Kwa kweli upuuzi Kenya ni mwingi sana, sijui wakenya wataamka lini na kumpa mtoto wa maskini hii nchi. Naamini mtoto wa maskini ana uchungu na hii nchi kuliko hayo majina makubwa mliyoyazoea. Kuna wengine wanajiita mahustler wakati wana account bedroom kwao.
My God.... The Kenyan Youths are suffering with unemployment and others are still gaining salary
Upuzi iko Kenya kabisa am telling you
"Kijanaa pupii amenona rouuund.." 👌😂 Prof Lonyangapuo
...wengine wenu ni wachawi, wengine wenu ni wezi! *I died*
😂😂😂😂🤣🤣🤣Kenya sihami
😂😂😂 me too, that man has no breaks
Ntv you are giving true message
who else did a rewind to see the lady on bottom right do a sign language for atwoli's "washenzi namna gani"..n shenzi sana!?.....
Kwa kweli upuuzi Kenya ni mwingi sana, sijui wakenya wataamka lini na kumpa mtoto wa maskini hii nchi.
Naamini mtoto wa maskini ana uchungu na hii nchi kuliko hayo majina makubwa mliyoyazoea.
Kuna wengine wanajiita mahustler wakati wana account bedroom kwao.
Nonnnnpnpnmnmnnnpnmnnnmnnnnnp
Ruto : "Hakuna shortage ya wajinga Kenya."😏
President : "Upuzi uko Kenya ni mingi sana."🤔
Kama umetumia colon, quotation marks Ni za nini?
Indeed ni upuuzi, na nyinyi mapoliticians are in the frontline
Waluyha sio washenzi, wanasiasa ndo washenzi.
Geoffrey Mureithi ,really?
You know when people have nothing to do, unafanya upuzi. If people were busy no time for upuzi.
I have never seen Ruto walk with any sensible politicians.
birds of a feather...
Hmmm... I have just seconded this
Because you don't make sense ... Make money .. See its work
Wewe ni saint?
THE WINNING STRATEGY
With these kind of politics and politicians, Kenya is doomed.
Doomed by who?
Poleni watu wangu
Upuzi ni Mingi sana Mr.President😂😂
Hii upuzi ya wanasiasa kuingia makanisani na kupewa viti vya mbele ndio sipendi wakae nyuma ....ushenziology nkt.
Wooii Nganga this Nganga that 😂😂😂😂, hama Kenya basi
hahaaa
Wewe ndo unafaa uhame...kilo zako Zita angusha uchumI👴💃💃💃💃💃don't try him
Sonko enda gym ako katumbo hakaleti bidi
Hawa politicians wanakuanga funny😂😂🤦🏾♂️
disappointments but comedy gold😂
Kenyan politicians ni shenzi kabisa h
Wanachosha na matusi
salim machila I was gonna type this. But you took words from my mouth 😂 word for word
@@254jada Thanks kwa kuwa namawazo kama yangu boss be blessed
@@254jada Hehehe this shows how much all youths are tired of
@@salimmachila5736 It looks Kenya vituko iwezi malizika
Kweli wakenya hamjui kiswahili,watu wanaitwa washenzi bado wanacheka na kuendekea kumsikiliza tu? Bongo huyo jamaa angeshajikuta yupo Muhimbili hospt.
Wachana tu na siasa zetu hautaelewa
Hasante mswahili wa bongo.mambo yenyu yote ni kupigana na kuumizana.sisi huku ukiitwa mshenzi haimaanishi wewe Ni mshenzi wa maisha hallo
I just had to be born in Kenya 😭😭😭😭😭😭😭😭
Wooiiyee aki siasa iko kenya sikuiziii!!!!
Upuzi uliokenya ni mwingi kwelikweli. We can see that too
kijana fupi amenona round uwezi jua tumbo ni wapi mukono ni wapi...who else had that lol!!!!
It's "mgongo"...
but the crowd forced him to land...😁😁😁😁
Ati "Kila mtu akitaka kujifunza kizungu ni ng'ang'a"..😂😂😂😂..
Wtf did i hea!!. Ati iko shortage ya watu wajinga kenya. Seriously! !!?????,,
Because he is truuuuuuueeeee
Ati kijana fupi round nn??🤣🤣🤣🤣🤣
Wanasiasa mna mambo kweli
Sheeenzi sana!😂😂😂😂😂
Hapo pa waluhya ni wachawi, nasurport atwoli kabisa
Waititu the director of the play 😂😂😂😂
Hahaha Aki wewe
Producer na director wako surprised na kipindi yao ,hahahahaaaaaaaa. Anaitwa Waitito
Waluhyia sio washenzi...wanasiasa ndo washenzi sana...lubish
You wear a bright yellow shirt kama msichana ambaye ako Bikra then you shout why me? Nganga fix up dude!!
today how the going right now..DP
Hhhhhh haki the VP and President wanajua Kenya upuzi imejaa😂😂
Yani watu wanakaa hapo watusiwe kama watoto
Money talks... Shit walks😂
Nimemiss waititu kwa tv
1:15 👏👏👏
Atwoli watolwa hena
Hawa wasee (atwoli na the other luhya leaders) walikua wanajibizana kwa the same event?
Yes
Hii upuzi iko Kenya
See why I left kenya 😹😹😹😹😭😭😭😭
Ruto made my day
Sir. Dr. Ruto all the way.
Am I allowed to read his name phonetically? I sure am.
Nganga Nganga Nganga fear God and please accept to be delivered
Wewe ni mkunga ...unazalisha wamama .....ohh ..nimeelewa deliverer....👴🙉🙉😿
Hahahaha waititu producer na director, enyewe sonko kamenona baya
Hey watu si mjaribu kuwa diplomatic kiasi, nini tofauti ya mtoto na mtu mzima kenya? Kwani mtu huwa mzima wapi?
yes
Lakini hapa Emanuel Juma alikua na Homa
Ng'ang'a 😂😂😂
Tugege twa kiambu 😅😅, hustler nation
😁😁😁😁😁😁😁
kinoma
+Ududu Comedy you are everywhere 😂
@@arapkingoo. PiA nawe ukosekani kila mahali
@@arapkingoo. 😁😁😁😁😁
Kenya one and only funny
Nyoa hiyo mkia👴😸😸😸😸😸😸😸unaka avatar... Ushai ona hiyo movie
Thank you abdi
Where you from
That word....atwolioc-.....😂🤣
Best luya facts tell him
Kenya sihami😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Haki kenya ni madrama, kuna shortage ya wajinga,,,ndo kubalance equation.
Kenyan nini mbaya? Watu wazima kabisa taking like the this! Je mnafundisha watoto wetu na vijana nini? Its a shame
Heheehe....I like this
Atwolireeee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sasa tulimchagua mfanye hii tabia kubafff
Bvdyeszza
lily kanevergiveup m
😂😂😂😂😂na bado ...je! 2022 itakuwa aje
Hakuna mshenzi kama atwoli..alizoea kutusi watu.
Na ni kweli hawa walhuya ni washenze?
Magufuli can not tolerate this 😂
khalwale ndo sienziii
Zizi ni watu tuko na Radha my friend
Why Ng'ang'a?Ng'ang'a nduma
we ndio mshenzi wa kwanza acha kuekea waluyha nkt!nonsense
😃😃😃😃Atwoli is a man who has no fear
😂😂😂😂😂OMG
Atwoli?Haiyaìì
😂😂😂😂😂wah
@@bernadidaya3411 poa sana
Ni kweli kabisa
Hi
Bb
Khalwela NONSENSE!!
Tuko na shortage ya watu wajinga haki ni ukweli😂😂😂😂
This is the opposite.
Irony....
@@benardmwashi6289 ogopa hawa watu😂😁😀
🤔😅😅aki Kenya yawa
😂😂
Hahaa
L bamboo This
Somomoko
😂😁😁😁😁
Wanasiasa ndio washenzi kupindukia.
Next comment
Atwoli has girl parts.
ONGEZA VOLUME DR. KHALWALE!!! STUPID ATWOLI STFU!!! IDIOT
😂😂😂😂
We in bubu
Lubbish
🤣
🤣🤣🤣