Na Nyie Wajukuu Mungu Atawallani Atawaangamiza Atawapaza Hy Bibi Kwa Uwezo Wa Mungu Hatodhalilika Allah Atampa Stara Mtadhalilika Nyie Hapa Duniani Mpaka Kesho Qiyama Washenzi
Bibi machozi yako hayatoki bure, tena jamani bibi miaka 95 ni kumlea tuu sasa, wala bibi usilie Mungu atakulipa. na hao wajukuu hawawezi kupata amani hata.
Inaonekana hiko kiwanja ni cha familia ila nyumba imejengwa na mume na watoto wa huyo bibi, Kwahiyo kosa walilofanya ni kujenga nyumba kwenye kiwanja cha familia, ila haki haijatendeka inabidi wote wapate kama vipi nyumba iuzwe na kila mtu apate chake, nimejifunza jambo kwamba usimjengee mama yako au mkeo kwenye kiwanja cha familia lazima baadae familia itamuondoa
Ila jamani mugopeni Mungu huyo mjukuu aangalie sana huyo bibi Mungu amteteee hivi hata ule ubinadamu mdogo mmekosa kabisa kumsitiri huyo bibi mnamdharirisha kiasi hicho nyumba ni nini utu ni bora kuliko nyumba Mungu anawaona
Wanasheria liangalieni hili jambo.Mkatieni rufaa tupo tayari kuchangia gharama.Hao wajukuu hawana haki kuchukua urithi Kwa Babu au bibi.Waache tamaa,watafute vya kwao.Wadhurumati hao.
Tanzania kuna utapeli mwingi sana sema ukiwa hujapita mahakamani huwezi kuelewa ,, mm baada ya baba kufariki ndo niliijua mahakama na mapolisi sikuwa kudhani hapo kabla kuwa nitakuja kugusa mahakama,,, mama yangu alitaka kutapeliwa ila namshukuru Mungu mama alishind kesi
Subuhana llah huyo mjukuu pamoja na huyo Hakim wametangaza vita kwa Allah pamoja na mtume Muhammad s.a.w...hilo chozi la bibi mjane ni hatari sana kwao..tumuogope Allah Dunia ni mapito tu hao watajuta sana.m/mungu atawanyoosha Wala sio mda mrefu inshallah..bibi amemshukuru mungu ni hatari sana kwao hao
Daaah aisee inahizunisha sana yani wajukuu mnamtoa bibi wakati sehemu nyingine watu wanawajengea nyumba bibi zao , kaskazini kuna matukio ya aibu sana , yaani kila kukicha matukio tu, wanaongozwa na tamaa sana.
Tamaa za Mali kupenda vya bure , mashindano ya maisha roho mbaya na kukosa ubinadamu 😢😢😢😢😢😢 dahhhh Nini hiki Jamani????? Ehhhh! MUNGU ingilia kati hili kwani bibi ana haki hapo ni kwake
Tatizo la wajukuu wa siku hizi wanapenda sana kudeka wengine wanamidevu kama waya za umeme lakini bado tu wanadeka mm ninacho washauli hao wajukuu waache kudeka na tamaa
Shida ni Mahakimu wapenda rushwa......sheria ni nzuri ila mahakimu wajuao sheria lakini vipofu wa rushwa....wanaongeza migogoro katika jamii na ndugu.....ifikie pahala mahakimu nao washitakiwe ikiwa wataamua isivyo haki
Babu amekufa baba yao amekufa analithi nani shemeji analithi ni kwamba tu wangemfanyia bibi hekima lakini bibi apo sio pake kwa sababu uwezi kujenga nyumba
@SalmaSalma-x2b8h Na huyo Bibi mumewe si mtoto wa Babu je hana shea watoto wake hawana shea ?ebu tafadhali fikiria upya huyo Bibi anaishi hapo kwa nguvu ya mume wake ambae ni mtoto wa mwenye nyumba. Isitoshe na yeye anawatoto ambao wananguvu ya kurithi zaidi ya wajukuu.
@@SalmaSalma-x2b8h Walizaa Bibi watoto wake wapo nao ni warithi ,Shemeji zake Walizaa nao ambapo hawa ni warithi no mbili baada ya Babu kufariki warithi walikua watoto wake mmoja wapo mume wa Bibi. Wanaopokea ni watoto wa Bibi na wa Shemeji zake wao kama hawapo wajukuu wanarithi
Webinti unaweza pata mume ukaolewa au ukajibanza sehem yoyote ila bibi ataenda wapi jaman hao wote walio shiriki kumfukuza uyo bibi mungu atawaraani vibaya nawao watateswa navizazi vyao
Wewe Hakimu Ulio Hukumu Hii Kesi Inshaallah Kwa Uwezo Wa Mungu Akushushie Khalka Usiweze Hata Kujikwamua Ya Allah Muhukumi Hy Hakimu Kama Yy Alivyo Hukumu
Wangemuachatu ,kwa umri wake nyumba angekula?mmeshalaaniwa kwakitendo mlichokifanya ,tena kamuombeni msamaha,mnaweza kufa na nyumba ikabaki,hayupo aijuaye kesho yake,utu ni kitu muhimu sana.
Kosa kubwa apa walipeana kienyeji bibi angekumbuka kuandikishiwa wala asingesumbuliwa na wajukuu wala vitukuu mungu amsimamie bibi mali za urithi ni mtihani
Banaeeeee hebu serikali iingilie kati tena Kwa haraka wamuache bibi please 😢😢😢😢😢 hizi ni laana tupuuuuuuuuuuuu khaaaaa hivi watu wamekuwaje etiiii jmn Watafute vyaooooo
E Mwenyezi Mungu tuma malaika wako kwa RC makonda usiku huu afike hapo kwa bibi yetu miaka 95 hata mahakama haina mamlaka juu yake bibi huyu kwa kufikisha miaka 95 tayari ni mtakatifu kwa mamlaka niliyopewa na mbingu naanuru my son Kiroho Paul Christian Makonda kuingilia Mgogoro huu amina
Elimu ni kitu cha muhimu sana. Watanzania tuelewe kuwa, hata kama kiwanja kilikuwa na vichaka ila kina mmiliki, basi wewe ukija kujenga ghorofa lako kinyume na sheria basi sheria zilizopo zitafanya jengo lako lipigwe mtama na wewe kutolewa bila fidia. Vilio na majonzi HAYATAKUSAIDIA!
Namuombeni huyu bb nikamtunze jamani, wazee ni hazina
Mchukue tu utabarikiwa sana
Yesuuuu
@@mwitaagness455 mambo vp
Na Nyie Wajukuu Mungu Atawallani Atawaangamiza Atawapaza Hy Bibi Kwa Uwezo Wa Mungu Hatodhalilika Allah Atampa Stara Mtadhalilika Nyie Hapa Duniani Mpaka Kesho Qiyama Washenzi
Allah kareem
Astaghfru lailaha illa Allah ALLAH AKBAR mashallah
Yaa.allah wadhalilishe hao wajukuu mpaka mwisho wa uhai wao na umstiri huyo bibi
Mama samia liangaliehili ni dhima kubwa mama wangu kwa ALLAH
SUB HAANA ALLAH.
Bibi machozi yako hayatoki bure, tena jamani bibi miaka 95 ni kumlea tuu sasa, wala bibi usilie Mungu atakulipa. na hao wajukuu hawawezi kupata amani hata.
Bibi ana sura nzury mashallaah..
MAHAKAMA ZIMEJAA RUSHWA....LAANA YA MWENYEZI MUNGU MTUKUFU HAITAWAACHA SALAMA WAJUKUU HAO.....!
Inaonekana hiko kiwanja ni cha familia ila nyumba imejengwa na mume na watoto wa huyo bibi, Kwahiyo kosa walilofanya ni kujenga nyumba kwenye kiwanja cha familia, ila haki haijatendeka inabidi wote wapate kama vipi nyumba iuzwe na kila mtu apate chake, nimejifunza jambo kwamba usimjengee mama yako au mkeo kwenye kiwanja cha familia lazima baadae familia itamuondoa
Hakimu Mungu anakuona.... Umekosa kazi kwa ujinga wako
Hakika
Tamaa mbaya sana uyo mjukuu amuogope mungu machozi ya mbibi ayata muacha salama anasubutuje kumzulumu ata akipauza mabilion akifa aendi nayo
Huyu hakimu kashindwa kutumia busara kweli mzee wa watu jamani huyo mjukuu mbona Hana utu mhuuu anavuta bangin
Subhanallah. Mama samia tunaomba umuangalie bibi yetu kwa jicho la huruma Allah atakulipa.makonda popote ulipo sikia kilio cha bibi tafadhali.
Ila jamani mugopeni Mungu huyo mjukuu aangalie sana huyo bibi Mungu amteteee hivi hata ule ubinadamu mdogo mmekosa kabisa kumsitiri huyo bibi mnamdharirisha kiasi hicho nyumba ni nini utu ni bora kuliko nyumba Mungu anawaona
Wanasheria liangalieni hili jambo.Mkatieni rufaa tupo tayari kuchangia gharama.Hao wajukuu hawana haki kuchukua urithi Kwa Babu au bibi.Waache tamaa,watafute vya kwao.Wadhurumati hao.
Tanzania kuna utapeli mwingi sana sema ukiwa hujapita mahakamani huwezi kuelewa ,, mm baada ya baba kufariki ndo niliijua mahakama na mapolisi sikuwa kudhani hapo kabla kuwa nitakuja kugusa mahakama,,, mama yangu alitaka kutapeliwa ila namshukuru Mungu mama alishind kesi
Makonda msaidie huyu bibi Mungu atakulipa😢😢😢
Makonda Maliza Shauri hili Maram0ja wewe ni Jembe Mukoe Bibi huyu na Mungu atakukoa Badae
Subuhana llah huyo mjukuu pamoja na huyo Hakim wametangaza vita kwa Allah pamoja na mtume Muhammad s.a.w...hilo chozi la bibi mjane ni hatari sana kwao..tumuogope Allah Dunia ni mapito tu hao watajuta sana.m/mungu atawanyoosha Wala sio mda mrefu inshallah..bibi amemshukuru mungu ni hatari sana kwao hao
Kabisa mali yamtoto wake bibi anaHaki yakuishi
Hakika
Wajukuu msimnyanyase bibi yenu.Mnajitafutia laana kubwa sana na kuja kufilisika kabisa
Makonda jambo lako hilo na hiyo mahakama ipo chini yako toa tamko badala ya Raisi huyo bibi anahuzunisha sana kilio cha bibi huyo kinaumiza.
Angemwacha tu akae hapo jamani mtu mwenyewe umri umeshaenda😭😭😭😭
Ajabu sana
Ndio kujitafutia dhambi za bure mana angemuacha akakaa nae amalize umri wake angepata neema kubwa sana ila ivi mmmmh aya mungu tupe hekma na busara
Unamaanisha mda wowote anaweza akafa co😂😂😂
@LindaMbilinyi-n3n ndio hivyo..sasa atafanya kibarua wapi apate hela ya kodi ya chumba jamani 😭😭 nguvu zimeisha tayari
Subuhana llah ...hata huyo hakim .tumuombe Allh amuonyeshe kwamba alichokifanya sio kitu kizuri nina imani kwamba watu wengi wamechukizwa na hili
Kwanza hakimu nimekulaani!!! Wajukuu wote mlio husika pumbavu zenu na mfe masikini kwa machozi ya bibi huy😭😭😭😭
Naamini mungu amejaalia sana kuletwa makonda arusha
Mahakama acheni kupokea rushwa mnaumiza watu ndiyo maana wengine wanawaloga
Umeongea vizuri udugu wangu mahakimu acheni kulae rushwa
Ndo tatizo la chama kimoja hayo
Mm nilichokiona hapo huy nyumba ni watot 4wote hapo iyuzwe kila tumbo wapate fungu lake hili tumbo linalolia hapo wao wamegaramika kuikarabati
Watu wana rani sana ivi bibi km huyu anaweza toa machozi kisa nyumba kweli! Ivi binadamu wamefikia hatua km hizo
Subhana llah lailaha illa Allah ALLAH AKBAR
Jamani kwan siwangemlea tuu... Jamani jamaniii nimelia, kwetu ni Arusha haki natamani kumtunza.... Uwiiiii😢😢😢😢
Kama we ni mfuatiliaji mzuri wa vinavyo endelea msimu huu kwenye nchi yetu ni vituko vituko tu mambo ya ajabu ajabuu ...jmn tumieni vizuri huu uhuru 🙌
Mungu wangu huyo mujukuu ameshindwa kabisa kutafuta malizake kweli
Uyu bibi ikiwa watoto wake wako au wajukuu wako mchkueni bibi na mungu atalipa inshaallah msimuache bibi yenu ao wachieni mungu atawalipia inshaallah
Mm najua makonda akiona limeisha hili huyo hakimu kweli ana wazazi kweli ,wanalinga kwasababu mahakama ni muhimili unajitegemea ,mungu anamwona alaniwe
Ila Arusha imezidi kwa matukio!
Waroho sana hivi huyo bibi anawanyima Nini kwa umri huo
Daaah aisee inahizunisha sana yani wajukuu mnamtoa bibi wakati sehemu nyingine watu wanawajengea nyumba bibi zao , kaskazini kuna matukio ya aibu sana , yaani kila kukicha matukio tu, wanaongozwa na tamaa sana.
Tamaa za Mali kupenda vya bure , mashindano ya maisha roho mbaya na kukosa ubinadamu 😢😢😢😢😢😢 dahhhh Nini hiki Jamani????? Ehhhh! MUNGU ingilia kati hili kwani bibi ana haki hapo ni kwake
Tatizo la wajukuu wa siku hizi wanapenda sana kudeka wengine wanamidevu kama waya za umeme lakini bado tu wanadeka mm ninacho washauli hao wajukuu waache kudeka na tamaa
😂😂😂😂😂
Da hii duniya ina watu wana rohombaya sana WALLAH Da inaumaa sana kiukwelii
Shida ni Mahakimu wapenda rushwa......sheria ni nzuri ila mahakimu wajuao sheria lakini vipofu wa rushwa....wanaongeza migogoro katika jamii na ndugu.....ifikie pahala mahakimu nao washitakiwe ikiwa wataamua isivyo haki
YAANI MIRATHI NI YA MTOTO SIYO YA WAJUKUU, HAPO SHERIA MH.
Haya madhuluma haya ni Tanzania tu
Babu amekufa baba yao amekufa analithi nani shemeji analithi ni kwamba tu wangemfanyia bibi hekima lakini bibi apo sio pake kwa sababu uwezi kujenga nyumba
Uwezi kujenga nyumba jina sio la baba yao jina nila Babu ukisikiliza maongezi warithi ni wanne na wote wamefaliki je awakuzaa
@SalmaSalma-x2b8h Na huyo Bibi mumewe si mtoto wa Babu je hana shea watoto wake hawana shea ?ebu tafadhali fikiria upya huyo Bibi anaishi hapo kwa nguvu ya mume wake ambae ni mtoto wa mwenye nyumba. Isitoshe na yeye anawatoto ambao wananguvu ya kurithi zaidi ya wajukuu.
@@SalmaSalma-x2b8h Walizaa Bibi watoto wake wapo nao ni warithi ,Shemeji zake Walizaa nao ambapo hawa ni warithi no mbili baada ya Babu kufariki warithi walikua watoto wake mmoja wapo mume wa Bibi. Wanaopokea ni watoto wa Bibi na wa Shemeji zake wao kama hawapo wajukuu wanarithi
Nyie wajukuu ni washenzi mtalaaniwa na hamtafanikisha chochote mwacheni huyo bibi Aishi kwenye hiyo nyumba
Mh. Makonda msaidie sana huyo bibi. Kwa kweli inauma sana. Huo ni ukatli uliokithiri.
Da tanzaniy ukiwa na pesa unakujuw juu ya sheriy WALLAH ILA ALLAH Ndiyo hakim wa HAKII ATALIPA
Mpaka machozi yamenitoka😭😭
Sawa na mimi huyu bibi anavyolia huwezi kustahamili machozi tu yatakutoka
Webinti unaweza pata mume ukaolewa au ukajibanza sehem yoyote ila bibi ataenda wapi jaman hao wote walio shiriki kumfukuza uyo bibi mungu atawaraani vibaya nawao watateswa navizazi vyao
Daha jmn kwani wangemuacha akae wangepungukiwa nini lkn mungu wangu mtetehe uyu bibi ila malipo yapo bibi utashinda hili ss anaenda wapi jmn
Pauzwe kla baba yao achukue chake alafu hao wajukuu warth kutokea kwa baba zao.
Hakiiii awaa wajukuuu,watapataa laaana kwa nn wasimuachee amalizie maisha ya uzeee wakee
Mungekua CCM mngepaki lakini Chadema😢😢😢 kazi mnayo
Wewe Hakimu Ulio Hukumu Hii Kesi Inshaallah Kwa Uwezo Wa Mungu Akushushie Khalka Usiweze Hata Kujikwamua Ya Allah Muhukumi Hy Hakimu Kama Yy Alivyo Hukumu
Ameeen
Wanasheria ile sheria ya ardhi inayosema mtu akikaa kwenye ardhi miaka 10 akiendeleza ni mali yake halali mnaitumia wapi?
Wangemuachatu ,kwa umri wake nyumba angekula?mmeshalaaniwa kwakitendo mlichokifanya ,tena kamuombeni msamaha,mnaweza kufa na nyumba ikabaki,hayupo aijuaye kesho yake,utu ni kitu muhimu sana.
Jmnnnnn 😂😂 Hakimu huyu naye vipi
Tamaa ya mali hiyo Mungu aturehemu jaman kisa mali tunakosa utu
Kosa kubwa apa walipeana kienyeji bibi angekumbuka kuandikishiwa wala asingesumbuliwa na wajukuu wala vitukuu mungu amsimamie bibi mali za urithi ni mtihani
Hao wajukuu hawana hata uruma jamna bibi kama huyo kweli 😢😢😢😢
Raisi Samia msaidie huyu bibi waijuku hawana haki hii ni Rana ya bibi huyu tanzania
Poleni sana
Wana laana hao wajukuu bibi mwenyewe siku za kwenda Kwa Baba zimekaribia wangemsubiri tu aondoke ndiyo wachukue😢
Wanatafuta laana itawatafuna na umri huo,hayo machozi ha uzee kiasi icho hayaendi bure,mwache akae mbona mnanyanyasa sasa,😭😭😭😭
Pole makonda una kazi kweli kwa Arusha iyo kila siku heri ya jana
Nime mia sanaaa hii mahakama cjalewa 😢😢😢😢
Ewe kumbe usitishe wtu maisha kuna alowazidi na ni Allah hassbiyallah waneemal wakeel
Banaeeeee hebu serikali iingilie kati tena Kwa haraka wamuache bibi please 😢😢😢😢😢 hizi ni laana tupuuuuuuuuuuuu khaaaaa hivi watu wamekuwaje etiiii jmn
Watafute vyaooooo
Dunia imeisha❤❤
Mjukuu mwenyewe hajuwi hata hicho kiwanja kili nunuliwa lini baba zake hawa kudai yeye leo ni nani serikali imsaidie huyu bibi
Makonda,fanya,kazi,Kuna,rushwa
Wanalana sibure yani bibi uyo wa kumfanyia ivyo Mungu atawaonesha kwakweli😢
Hakika watu hawana hofu ya Mungu kbs
E Mwenyezi Mungu tuma malaika wako kwa RC makonda usiku huu afike hapo kwa bibi yetu miaka 95 hata mahakama haina mamlaka juu yake bibi huyu kwa kufikisha miaka 95 tayari ni mtakatifu kwa mamlaka niliyopewa na mbingu naanuru my son Kiroho Paul Christian Makonda kuingilia Mgogoro huu amina
jaman dhambi sana nimeumia sana
LAAANA ANAYOITAFUTA HUYU MJUKUU..MMhhh,, sipati
picture 😢
Kwanza hayo machoz yanamlaan mwenyew kutak kuzulum mal isiyomuusu mungu anakup azabu kabla ujafa mzulumati mkubwa machoz yako ayatutishi hata kidogo
Yupo Yesu atawapambania.
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Makonda.tunaomba ingilia kati Hilo swala
Tatizo Tz hakuna waziri wa ardhi, kuna.sanamu tu waziri wa.ardhi
Kwa nini mjukuu mmoja awe na haki kuliko wajukuu wengine?
WAJUKUU kwa Nini msiishi nae bibi huyo...hayo machozi kamwe hayawezi kwenda Bure aiseee....
Mandugu hayo. Jamamiii
Dunia hii ina mateso sana. Mwenye nguvu anachukua nguvu za wanyonge.
Ata kama nyumba sio ya bibi wajukuu hawa ni washenz sana hawakupaswa kumfukuza😢😢
Mh.Makonda, kula vichwa wahuni hao.
Mtoto mdogo anawasumbua wote muwafunge kamba hao miaka yote walikuwa wapi au maisha yanawapiga
Mjukuu Toka lini analisi
Nashangaa
Sijui ni mahakama Gani inatoaga hukumu ya Hivi,sijui.
Samia atamsaidia pale km kazulumiwa sio kam kazulumu itakuwa ngum msaidien nyie msojua kinachoendelea
Hii dunia inahitaji watu wenye misuli ya imani
Uhuuu uhuniii uliisha eti saiv umerudiiii
Elimu ni kitu cha muhimu sana. Watanzania tuelewe kuwa, hata kama kiwanja kilikuwa na vichaka ila kina mmiliki, basi wewe ukija kujenga ghorofa lako kinyume na sheria basi sheria zilizopo zitafanya jengo lako lipigwe mtama na wewe kutolewa bila fidia. Vilio na majonzi HAYATAKUSAIDIA!
Nyiee lana zingine mnazitafuta kwakweli bibi kanifanya na mm nalia tu 😭😭
Huyu Halimu na waziri wa Kamii watumbuliwe
ctak kuangalia hii clip mpaka mwisho nmejaa uchungu mno😢😢😢😢😢😢
Uyu mjukuu ana tamaa ya hela mjukuu wa hovyo sana
Wachoeni mungu ndio hakini wa kwanza na wamwisho tokeni wachieni
Watoto wake wakonwapi? Hata kama hakujenga bibi huyu unamfukuza aende wapi? Tatizo ni lingine hili.
Tz nchi ya hovyo sana
Hapo tls wamsaidie tu bibi wa watu
Hivi hii tabia ya wajukuu kung'ang'ania Mali za babu na bibi imetoka wapi?????????? Nchi inajaa laana.
Watu wanatafuta laana kwa nguvu aiseee sasa uyo bibi aende wapi maskini 😢😢
Kwan mkuu wa mkoa yupo wapiii amsaidie huyu bibi
Ee MUNGU saidia huyu mama 😢
Watu wa arusha ni wakatili sana aseeeeh nawaongopa wao kwa pesa mali hawajambo
Ee mwenyezi mungu naomba usikie kilio cha huyu bibi na machozi yake yasiende bure😢😢😢
Kwanini watu mnakosa utu,,iv kweli mnajua kua Mungu yupo ?