Mwamba katengeneza class yake kwenye masumbwi, kujikweza na kuwa na dhihaka kwa mpinzani ni sehemu ya watu wa masumbwi. Kauli zake zimewaondoa wa"promota" kupe na njaa wanaotumia platform hizi kushusha" hadhi" na "bei" za manandondi hawa. Shinda tu Kaka 🎉🎉🎉
Mwakinyo hutakiwi kupaniki sana kilichotukuta wengi tuliumia sana lile tukio bora ungepigwa tungeona unapigwa ila game uliluwa una nafac ya kushinda Mwakinyo watanzania tuliungana wote mpaka wasio kupenda kukushangilia kwa hiyo kilichotokea watanzania tuliumia sana kikubwa punguza maneno mengi acha tabia za kidigo fanya kazi ngumi ww unajua
Huyu dogo tushamchoka kwa usanii wake aliofanya kule uingereza.unauza mechi unasema viatu vimekubana.Njia ya mtu muongo ni fupi.Ushakuwa mwanasiasa maneno mengi kabisa vitendo hakuna😢
MPE TU KWANI SHILINGI NGAPI MBONA YULE MVAA MAGUO MAKUBWA ALIPEWA HUYO NASIKIA ANAJIITA ASHURA CHEUPEE ANA DOMO SANA MPE ILI SIKU NYENGINE ASIKUFATILIE
Labda mm mgeni na hayo mambo kwn honeymoon kukazan tu muda wote akuna muda wa kufulai kumbea kama unavyo sema au kupga picha ina maana usku mchana asubui mkazane tu hayo mapenz au kumkomoa
Nyie ndio mnaotafuniwa wake zenu mwanamke akiwa han Muni na mumewe inamaana yupo Saba kwa lugha ya kiswahili kaziilio kuepo ni sexi tu kama huna nguvu izo ni wewe sio wengine
Real talk

Proffesionalism safi!!
Pambana mwakinyo Mimi shabiki Ako Niko arusha ndio umefanya nipende ngumi ,sio hao vichaa .love u so much mwakinyo
Unajitambua bro
Facts
Stay focus, hard work and dedication
Hahahahahahaha eti honeymoon sio kupiga picha kwenye mabembea aseeee ni mswahili full wakwetu
Wewe mwakinyo Nani kakufundisha ujanja ? Hongera sana
Viva Mwakinyo
Umenifurahisha mwakinyo kulitukana haji manala,achana nalo Lile ni shoga kitambo Sana,wewe komaa mwanangu ngumi unajua na unajitambua thamani yako achana na msukule
Mimi shabiki wako nakukubali sana popote huendapo mwakinyo nakuombea hushinde kwenye pambano lako munqu hasimame pamoja nawe
🎉🎉🎉🎉 Hassan wetu go goooo
Jamaa mswahili sana
Mwakinyo hutakiwi kupaniki sana kilichotukuta wengi tuliumia sana lile tukio bora ungepigwa tungeona unapigwa ila game uliluwa una nafac ya kushinda Mwakinyo watanzania tuliungana wote mpaka wasio kupenda kukushangilia kwa hiyo kilichotokea watanzania tuliumia sana kikubwa punguza maneno mengi acha tabia za kidigo fanya kazi ngumi ww unajua
Manara Soma hyoooo ukome kusema Wana wa kitanga 😂😂😂😂
Tanga tanzania
Hehehehehehehehehe haya sasa mtoto wakitanga kaja sasa
Kila la heri Mr Mwakinyo,MUNGU awe nawe....achana na watu wabaya wanaofurahia wenzao wakifeli.
naomba brother unitumie namba yako kwan mm nakukubal sana naomba namba yako hili tupeane ushaur
Hicho kisa cha imamu ni cha kweli
Et mtu mwenyewe mbovu😂😂😂, nani huyo?
Najiskia faraja kuichagua Chanel hii habari zakweri
Huyu dogo tushamchoka kwa usanii wake aliofanya kule uingereza.unauza mechi unasema viatu vimekubana.Njia ya mtu muongo ni fupi.Ushakuwa mwanasiasa maneno mengi kabisa vitendo hakuna😢
MPE TU KWANI SHILINGI NGAPI MBONA YULE MVAA MAGUO MAKUBWA ALIPEWA HUYO NASIKIA ANAJIITA ASHURA CHEUPEE ANA DOMO SANA MPE ILI SIKU NYENGINE ASIKUFATILIE
Mwamba tunakukubali unatisha mwamba.
Mandonga now yupo mjini
Kumbe Kuna honey moon ya kupanda bembea😂😂😂😂😂
😂 mwakinyooooooo mwambie manara huyo boya tuu hana analolijuwa. Mwambie mzee wa mabembea
Kwa kuongea ki boxer bado saaana,Mtu kazi ndo analeta hamasa kwenye Africa boxers
Unapoongea usifiche sura yako Ili Tukuone
Nyamaza tu maisha yaendelee maana maneno yako ya Shombo ni zaidi ya uono unaoanikwa Msakangoto wana TA nadhani mmenielewa 😂😂😂😂😂
SUGUNYO NDIO MPANGO MZIMA.......HUYU ATULIE TU MANENO MENGI
Duhh manara kilamtu anamparamia2 zeruzeru Tulia namkeo kk
Mwakinyo huyu Haj Manara huwa hupendi mwengine asifiwe awe TAJIRI honey 🍯 moon..... Kafanya nn kule Mwakinyo
Mwandishi wa ukc tv ndo ana la moyoni hampend Mwakinyo sjui kisa nn ,,,, champez ua
Timu mwakinyo niko mtwara
😂😂mtoto kwel jau huyu
ulituzingua uliunza Nchi hatukukuelewa nenda huko
Kumbe huy naye punga chele ila silaha yake ngumi msikieni
Waandishi acheni kugombanisha watu mwakinyo haja mtaja manara
Labda mm mgeni na hayo mambo kwn honeymoon kukazan tu muda wote akuna muda wa kufulai kumbea kama unavyo sema au kupga picha ina maana usku mchana asubui mkazane tu hayo mapenz au kumkomoa
Nyie ndio mnaotafuniwa wake zenu mwanamke akiwa han Muni na mumewe inamaana yupo Saba kwa lugha ya kiswahili kaziilio kuepo ni sexi tu kama huna nguvu izo ni wewe sio wengine
BINGWA NIPO SAMBAMBA NA WEWE LILEJENDAWAZIMU TAPERI TU ANAWADANGANYA WASIOMJUA KWANZA HABARI ZAKE TUNAZO NI JOKER HAYUPO SAWA😅
Huyu pumbav anamzalilisha imam huku anacheka
Makorora stundup
😂🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂
Allah akufanyie wepesi inshaallah usiwajibu wajinga maana nawewe utakua umeepuka ujinga kunamtu anaweza kukwambia eti jamaa mswahili sana huyu alafu yeye ni mswahili tafsiliyake hatayeye nimtu asiyejikubali kwaio usishangae hatawewe asipo kukubali
Ila wewe ukipigwa ..viatu avikukutosha boss
Tanga tujuane wazeee
Huyu ni mwanafalsafa
Huna lolote pigana na kiduku
Nipige nikale