Hadithi ya mwana Yesu | Hadithi za Krismasi kwa Watoto | Swahili Christmas Fairy Tales
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024
- The Story of Baby Jesus in Swahili | Christmas Stories in Swahili | Christmas Fairy Tales in Kiswahili | Hadithi Za Kiswahili Mpya 2021 | kiSwahili Fairy Tales
Please Subscribe for more videos and stories like this:
www.youtube.com...
#HadithizaKiswahili #SwahiliFairyTales #HadithizaKrismasi
Zamani za kale katika mtaa mmoja uitwao Nazareti, palikuwa na mwanamke mmoja aliyeitwa Maria.
Maria alitekeleza wajibu wake, alijali wenzake na alipenda mungu sana.
Alikuwa aolewe na Yosefu, aliyekuwa seremala.
Siku moja, Maria alipokuwa nyumbani akifanya usafi, Malaika alitokea ghafla.
Kabla ata Maria kunena chochote, malaika alimwambia kwamba mungu anaenda kumbariki kwani mungu yuko naye.
Maria alishangaa.
Alikuwa anajaribu kutokuwa mwoga ila hakuwa amewai kumwona malaika hapo mbeleni
Ata hivyo Maria alikuwa mtu wa kawaida tu kama wewe na mimi. ...