Kweli kwenye dunia hii ya sasa kuna mpuuzi atasema hawa jamaa sio wakali? Na kama atasema hawa sio wakali hebu wafanye kama wanavyo fanya hawa jamaa japo nusu yake tu ili atuaminishe kama na wao kweli wanajua dah 😂😂😂😂
Na hatokuja kutokea kwa kizazi hichi tusha tembea na tushaona madrasa kibao kali na wanajua ila ghazal kapitiliza ndomana kwenye kumi bs tisa wote watakuambia jamaa wanajua ila moja tu atapinga mdomoni ila moyoni anaikubali hahahah
Nan anaejitokeza nakudai ghazali hawajui na swiffatunabayilkarima kwa hapa dar jijini kwetu anitafute kwamabishano zaidi ntahakikisha anapotoka namlipia nauli anapptoka mpaka kufika hapa nilipo chakula juu ynga malazi juu yangu kwamabishano zaidi.
Kwanin au kwasababu unaona kaswida imesomwa kwa kiswahili ndomana una challenge ila ingesomwa kwa kiarabu ingekua poa au? Ila ujue hamza peke yake hatoshi kamtafute na bilali pia halafu muje hahahhaha
Goood
Mwagaa like aapa kam weh ni. Mwana ghazal 😂😂❤❤
😊
Qaswida nzuri Sana... mashallah el ghazal hawajaw kuangusha ktk utunzi wa qaswida mashallah
ww umeelewa nn hapo
Katika ulimwengu wa dufu vyuo vingi vinatakiwa wajifunze dufu kwa swifat tandika
Kaswida nzuri imeanza vuzuri ila sauti mwamba anazirudia kaswida za nyuma na za sasa za nyuma alifanya kazi sana za sasa amekuwa mvivu mno
Masshll
Qaswida nzuri haswa ukiwa unajua inamzungumzia nan...❤
Mashallah
Mashaalla
yule Shekh Ngozi nnaemjua sio huyu kabisa yaani alikua akiweka qaswida inasimama kweli lkn sijui hapa kaimba kitu gani
Kawaida nzuri Sana Sema ukutaka kujua ni nzuri sikiliza mara kazaa kiongozi
Umri ni namba tu ni qaswida nzuri kuliko hii
Shkh ngoz saiv hana tna kaswida ispokua mipasho yan kapotea huyu
Alie chukua video kazingua bn wapiga dufu wako wap sasa
Mashaallah
Ngoz saiv kapotea bhana ila hii mipasho yake ndo inamfanya aonekane hodar kwa wasojua dufu
Hawa ghazal atal bhana
Kweli kwenye dunia hii ya sasa kuna mpuuzi atasema hawa jamaa sio wakali? Na kama atasema hawa sio wakali hebu wafanye kama wanavyo fanya hawa jamaa japo nusu yake tu ili atuaminishe kama na wao kweli wanajua dah 😂😂😂😂
Sijapata kuona mkali zaidi yao 😂
Na hatokuja kutokea kwa kizazi hichi tusha tembea na tushaona madrasa kibao kali na wanajua ila ghazal kapitiliza ndomana kwenye kumi bs tisa wote watakuambia jamaa wanajua ila moja tu atapinga mdomoni ila moyoni anaikubali hahahah
Anajua mpaka anakela ❤
Kweli we mshamba wa dufu alafu ujui dufu😅😅😅😅😅
Nakipenda Sana hiki chuo kimekalika kila idara yan
😅😅😅😅😅 ghazal sas iv kaswid mumeishiw munaimb mipasho tu
Nan anaejitokeza nakudai ghazali hawajui na swiffatunabayilkarima kwa hapa dar jijini kwetu anitafute kwamabishano zaidi ntahakikisha anapotoka namlipia nauli anapptoka mpaka kufika hapa nilipo chakula juu ynga malazi juu yangu kwamabishano zaidi.
Mm apa nabisha
Ghazal wanajuw ila kaswida hii tumepigwa
Awana kitu ghazal
Ghazali watu wabaya toup in TANZANIA Anaebisha aseme.
Hamna kaswida apo saiv labda mipasho
Kime zungu mziwa kisa hapo wewe
Mchapeeee mchapeee 😅😅😅😅
Iiiiii qaswidah ni mipasho bna hapa ngozi umefeli
Tasnia Ya Dufu Imeshikwa na Hawa kwa sasa hivi upande wa bara na Khalid Bin Walid Upande wa visiwani , Huo ndo ukwel.
❤
jamani nina shida na uyu sheikh ngozi nampata wapi..nielekezeni madrasa yake ilipo
Madrasa yake ipo magomeni kondoa dsm inaitwa el ghazal
Bado mjasema
hawa majamaa ktk madufu mafremason
Duffu haramu kama unakitabu njoo kilichohalalisha duffu
Kakuambia Nani dufu niharamu ndungu mutume alipo fika maka walimupokea Kwa nasidi nadufu uharamu niwako tu😂😂😂😂😂😂
wanamipasho hawa Bora hamnza
Kwanin au kwasababu unaona kaswida imesomwa kwa kiswahili ndomana una challenge ila ingesomwa kwa kiarabu ingekua poa au? Ila ujue hamza peke yake hatoshi kamtafute na bilali pia halafu muje hahahhaha
baba la wana mkuu