MAAJABU YA MLIMA RUNGWE/WA TATU KWA UREFU TANZANIA/ KUNA NYANI KIPUNJI ASIYEPATIKANA KWINGINEKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • Unagana nasi tunapokudadavulia "maajabu" ya Mlima Rungwe kwa marefu na mapana. Zifahamu mbivu na mbichi za kupanda Mlima huu uliokivutio cha kipekee.

ความคิดเห็น • 4

  • @davidmwaikokoba2974
    @davidmwaikokoba2974 5 หลายเดือนก่อน

    Hongereni kwa kukwea Mlima wetu Rungwe.
    Ushauri kwa msimuliaji
    Hutoi takwimu za muda yangu mlipotika saa alfajiri.
    Na anapoelezea kuhusu matuta camera yako ilipsawa kutaonesha badala ya kumwenesha mtoa taarifa.

    • @Aminmwansile-we8vn
      @Aminmwansile-we8vn 5 หลายเดือนก่อน

      Lakini hAutamgazwi inatangazwa tuu Kilimanjaro. Mlima wa tatu Tanzania et haujulikani

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 2 ปีที่แล้ว +1

    Ko binti kazidiwa na mzee Fungo?

    • @BusokeloTV
      @BusokeloTV  2 ปีที่แล้ว

      Weeeee Mzee Masao Fungo Hana mfanowe. Yeye huweza kupanda Mlima huo mara mbili kwa siku. Fitness yake sio ya kiwango hiki kaka