SIKILIZA TALENT YA GASPER REMA WABABONDO ANAYE TIKISA USA - UNAMPA ASILIMIA NGAPI KWA UNAIJERIA WAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Ndani ya ALEXANDER TV ONLINE tumefanikiwa kukutana na Gasper mkali working boy ambaye anatisha USA kwa unaja wake kwa mitili ya Rema, sikiliza exclusive ya kibabe.
    Click hapa kusikiliza kazi ya Gasper
    👉 • Gasper - Working Boy (...
    ALEXANDER TV ONLINE
    FOR PROFESSIONAL UPDATES
    SUBSCRIBE NOW - / @alexandertvonline

ความคิดเห็น • 42

  • @AlexanderTVonline
    @AlexanderTVonline  8 หลายเดือนก่อน +12

    Kusikiliza kazi yake, click link ndani ya description au click link hapo chini 👇👇👇
    th-cam.com/video/VPGZbiddNks/w-d-xo.htmlsi=5OjIbqtIAtpyveoo

    • @mtyona
      @mtyona 8 หลายเดือนก่อน +2

      Atuioni

    • @AlexanderTVonline
      @AlexanderTVonline  8 หลายเดือนก่อน +2

      @@mtyona
      Ndo hiyo hapo chini 👇
      th-cam.com/video/VPGZbiddNks/w-d-xo.htmlsi=5OjIbqtIAtpyveoo

  • @NyotaNA
    @NyotaNA 8 หลายเดือนก่อน +6

    Anajuwa sana mpeni mauwa yake 🌹💐🎉

  • @Wazungujey
    @Wazungujey 8 หลายเดือนก่อน +8

    Jamaa anajuwa sana 🎉

  • @SalimaGrace-bo5ul
    @SalimaGrace-bo5ul 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nampenda sana gasper 👏

  • @CoqHQ
    @CoqHQ 8 หลายเดือนก่อน +22

    Dogo ana kipaji ila wanachokosea vjn USA nikufikiri akiwa Usa hawezi kusimamiwa tena, hiyo ni talent nzuri hikisimamiwa na mtu hanayejuwa kazi

  • @YOUNGSTAR-n2y
    @YOUNGSTAR-n2y 5 หลายเดือนก่อน +2

    Jama anajuwa sana namkubali

  • @bintiFidel
    @bintiFidel 27 วันที่ผ่านมา +1

    anaweza kweli

  • @Dramackjr
    @Dramackjr 7 หลายเดือนก่อน +5

    Dog anajua sana uyo

  • @EmanuelRaul-v4f
    @EmanuelRaul-v4f 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu bwana mdogo anakipaji kikubwa sana

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 8 หลายเดือนก่อน +6

    Style take ya kuimba Ni km Wamerekani. Sipendi ihi Hali Una ulizwa swali la kiswahili unajibu Kingereza na kuongea kirengeza sn kuliko kiswahili.

  • @BEN-SAFARI
    @BEN-SAFARI 8 หลายเดือนก่อน +11

    Uyo dogo ndo wapili u.s bila kumsahau emoda wa kwanza 😂🔥🙌

    • @openglo
      @openglo 7 หลายเดือนก่อน +2

      Uyu anamzidi yeyote maana Emoda sio mwimbaji ni Comedy dogo ni mwimbaji.

  • @yellowbemoda2312
    @yellowbemoda2312 8 หลายเดือนก่อน +17

    Mdogoangu pambana aisee

    • @Lastbornecadet
      @Lastbornecadet 7 หลายเดือนก่อน +2

      Bro huo wimbo ukijumlishwa rap Yako ,misili ya ulivyo rap kwenye"ngyaanye" inaweza kua kali zahidi

  • @neemawekab2306
    @neemawekab2306 8 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo wa kofia ya Red si alikuwaga mwenye kwaya ndo ameamua kuamisha makao

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 8 หลายเดือนก่อน +8

    Chenchi Seen It 🎉🎉Pamban Tu Ndo Njiya Yako Yakutobow.....

  • @International_Bwoy
    @International_Bwoy 8 หลายเดือนก่อน +10

    International Bwoy Seen it 🙌🩵

  • @DonasienPanda
    @DonasienPanda 6 หลายเดือนก่อน +3

    Napenda kumshauri mdogo wangu Gasper unapokua kwenye interview usipendelee San kujikuna kichwani kila mara inaonyesha uzaifu flani wa kutokujiamin hiv

  • @Dramackjr
    @Dramackjr 7 หลายเดือนก่อน +4

    Usij siku moja ukapig aina ya bongo flavou
    Fatilia @Rema , ruger

  • @akimbahekelwa373
    @akimbahekelwa373 6 หลายเดือนก่อน +3

    The guy is the best, this is another level 🔥🔥🔥. Akim Ayamba from Bukavu \DRC

  • @Dramackjr
    @Dramackjr 7 หลายเดือนก่อน +4

    Endelea kufatilia @Rema ,@Ruger

  • @JACASJacaspeterdor
    @JACASJacaspeterdor 7 หลายเดือนก่อน +3

    Dogo anaweza kikweli, kwakuwa kipaji nikipaji na wabembe tunaweza ,naningependa azidi azidi kusonga.

  • @DuniaJNRAbedi
    @DuniaJNRAbedi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Gasperboy kasha kuwa brand ina bidi awe naji ficha sasa..

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 8 หลายเดือนก่อน +4

    Wanaimba vjn awa ila Aja weka mizizi sn

  • @Mwambino10
    @Mwambino10 8 หลายเดือนก่อน +6

    🐐🐐

  • @kenasumani4059
    @kenasumani4059 6 หลายเดือนก่อน +3

    Pambana mdogo wangu uko vizuri🔥👊

  • @Afandepianotz
    @Afandepianotz 7 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi kubwa Sanaa😊

  • @woo_20
    @woo_20 8 หลายเดือนก่อน +3

    Bado sana apo

  • @AsendeImani
    @AsendeImani 2 หลายเดือนก่อน +2

    🎉❤🎉❤🎉

  • @asukulubashilwango1907
    @asukulubashilwango1907 7 หลายเดือนก่อน +2

    Uyo dogo naitaji namba zake nimsimamiye

  • @GeromeKitoungano
    @GeromeKitoungano 6 หลายเดือนก่อน +2

    I totally agree❤❤❤❤

  • @ReginaMmunga
    @ReginaMmunga หลายเดือนก่อน +1

    Wow that's great news ❤️❤️💪💪💪

  • @MARCEL_BOY9
    @MARCEL_BOY9 5 หลายเดือนก่อน +2

    Big up

  • @Faldofilms
    @Faldofilms 3 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉🎉

  • @Heiskmb
    @Heiskmb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unyama sana 🎉🎉

  • @MaliloMonga
    @MaliloMonga 11 วันที่ผ่านมา

    👌💥🇨🇩

  • @TheAscanMelody
    @TheAscanMelody หลายเดือนก่อน

    70%