R.I.P Steve B. Kwenye machine bila ya wewe au Vencha ilikua ngumu sana.Nyuki Djs. Yaani team work ya Clouds ilikua inaconection poa sana kuanzia presenter ,madjs na wasikilizaji. Yaani Agement flani hivi ya 90s-20 hapo kati ilikua inasikiliza Clouds utafikiri ni kama waajiriwa. Yaani Fiesta ukiingia unataka umuone kila muhusika.Vibe kama lote.Sio Dj,presenter,owner,artist yaani hadi wahudhuriaji nao unataka ukawaone.😂😂😂😂
R.I.P Steve B.
Kwenye machine bila ya wewe au Vencha ilikua ngumu sana.Nyuki Djs.
Yaani team work ya Clouds ilikua inaconection poa sana kuanzia presenter ,madjs na wasikilizaji.
Yaani Agement flani hivi ya 90s-20 hapo kati ilikua inasikiliza Clouds utafikiri ni kama waajiriwa.
Yaani Fiesta ukiingia unataka umuone kila muhusika.Vibe kama lote.Sio Dj,presenter,owner,artist yaani hadi wahudhuriaji nao unataka ukawaone.😂😂😂😂
R, I, P steve b alikuwa ameshaokoka et ujue dah kama alijua vile
Stiv B namkumbuka kipindi cha nyuki Dj
R.I.P Dj stv B nimekumbuka kitambo san
R.l.P my brother
RIP Steve B
Rest In Peace DJ steve B
Mumenikumbusha watu kibao leo gwea jmn apumzik kwa amani yani alie taja macochal kanikumbusha pia C.P alale mahali pema peponi inauma
dr beat luck 5