Miundo mbinu TZ.nzima ifanyiwe Uhakiki Upya Tusisubiri hadi Maafa na majanga yatokee.Wakandarasi wa Madaraja na barabara Acheni kujisahau Wajibu wenu Tutapunguza angalau majanga ya kila Wakati.
Mtalaumu mwendo kasi wakati miundo mbinu Morogoro hakuna. Tusitafute wachawi mbali wakati sisi wenyewe ndio tunaochangia kwenye matatizo haya, tunajenga kwenye sehemu za maji na tukiambiwa tunadharau na kuigaili serikali.
Kwenye kiswahili Cha kawaida kabisa ambacho anaweza kuelewa hata Mswahili wa Manzese darajani pale ni -; Polisi ni = Jeshi la polisi ; wanajeshi ni = Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ hivyo ndivyo inavyofahamika kwa wananchi wa kawaida
Aliefanya visibility study ni mwehu tuu ,,,,,,aliangalia kazi yake ,,,wakati alipaswa aelekeze maji ya makaravati yote sehemu iliochongwa kama mto na wangeandaa mito mirefu na ijengewe tuu
waliijua vizuri ila waliamua kufanya hivyo kwa maana mtu hata kama mgeni ktk eneo katika study yako utahusisha wenyeji na taarifa za mkoa,halmashauri kupata historia yote ya eneo husika
Si kweli na wala tusiwahukumu wakandarasi. tatizo ni kwamba hakuna master plan yoyote nchini kwetu ambayo imefanyiwa kazai kwenye natural disasters zozote zile. Tukiendelea kutupiana lawama bado hatutatua matatizo ya miundo mbinu ya maji nchini. Mitaro ikijengwa watu wanaifanya kuwa dampo za taka taka!
Poleni sana ndugu zetu wa Morogoro.Pia pongezi kubwa kwa JWTZ na Polisi
Dogo yupo vizuri sana
Miundo mbinu TZ.nzima ifanyiwe Uhakiki Upya Tusisubiri hadi Maafa na majanga yatokee.Wakandarasi wa Madaraja na barabara Acheni kujisahau Wajibu wenu Tutapunguza angalau majanga ya kila Wakati.
Poleni sana ndugu zangu 😭😭😭
Poleni sana wenzetu
Watu tulijua dalaja limekatika mvua ya leo imezidi
Tengenezeni miundo mbinu. Watafanya hivyo kila leo hali Kama hii ikitokea?
Wakandarasi kwani wkt wa kujenga hamfikiriaji habari ya maji makubwa
Pongez Kwa walinda usalama wetu
Mtalaumu mwendo kasi wakati miundo mbinu Morogoro hakuna. Tusitafute wachawi mbali wakati sisi wenyewe ndio tunaochangia kwenye matatizo haya, tunajenga kwenye sehemu za maji na tukiambiwa tunadharau na kuigaili serikali.
Poreni Sana.Ndugu zangu.Mungu .awafarijini Sana.
Poleni sana
Hivi kuna mkoa ambao haujakumbwa na mafuriko maana kila kukicha mafuriko mkoa fulani
Singida hamna mafuriko
Inatisha
Kila mkoa mafuriko,wataalamu wa mipango miji wanastahili lawama
Kumbe police sio wanajeshi
Kwenye kiswahili Cha kawaida kabisa ambacho anaweza kuelewa hata Mswahili wa Manzese darajani pale ni -;
Polisi ni = Jeshi la polisi ; wanajeshi ni = Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ
hivyo ndivyo inavyofahamika kwa wananchi wa kawaida
Kijana mmoja alipoteza maisha makunganya alisombwa na bajaji yake na mwili nliukuta pale
Mi nilazani alisombwa na maji, kumbe alisombwa na bajaji
Mmhh ni hatari😔
Wahandisi kwenye miundombinu wanafanya vizuri, lakini kuna mahali hawafanyi vizuri. Awanatakiwa kufanya utafiti na majibu wapate
😢😢😢
Wakandarasi wa SGR hawakujua vizuri geography ya Morogoro

.