Zach, Simon, Peter, Enock, Priscah, Upendo, Naomi, Hannah, Rehema, Malingwa, Masee, Mungu awabariki sana I love these songs Hopefully one day we shall sing together in heaven Amen
Wimbo mzuri sana mwalimu wa kwaya kafunuliwa na Mungu cha kuandika kweli kabisa unaweza ukawa mchaji kama cornelio lakini ukawa bado huja jua yakupasayo .Nuru kamili amen
Waouh.... What a wonderful and blessed song!!!! May God comfort you days and night. All you songs bless me every time.from drcongo ,brother in gospel Bertin
Mungu azidi kuwatumia ili msije mkalewa na sifa Wapendwa' mkaaza kuvaa madude ya ajabu vichwani na mengine ambayo hayafai kabisa kimaandiko. Mungu awapigie.
Mungu azidi kuwabariki ❤ mnatutia moyo sana
Hata ndani ya msikiti Nairobi tuko fiti twawakubali alhamdulla
Zach, Simon, Peter, Enock, Priscah, Upendo, Naomi, Hannah, Rehema, Malingwa, Masee,
Mungu awabariki sana
I love these songs
Hopefully one day we shall sing together in heaven
Amen
Wimbo mzuri sana mwalimu wa kwaya kafunuliwa na Mungu cha kuandika kweli kabisa unaweza ukawa mchaji kama cornelio lakini ukawa bado huja jua yakupasayo .Nuru kamili amen
Nyimbo Nzur San kuwahi kusikiliza katik maisha yangu I like this song keep going my favourite choir 🙏
Mnanijenga kwa nyimbo zote mlizozimba .Mbarikiwe sana ndugu zangu.
nawewe pia mtumishi
Tunaskuma ujumbe wa Malayika watatu na kujiandalia kupokea mvua masika .
Amen glory to God of heaven
Ay Nyarugusu be blessed
mbalikiwe kwa umishonar wenu watu wa mungu muendelee kubaliki watu
We give echoes to all SDA choirs for a wonderful work they are doing to save sauls
Wimbo mtamu sana hata huku Kenya tunabarikiwa, hakika twapata funzo kamili kutoka kwake Kornelio mtumishi wa Mungu
watu wawe huruuuuu ...tam sana hiii jamani dah .....barikiweniii
Barikiwa waimbaji kwa uimbaji mzuri bila madoido
Enock be blessed
Mbarikiwe zaidi na zaidi
Mbarikiwe daimaa
Kazi nzuri kwenu
Nabarikiwa ,mbarikiwe zaidi
Wimbo bora huu. Naupenda sana.
mbarikiwe watu wa Mungu naupenda huu wimbo sio mchezo am blessed to hear this.
Wimbo mzuri sana
somo tosha kabsa mbarikiwe
@mina sana ndg zangu ktk Kristo! Mungu awabarik zaid na zaid
Amina watumishi wa Bwana,
Kw kwel mnanibariki sana kw nyimbo zenu
nice singing. God bless you as you continue glorifying him
Oouyeah!!!! mbarikiwe mno
Amina! mnnanibariki mno!
Yes this the best, guys be blessed.
Amen
Nyimbo tamu sana
Beautiful songs am blessed
Beautiful worship in music
Nabarikiwa sana kwa. Nyimbo tamu
Nimebarikiwa kupitia nyie,mwenyezi mungu awabariki sana
.
Mbarikiwe Rafiki Zach Mungu.
Nice song,,
A good song and a blessing to many i love it
mbarikiwe na Bwana
Waouh.... What a wonderful and blessed song!!!!
May God comfort you days and night. All you songs bless me every time.from drcongo ,brother in gospel Bertin
Nabarikiwa na Uimbaji wenu
Anaitwa nani huyu brother! Anaye sollo from yu hai
Amina....hili ni hubiri tosha!
Nice song?
God bless you!.. Yo such a blessing to me!!
Loving this song so much
Mbarikiwe sana
Somo tosha
Amen
Mubarikiwe na wimbo huu
Amen !Amen !
amen
Dandora iko aje
Nahitaji kuongea na mwalimu wa kwaya .
amina
👍
sema umeionaje
Kwaya hii ni sauti ya Roho mtakatifu
@@nyarugusuaychoir1665 you're always doing wonderfully......... The harmony is maintained
But Kuna winbo wenu mmoja ivi nautafuta Sana... Sijui kama msha utoa
Hakika Mungu azidi kuwainua Nyarugusu AY,barikiwa sana,love u
nice video but drama has taken a lot of time
Mungu azidi kuwatumia ili msije mkalewa na sifa Wapendwa' mkaaza kuvaa madude ya ajabu vichwani na mengine ambayo hayafai kabisa kimaandiko. Mungu awapigie.
Safi imenigusa ila kuna mtu namtafuta huyo kwenye kipande cha kwanza alie kua anasoma vitabu hapo 0657375417
Wimbo bora huu. Naupenda sana.
Amen
Safi imenigusa ila kuna mtu namtafuta huyo kwenye kipande cha kwanza alie kua anasoma vitabu hapo 0657375417
Amen