Ukiwa na Sifa Hii Utatengeneza Hela Kama Wazimu [4/30]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Unahangaika kutengeneza pesa kwenye biashara yako? Ukiwa na sifa hii utatengeneza hela kama wazimu...
    PATA MAFUNZO NA JIUNGE KWENYE VIJIWE VYETU ⤵️
    1. Zindua Biashara Mpya Mtandaoni: bit.ly/wf-yt
    2. Jenga Biashara Yako Mtandaoni: bit.ly/opu-off...
    Nifuate Huku ⤵️
    WhatsApp Channel: bit.ly/drsaid-... (mafunzo nyeti)
    Instagram: / dr.said.said

ความคิดเห็น • 13

  • @MaryHaule-o9m
    @MaryHaule-o9m 5 หลายเดือนก่อน +7

    Dr zungumzia swala la Imani mbaya tulizojaziwa kuhusu biashara

  • @afrasionpallangyo9573
    @afrasionpallangyo9573 5 หลายเดือนก่อน +9

    Namna ya kujenga nidhamu ili kuweza kufanikiwa

  • @honestdidas5391
    @honestdidas5391 5 หลายเดือนก่อน +5

    Nashukuru doctor nimekulewa ila ningependa kujua n jinsi gani ya kuset mindset zetu na saikolojia zetu ili kupata mafanikio ili hali uko katika changamoto gani za kimaisha

  • @DicksonPonda
    @DicksonPonda 5 หลายเดือนก่อน +4

    JINSI ya kujenga ujasiri wa kuuza bidhaa au huduma Kwa Bei ya juu

  • @KichungaKichunga
    @KichungaKichunga 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa Nini wasomi wengi wanashindwa kuendesha Biashara vyema.

  • @hassanally446
    @hassanally446 5 หลายเดือนก่อน

    Zungumzia kuhusu imani kwa Mungu

  • @user-nu9hc6kr9y
    @user-nu9hc6kr9y 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dr said ni maneno gani ambayo unaweza kuzungumza na mtu ambaye humfahamiani then wewe unataka kumgeuza kuwa mteja wako katika huduma unayoitoa

  • @kadiloonline5662
    @kadiloonline5662 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jinsi ya kuuza bidhaa mtandaoni baada ya mtu kuona tangazo

  • @elizabethndimbwa5470
    @elizabethndimbwa5470 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kesho ongelea jinsi ya kupata wateja mtandaoni

  • @asantedigitals
    @asantedigitals 5 หลายเดือนก่อน +1

    Zungumzia AI marketing

  • @elizabethndimbwa5470
    @elizabethndimbwa5470 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa elimu nzuri. Ongelea kuhusu kuanzisha biashara ya kitaalamu mtandaoni.

  • @greygoryhenry1969
    @greygoryhenry1969 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jinsi ya kuwa mfanyabiashara mkubwa

  • @RICHARDWAUSA-ep4xe
    @RICHARDWAUSA-ep4xe 5 หลายเดือนก่อน

    Nizamu ya hela