HAPPY NEW MONTH...Kwavonza school series brings you a classic April fools edition.Rumors are that Mwalimu has transferred...is it true..find out!!! Kindly like,comment,share and SUBSCRIBE!!!
Tomdame sasa unaenda wapi, Shikwekwe ataumia na Kioko, Biggie,Vanessa and Karen watasumbua akina Kamummy. Love this show keep up guys let us show case our talents
Sammy's girlfriend was so happy........lol. For the first i feel sorry for Mwalimu Tom, i actually feel sorry for him. Ati can you close and can you open
Nobody:
Mwalimu Tom :The only place I can transfer from,is from the staffroom kukuja huku kwenu😂😂😂🙌🙌🙌
😂😂😂
Hahahaahh
True
😂😂😂😂😂
😂😂🔥
Siwezi Fukuzwa na watoto ambao nimefunza wazazi wao 😁😁😁😁😁😁😁😁😁 love frome 255
"Niliona akichukuliwa na gari"😂😂
This ought to be on TV. Awesome content
They will fail more than they do now🤣🤣. They will never find a teacher like you.
True
This show makes me miss high school sometimes😂😂😂keep up the good work lakini♥️
Lakini si wanaonea kioko aki 😂😂😂 like how some teachers used to do to us
Nice
Aty miss mimi inanipea chills 😂😂😂high school aky🤦🏽♀️😪
The play is good but missing high school is another thing
Tutaftane
Shikwekwe the class prefect
You make me remember my class prefect 😂😂😂
The girl who sits in the front row gives me goosebumps
Tomdem is here to stay 😂😂
Not going anywhere
Manze had to rewatch this😂😂😂
Kubambaa gani kubamba ganiii iyooo nenda kauze kuni uko na baba yakoooo 😂😂😂😂
Oh!! My my I salute the big boy of the class 💯 hahaha mwalimu Tom please don't go anywhere we are together with you 💪🏿😁🔥🔥🔥🔥
This class needs 3teacher Toms per lesson..they are so indiscipline😂😂😂😂
Hahahahahahaha I knew the bad teachers can never get transferred 😂😂😂😂😂
Aki
apo kwa ending theme song, "endeni mka uze kuni uko na baba yako, and you guys are poor yeah"😂😂😂😂😂😂 🙌🙌🙌, this line always gets me
Watched this today.....Tom daktari keep it up.....unatukumbusha memories back then😂😂😂😂😂
😂 😂 😂 intro lit.....
This show reminds me of some teachers in highschool keep the work guys
"Amu here to stay"
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 cartoon the queen of moshene
Na kweli Dr.Tom habadilishagi shati??Checked kila saa..Hahahahahaha
Am amazed at how what you are showcasing here kweli zilikuwa zinahappen...I love every video you put here.. Blessings and be safe mwalimu
😂😂I just found myself watching it ..when are you resuming school ..the show just gets me back to my high school life.. keep it up 🤝
Ohhh kumbe cartoon ako uku 😂😂😂😳😳sweet mwoyo 😂😂😂😂
Mwalimu Tom......... ati the only place I can transfer is from the staffroom to the clas😂😂😂💯
🤣🤣🤣🤣
Hhhhaa kwany ujaendaa 😅😅😅😅😀
Keep it up all the clips are wonderful !
Hakuna Mahali Mwalimu Tom anaenda 🤣🤣 we are here to Stay😂😂😂
Love the video quality keep it up guys
I love this Vanessa chic, ni mrui naturally 🤣🤣
Brendah nyanchoka ever silent in class.cant wait nione where u stubborn......guys you light up my days.congrats
That outro 😂😂 Tom and kioko singing
Mwalimu hio shirt itakuita jina😂
Tomdame sasa unaenda wapi, Shikwekwe ataumia na Kioko, Biggie,Vanessa and Karen watasumbua akina Kamummy. Love this show keep up guys let us show case our talents
I Ave missed high school live 🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣🤣
Mwalimu Tom getting them unawares was just epic :D :D
I watch this one daily... Everyone Ako top
You always kill it guys😂😂😂😂
Breeee😂😂😂...,,party ishakuwa stopped......😂😂😂Mwalimu Tom has stopped reggae 😂😂@Brenda Nyanchoka 😂
Aki that tall guy acts good kama wale bully wa class watall 😀😀😀😀
Mwalim Mwalim Mwalim Tom🤣Sammy Sammy Sammy Kioko😂😂
I will miss my teacher... Tomdame Sasa ,,,
Yours truly,
Kamumie.
Mtu anisaidie number ya kamamie🍹
Mtu anisaidie namba ya kamumie🍹
Wa specs sasa?
Kamami si mimi unaeza nisaidia number yako😘
@@janicerobbie1768 wewe yes
Nice one my teacher
Hahaha ule jamaa aliambiwa ako na sura inakaa sufuria mpya nani anamuona🤣🤣🤣🤣
Bro cheza chini
Always have to watch this from Seychelles. keep up bro
3:06 "Hujaenda 😂😂😂"
Uyu ameweza😂😂😂👊👊👊
😂😂😂😂😂 Kali sana, big up guys
Prefect ni mtiaji mbaya😂😂😂
Woiyee huwa nahurumia Sammy Kioko hahahaha
You are there till death do you part😂😂😂
Kwa-vonza walikuwa waweke bash moja wazimu😂😂
Nice work guys✌
I was waiting for it.......Shikwekwe ni mtiaji
Cartoon aky unanibamba sana u made my day
That intro always kill me 😂😂😂😂😂
Walaiii
Sammy's girlfriend was so happy........lol. For the first i feel sorry for Mwalimu Tom, i actually feel sorry for him. Ati can you close and can you open
Lakini hii class yetu hukuwa na watiaji 😂😂
Kartoon unajua uko single..pia mimi
@Vansah_ Swift yees guys subscribe to my channel ☺️
Uko hii class😂😂😂😂.....
@@rodneykings3739 nitafute utaona 🤣🤣
It's Mitchell tracey like you
u produce great vids man keep up
Enyewe mwalimu umekaa hapo sana unafaa kuenda🤣🤣🤣🤣
Ati hajafunza hii term Ata ni mastory tuu😂😂
Much love from Uganda, u guys are awesome, always waiting for new episodes
Awesome
😂😂😂 Ati panganga isipokuja na kioko si ukweli 😂😂😂
😂😂😂😂uyo prefect ni amechoma
Na vile ameambiwa na big man apeleke noisemaker's list kwa wazazi wake
Tommy u r the best comedian
😂😂Mwalimu Tom amefunza hadi wazazi wa wanafunzi wake😂
Been waiting to laugh.....
😂😂😂speculations za kioko😂😂😂😂energy ya hawa students wacha tu😂😂😂😂😂😂
Wapi nduru ya Shikwekwe😂😂😂
Shiti anafaa kujoin hii shule😂😂
True
Teacher Tom should remain in Kwa Vonza School. He is the heart of the school!
Anabebwa ka trophy😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Am here to stay😂😂😂😂
This show always make me miss highschool moments sometimes 😒😒 ingewezekana nirudi huko lakn wasinipatie cats,freedom kama kawaida🙌🙌🙌🙌hapo narudi mbio
Awkward moment in class was when the teachers entered the ukipigaaaa mdomo🤣😅😅😅😅mtuu hupulloooop kamaa dj na unakaa chiniii😜😜😜
Mwalimu tom your the best🙌🙌🙌🙌🔥
Reaction ya huyo dame tr akiingia😂😂😂😂
Woooooiii shikwekwe Ebu resign utauliwa na hio u perfect
😂😂😂😂💪💪💪 comedian of all time
🤣🤣😂🤣🤣Transfer loading
Haha... waah nice one..
😂😂😂u guys u really do the tings I experienced while I was studying 😜 I like yo jokes
that was owesome venye prefect aminuliwa
Ah! Mwalimu 😂😂😂😂 ati close Kwa vonza school and they close
Looking at Sammy kioko hehe 😂😂
😂 😂 😂 Musa biggy
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ule jamaa asidhni tulisahau Hana ndevu.....
Huyu msee orifo anafaa atumbukizwe kwa sufuria ya githe 😂😂
Vile Kioko amechangamka kuenda kuconfirm 😂😂
Aty mwalimu Tom ametransfer😂😂😂
Gang gang ya kioko imemake it at last😂😂😂
Mnafaa kufunga na shikwekwe😂😂😂
Hio theme song iko on point.... Good work guys
Kioko umeskia io "am here to stay"😂😂😂😂😂
Shikwekwe...pelekea noise makers wazazi wako nyumbani...,big up musaa 😂😂😂
Huyo jamaa amenifurahisha vile ameinua Shikwekwe juu pamoja na kiti😂
nice one sema suspenses hahaa
Hawa maboy na madems huwa wanakulana ama😂😂😂😂😂
Watatu🤭🤭😋😋vannessa anatakana kunicheki🤣🤣🤣🤣.....but @tom dr na sammy kioko congrats bro
Good job mwalimu😂
Let's meet at Deputy Principal office sema kichapo😂😂😂😂
toka hapa uende uuze kuni na babako,...😂😂🔥