ALIKIBA : Kwanini Sikupromote Collabo Na WILLY PAUL | BAHATI Amebadilika | Masaibu Ya R. KELLY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 84

  • @lamecksxologyshuraj4769
    @lamecksxologyshuraj4769 ปีที่แล้ว +29

    Weee ujana kweli ni Moshi ukienda haurudi. The current kiba is totally different from the 'dushelele' guy❤️💯

  • @MaryWuantet
    @MaryWuantet ปีที่แล้ว +8

    I love kibaaa..hanaga drama..yeye ni yeye..hongera kwa heshima yako .

  • @saddamsmasherkiddo970
    @saddamsmasherkiddo970 ปีที่แล้ว +4

    Thanks so much for playing my music

  • @josphatrakita
    @josphatrakita ปีที่แล้ว +9

    I love the energy keep it up kiba.kazi safi bro

  • @patpatow
    @patpatow ปีที่แล้ว +11

    Knew He'll mention Nyash 💥💯

  • @emilianojames4343
    @emilianojames4343 ปีที่แล้ว +1

    The Goat

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 ปีที่แล้ว +10

    The only one King 🤴 💙

  • @kelvinkihato2046
    @kelvinkihato2046 ปีที่แล้ว

    I really love this guy he is just simple person...

  • @erickomwocha596
    @erickomwocha596 ปีที่แล้ว +6

    only one king kiba

  • @YoungManNation
    @YoungManNation ปีที่แล้ว +1

    Kiba kiba kiba love you bro

  • @danieloreri2203
    @danieloreri2203 ปีที่แล้ว +1

    The only kiba❤❤❤.

  • @creatarsmanu8180
    @creatarsmanu8180 ปีที่แล้ว +1

    "Iwas do"🙃

  • @wilsonmuhandy2681
    @wilsonmuhandy2681 ปีที่แล้ว +4

    Nyashinski 🔥

  • @dennismuriithi3906
    @dennismuriithi3906 ปีที่แล้ว +8

    G.O.A.T

  • @johngongana670
    @johngongana670 ปีที่แล้ว +5

    Mzazi vipi,tumia mic freshi.....unakera 🎤 babu ipe nafasi kiasi.

  • @feronandsulubu6711
    @feronandsulubu6711 ปีที่แล้ว +2

    Alikiba hawajui wasanii wa Kenya eti

  • @ngomakeofficial1655
    @ngomakeofficial1655 ปีที่แล้ว +10

    Nani amesikia king akiita nyashisiki "NYASH"

  • @LAXTV
    @LAXTV ปีที่แล้ว +5

    Mzazi songa mbali na mic kidogo your sound distorts everytime. Tunahitaji tukusikie vizuri mkuu

  • @ianlagat-bl5lr
    @ianlagat-bl5lr ปีที่แล้ว +1

    King mwenyee

  • @wasuditheearlybird1778
    @wasuditheearlybird1778 ปีที่แล้ว +4

    I love mseto

  • @HalimaJuma-de5gc
    @HalimaJuma-de5gc ปีที่แล้ว +4

    Only one king hakuna mwingine

  • @vinnocky_b1430
    @vinnocky_b1430 ปีที่แล้ว +2

    Amazing alikiba

  • @Igweezysirleem
    @Igweezysirleem ปีที่แล้ว +5

    GOAT wa Bongo fleva🔥🔥🔥🔥

  • @starkidboymanu6577
    @starkidboymanu6577 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ni Msanii kutoka Kenya but Kenyan presenters do not support Kenyan music,na siku moja Mziki WA Tanzania pia utakufa na Kenya tutatawala nothing lasts forever

  • @ki-ds-shall2241
    @ki-ds-shall2241 ปีที่แล้ว +2

    Kuzunguuuu mkuti bt he lovs music respect 🙌

  • @angelemanuel-hl9mv
    @angelemanuel-hl9mv ปีที่แล้ว +9

    Anajibu kwa majivuno sana

    • @geraldnjau7186
      @geraldnjau7186 ปีที่แล้ว +1

      Umeona habambi Ila twampenda tu hivyo😹😹

  • @brianwanjala5336
    @brianwanjala5336 ปีที่แล้ว +3

    King kama king

  • @johnmshenga1998
    @johnmshenga1998 ปีที่แล้ว +2

    King 🔥🔥💯

  • @mercymburu1920
    @mercymburu1920 ปีที่แล้ว +4

    na unazeeka buda bt i love your song/

    • @zenahyusuf46
      @zenahyusuf46 ปีที่แล้ว

      We are all heading in that direction

  • @Sean_kevooh
    @Sean_kevooh ปีที่แล้ว +2

    Lakini nyash aliporudi

  • @justinmoses3730
    @justinmoses3730 ปีที่แล้ว +11

    Kiba hana kik sis tunamjua kiki zipo kwa harmonize na mond tu hapa bongo

  • @serafimossi154
    @serafimossi154 ปีที่แล้ว +2

    KING Q❤

  • @alibinali_
    @alibinali_ ปีที่แล้ว +10

    Ali kiba Hana mpango aliongea mbaya about kenyans

    • @kibetyegon6281
      @kibetyegon6281 ปีที่แล้ว +1

      Aliongea ukweli si mbaya, speaking the truth

    • @zenahyusuf46
      @zenahyusuf46 ปีที่แล้ว +1

      Hii ndio shida mko nayo,hampendi ukweli

  • @johnmukiuki7984
    @johnmukiuki7984 ปีที่แล้ว +1

    Amollo ni OG

  • @laj1699
    @laj1699 ปีที่แล้ว +3

    The King himself

  • @pattiz4876
    @pattiz4876 ปีที่แล้ว +3

    More love❤ alikiba

  • @peterkiptoo9053
    @peterkiptoo9053 ปีที่แล้ว +1

    King kiba

  • @linkenkenya9174
    @linkenkenya9174 ปีที่แล้ว +2

    M tuva unaongea karibu sana na mike it's distorting the sound

  • @salimbaya2302
    @salimbaya2302 ปีที่แล้ว +2

    Uyu msee ako na dharau Sana na Kenyan musicians though ni msanii ukubwa but ako na umama sana

  • @Caldidaclassicnisafidida
    @Caldidaclassicnisafidida ปีที่แล้ว +2

    King wa mziki Africa

  • @linkenkenya9174
    @linkenkenya9174 ปีที่แล้ว +12

    Alikiba doesn't believe there are good artist in kenya,,hawa watu wa media wasted alot of kenyan upcoming artist by playing foreign music,,

    • @radgamechanger2547
      @radgamechanger2547 ปีที่แล้ว

      true this😊

    • @wilsonmwalungo9478
      @wilsonmwalungo9478 ปีที่แล้ว

      Sasa mziki wa Kenya ni gengeton upuzi

    • @domin842
      @domin842 ปีที่แล้ว

      Noo they wasted good musicians from Kenya by playing upuzi km gengetone which is not melodious na Kuna wasanii wasuri kama mayonde,vijana barubaru, Jovia, old school Kenyan music,otile,Wendy kimani,na wengineo,

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 ปีที่แล้ว +3

    😅Ali Kiba Bhana ...Mwinyiii Saaaana, Yaan Ni Kama Ana Grammy 4 Na BET 5

  • @Bornstarofficial1
    @Bornstarofficial1 ปีที่แล้ว +3

    its over

  • @anastaciawangeci9561
    @anastaciawangeci9561 ปีที่แล้ว +1

    This song tumeongojea tu sana...

  • @stephan2518
    @stephan2518 ปีที่แล้ว +3

    Journaliste ume zogeleya sana microphone

  • @AmaniRamazani-ck3lk
    @AmaniRamazani-ck3lk ปีที่แล้ว +1

    King kiaba

  • @ericknyamwaro
    @ericknyamwaro ปีที่แล้ว +2

    𝔼𝕥𝕪 𝐍𝐲𝐚𝐬𝐡😅😅😅

  • @francos003
    @francos003 ปีที่แล้ว +2

    Si mzazi unijenge deal ya kupiga mapicha hapo nijieke Busy

  • @modhamad6953
    @modhamad6953 ปีที่แล้ว +1

    Tuva daily uko na Mike na huitumii poa uko karibu sana na Mike unakera

  • @angelfortunatus117
    @angelfortunatus117 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @theprayingcitizen7441
    @theprayingcitizen7441 ปีที่แล้ว +3

    Krg na nimeenda😂

  • @justinemwagandi8511
    @justinemwagandi8511 ปีที่แล้ว +1

    Ni masikio yangu ama n nn ju nimeskia Kiba akisema, "I was do", hahahaha 🤣🤣

  • @WALELOBEATS
    @WALELOBEATS ปีที่แล้ว +2

    EA giant

  • @kathuri44
    @kathuri44 ปีที่แล้ว +3

    Hyu mtu haezi jibu swali simple like nani ugependa kuimba naye? Unaogea sana vitu ujaulizwa

  • @KingKeago
    @KingKeago ปีที่แล้ว +2

    Watu wanapiga chafya 😂😂

  • @kadereclaire.
    @kadereclaire. ปีที่แล้ว +1

    Alikiba ameanza kuzeeka....sura ya uhandsome imepoetea

    • @RwachiryoraWema
      @RwachiryoraWema ปีที่แล้ว +1

      Kuzeeka ni baraka shukuru munga bado yuko hapa...uhandsome huzeeka kwani wewe ni mshamba wa wapi

  • @tindamtrapper
    @tindamtrapper ปีที่แล้ว +4

    Mzazi ningeomba kama ungecheza miziki yangu kwenye radio na TV tafadhali...... Nitafute kama Tindam Trapper

    • @JuniorGaddafi3978
      @JuniorGaddafi3978 ปีที่แล้ว

      Weye ni pumbu kweli mpwa.
      Akutafute ama umtafute?

    • @tindamtrapper
      @tindamtrapper ปีที่แล้ว

      @@JuniorGaddafi3978 wewe miaka tatu una ma suscriber watano......tuliza kaka......mm sina uwezo wa kumtafuta ila yy anaweza aka nitafuta kwa urahisi

  • @donmelunar
    @donmelunar ปีที่แล้ว +8

    He's good but has a bit of an ego...

    • @ngwenoh.e9725
      @ngwenoh.e9725 ปีที่แล้ว

      Yeah,you can feel it

    • @MrTabasamu
      @MrTabasamu ปีที่แล้ว +3

      Every successful man has to have a big ego, otherwise kumake it itakuwa hard.

    • @abdulmajidmonday459
      @abdulmajidmonday459 ปีที่แล้ว

      We unajua maana ya Ego?

    • @syyke5502
      @syyke5502 ปีที่แล้ว +1

      He's just contented and confident

    • @zenahyusuf46
      @zenahyusuf46 ปีที่แล้ว

      ​@@MrTabasamuexactly

  • @radgamechanger2547
    @radgamechanger2547 ปีที่แล้ว +3

    mzazi unapea sana mziki wa nje concentration sana unasahau na nyumba yako😮
    i think hii ndo imeua industry ya 254 😢
    Ni vyema siku zote kulea boma yako kabla ya ulkuangazia uko nje kwa strangers.

    • @ericshirima8698
      @ericshirima8698 ปีที่แล้ว

      Amna msanii akitoa nyimbo nzuri lazima asikilizwe wa kenya wa kaze buti mpak saiv wasanii wanao fanya vizuri kenya hawafiki 5

    • @HITSCREATION1
      @HITSCREATION1 ปีที่แล้ว

      Hua ako hivyo

  • @SalimSalim-ec9jo
    @SalimSalim-ec9jo ปีที่แล้ว +3

    Kiba nasubiri wewe na kelechi collaboration

  • @blessedisabella5136
    @blessedisabella5136 ปีที่แล้ว +1

    Wwe kiba who made our ovaries twek😂😂😂

  • @miketez2160
    @miketez2160 ปีที่แล้ว +2

    Ungepost tu wewe

  • @mercykamau4360
    @mercykamau4360 ปีที่แล้ว +6

    The King himself