Mabasi Sita ya Katarama yarejeshewa Huduma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imerejesha Huduma ya Mabasi sita (06) ya Katarama Luxury baada ya kufungiwa kutokana na kosa la kuondoa kifaa cha kufuatilia mwenendo wa gari kilichofungwa kwenye mabasi yake na kufunga kifaa kingine kilichosababisha utumaji wa taarifa potofu katika mfumo wa VTS

ความคิดเห็น • 6

  • @PeterLoina-g1p
    @PeterLoina-g1p 8 วันที่ผ่านมา

    Mimisiwa pipongezi latr mnauawatanzania aruwataki

  • @justusmukurasi4383
    @justusmukurasi4383 6 วันที่ผ่านมา

    Njia ya BUKOBA ndo imesababisha kufungiwa. Tuwe makini na washindani wake hasa wa Dsm to Bukoba

  • @reganlawa8955
    @reganlawa8955 7 วันที่ผ่านมา

    Achieni magari yake yote mnafungia mbaka code za selikali hazingii kama mapato acheni nane katarama awaa wawekezaji wa ndani ebuu acheni kuna magari balabalan kila mwaka mwez ajali hata hatuoni zaidi kuwapa onyoo lakin uyuu ambae hakuna gari lake nimedondoka kuuwa watu hakuna achanen katarama afanyee kaz njii ipate mapato vita uchumi mbanya sana

  • @justusmukurasi4383
    @justusmukurasi4383 6 วันที่ผ่านมา

    Washindani wake ndo wanamuhofia tu

  • @justusmukurasi4383
    @justusmukurasi4383 6 วันที่ผ่านมา

    Washindani wake ndo wanamuhofia tu

  • @AmosiMganyizi
    @AmosiMganyizi 9 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana tuko pamoja kz iendelee