Open air Crusade.Baba yetu wa mbinguni jina lako litukuzwe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • baba Yetu wa mbinguni jina lako litukuzwe. Uflame wako uje mapenzi yako yatimizwe hapa duniani kama huko juu mbinguni utupe Leo riziki yetu utusamehe makosa yetu kama nasi tusamehavyo wanao tukosea usitutie majaribuni Bali utuokoe na yule muovu Kwa Kuwa Nguvu ni Wako hata sasa na milele .AMEN🙏🙏

ความคิดเห็น • 3