ACHOMWA KISA CHA KIFUANI BAADA YA KUFUATA CHENCHI AKIWA NA MWANAE BALOZI ATISHWA NA WAUWAJI

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 25

  • @dazuujuma778
    @dazuujuma778 2 วันที่ผ่านมา +3

    Maskini amekufa kwa ajili ya kutetea uzao wake😢😢😢

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج วันที่ผ่านมา +2

    Kifo kina siri nzito kina tafutaga sababu tuu

  • @giftmusa6543
    @giftmusa6543 2 วันที่ผ่านมา +7

    Poor reporter,Anza kwa kutoa taarifa kwa kueleza mkoa-wilaya na mtaa

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 2 วันที่ผ่านมา +2

    SASA NDUGU WA MUAJI WANATOA VITISHO WAKATI NDUGU YAO KAUA SASA WANANCHI WENYE ASILA WAKICHOMA NYUMBA ZAO MOTO NA WAKIFANYA KITU KIBAYA UTAWASIKIA MAMA SAMIA TUSAIDIE WAKATI NDUGU YENU MUUAJI HUYO MTOTO MUELEWA KAMA KAMTAJA MUALIFU AJAKOSEA KABISA KWA HUFAAMU WAKE POLENI WAFIWA 😭🤲😭🤲

  • @MonicaTimotheo
    @MonicaTimotheo 2 วันที่ผ่านมา +4

    Lazima tujiongeze toka polisi kata hadi level ya polisi mtaa ambao watashirikiana na polisi jamii kuendesha intelijensia na criminology kabambe usiku na mchana ili kusafisha mitaa kwa kupiga vita bangi, walima bangi, wasambaza bangi, wauza bangi, wavuta bangi, watembea na visu kinyume cha sheria, wahuni wakaao vikundi vichochoroni usiku na mchana iwe ni operesheni endelevu sio zima moto hadi mitaani hasa Arusha, kuwe na nidhamu ili vijana hasa magenziii wanyooke waadabike warekebike watake wasitake lasivyo mitaani tunaatamia manyamera, magaidi, mahuni, mashetani madhalimu, maharamia, wauaji, makatili ni hatari sana tuamke tafadhali

    • @RoseMichael-oz7cy
      @RoseMichael-oz7cy 2 วันที่ผ่านมา

      Dah nimekuelewa sna the way ulivyofafanua

    • @daudymlauletv8489
      @daudymlauletv8489 2 วันที่ผ่านมา

      Safi Sana samari iko powa wachukue mawazo yko nchi nitanyooka

  • @SaidyFaranda
    @SaidyFaranda วันที่ผ่านมา

    Daa nimesikitika sna

  • @SaidyFaranda
    @SaidyFaranda วันที่ผ่านมา

    Poleni sana

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 วันที่ผ่านมา +2

    Jamaniiii, pole sana. Mwenyezi Mungu akupe subra kipindi hiki. 😭💔

  • @HafsaShayo-iv5xh
    @HafsaShayo-iv5xh วันที่ผ่านมา

    Daah

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 วันที่ผ่านมา +1

    HV NYIE MNAWAUA WENZENU HUWA MNAFIKIRIA NINI?JAMANI HUYO AKAMATWE POLISI MSISEME MNAFANYA UCHUNGUZI WAKATI LINAELEWEKA. NA HY FAMILIA ILIMTUMA HUYO JAMBAZI. TUNAOMBA POLISI NA HAO WANATISHIA WAKAMATWE NA WAO NI WAUAJI KWANN WAMSAIDIE?

  • @danielaugustino705
    @danielaugustino705 2 วันที่ผ่านมา +1

    Dah mungu akutie nguvu..

  • @anordiobadia.nycsong8123
    @anordiobadia.nycsong8123 2 วันที่ผ่านมา +2

    Alipaswa auawe hapo hapo

  • @MonadiNadi-j6s
    @MonadiNadi-j6s 2 วันที่ผ่านมา +1

    Anae uwa awawe tu km kule tandale

  • @KuruthumKikuyu
    @KuruthumKikuyu 2 วันที่ผ่านมา

    mmemkamata muuaji alafu mnampeleka polisi baada ya kumuua hapohapo

  • @MirajiMbolile
    @MirajiMbolile 2 วันที่ผ่านมา

    Ndo tulipo fikia watanzania

  • @JescaMwagama-oc9yt
    @JescaMwagama-oc9yt 2 วันที่ผ่านมา

    ila arusha

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa chenji na kisu wapi nawapi

  • @evaemil856
    @evaemil856 2 วันที่ผ่านมา

    Kama mapolisi wanaua ovyo na wananchi hawapewi therapy yeyote je unafikiri hawa wananchi anashindwa Kulipiza kisasi wapatapo mwanya?

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 2 วันที่ผ่านมา

      Ndyo maanaMauwaji hayaishi

    • @bolelambunda6554
      @bolelambunda6554 2 วันที่ผ่านมา

      Bora angepotezea change

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 2 วันที่ผ่านมา

      Nye mikundu hapo polisi wanahusika nini pelekeni chuki zenu huko eti polisi nye ndo mnachonganisha polisi na raia zake

  • @MikaelaKomba
    @MikaelaKomba 2 วันที่ผ่านมา

    Mauaji yataisha tazania?