mm kwa hivi vituu hawa mabwana naona hawana mpinzan heee maana c kwa utaalamu huu jamani nyiee

    • @seifhassan709
      @seifhassan709 ปีที่แล้ว

      mashallah mungu ayadumishe maullid duniani kote raha sana

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 4 ปีที่แล้ว +1

    hawa miamba hauna qasida zao nyengine,maana wana hatari kubwa

  • @yusuphkwaya7843
    @yusuphkwaya7843 5 ปีที่แล้ว +1

    Raha Sana

  • @kajoakother6041
    @kajoakother6041 4 ปีที่แล้ว +1

    yani hamnaga mpizani mpojuu kilaidar

  • @hakamhikam3539
    @hakamhikam3539 5 ปีที่แล้ว +1

    Ni vita na nusu duh

  • @muhidiniomary5063
    @muhidiniomary5063 5 ปีที่แล้ว

    Swalawatul alahiii

    • @abdulkawinga5874
      @abdulkawinga5874 5 ปีที่แล้ว

      Ila hawa Bado sanaaaa.....wamejitahidi kiasi chao

    • @shabanrajab8044
      @shabanrajab8044 5 ปีที่แล้ว

      @@abdulkawinga5874 aaa kakaaa kwa moto huo nani tena

    • @ashakiossi524
      @ashakiossi524 4 ปีที่แล้ว

      wewe unaeasema nibidaa acha wehu nini kati ya haya hayakufanyika mbele y mtme ?

    • @mwalimothman5147
      @mwalimothman5147 4 ปีที่แล้ว

      SIDHANI KAMA KUNA MMAKONDE MEENGINE ANAEPIGA POMBA VZR KAMA NGOMEKR