Hii sauti huwa nalia nayo kila siku - inanikumbusha nikiwa machimboni kule mwakonyondo kule Chunya nikijaribu kulazimisha bahati, nilimpenda sana Lovy Longomba. Ramadhani Kinguti akiwa anambeba kwa sauti nzito. Combination ya Lovy Longomba na Ramadhani Kinguti ni kama Hassan Bitchuka na Maalim Gurumo
Hii band ilikuwa inamilikiwa na Juma Mwendapole maskani yao msasani Daresalam Waimbaji Lovy Longomba,Ramadhani Kinguti,Roshy Mselela Solo ya kasim mponda Drum za chuku Laurence Sax Kalamazoo nyembo Rythm guitar Gervas Herman
Daaaa lovy longomba, nakumbuka enzi zile kwetu bar mbagala 1990s
Good old days..Ukumbi wa Tumaini Jema Tandale...I was too young to get in but still listen from outside.
Lovy Longomba!
Hii sauti huwa nalia nayo kila siku - inanikumbusha nikiwa machimboni kule mwakonyondo kule Chunya nikijaribu kulazimisha bahati, nilimpenda sana Lovy Longomba. Ramadhani Kinguti akiwa anambeba kwa sauti nzito. Combination ya Lovy Longomba na Ramadhani Kinguti ni kama Hassan Bitchuka na Maalim Gurumo
Kaka shimo lilitema??
Kama shimo lilitema??
aa wapi bwana ile kazi ina watu wake!
Clubraha leo na julius nyeisanga du siku zimeenda sana
Eddie shimo lilitema ndiyo maana kakimbia bro Anthony, hizi ngoma kweli unaweza lia
Lovylongomba, mkonyonyo dance, nakumbuka Uhazili Tabora na mapigano, the guywas good in dancing
costa masuba mkonyonyo ndio mtindo wa Afriso ngoma ni hatari sana solo la kassim mponda delashance
Hii band ilikuwa inamilikiwa na Juma Mwendapole maskani yao msasani Daresalam
Waimbaji
Lovy Longomba,Ramadhani Kinguti,Roshy Mselela
Solo ya kasim mponda
Drum za chuku Laurence
Sax Kalamazoo nyembo
Rythm guitar Gervas Herman
sahihi kabisa
kazi nzuri sana
Ama kweli siku huwa hazijirudii - life is one way traffic
Kweli, life is one way traffic. Jibu swali kule kaka Anthony, shimo lilitema?
aa wapi bwana ile kazi ina watu wake!
Nakumbuka enzi za uda icalus
Kabisa Icarus Kumbakumba
Inaonesha Shimo lilitema bw Eddie kwa kaka mkubwa Anthony
Umeona hata siku hizi haonekani mtandaoni!anajilia bata wake:)