Kwa mara ya kwanza Aaliyah afunguka kutoka kimapenzi na Diamond
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
- Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
FOLLOW US
Follow on Instagram: / mwendokasitv
Follow on Facebook: / mwendokasimedia
Huyu dada mzuri sana
Mtangazaji chukua tano mpk nimekusifia Mimi ujue UKO vizuri.
Daah! htr sn Mtoto Aaliyah ana Sauti nzuri Mnoo af ameongea Vzr sn...May God bless u Aaliyah 😘😘😘😘😘😘😘
Unapendezea kuongea kiswahili my sister alafu upoo mrembo kuliko hamisa 😂😂 mashallah...😂❤️❤️
Well spoken and fluent English . English a must na ndio inakupeleka mbali kikazi hata nje ya inchi afu kama uliyasomea kenya aisee
Dah!! Demu mzuri Sana huyu , Bongo kuna mauwa mazuri Sana kwani shida ipo wapi Daimond akitoka na huyu dem so si mwanamke kama wengine tu.
Jamani kweli hamtaki Mwendokasi wabaki na mtangazaji?
mafuta tu hayo kaka
Uko vizur mtangazaji
mashaa Allah😍😘
You are too cute to chew while talking
Mwendekasi Leo interview yenu ipo vizur Sana inatulia Sana ongereni
Bro unajuwa kuhost kipindi dah !! Naamini wasafi midia wanakuona natamani uwe pale wasafi bro.
Bro unajua sana kuhost big up wsh usainiwe usafini..!!
Best intervie ever Aliya. Well spoken.
Nimependa confidence yake. Endelea dada
UNAULIZWA KISWAHILI. JIBU KISWAHILI PIYA" KISWAHILI NI LUGHA KUBWA YAMWANZO INAYOONGEWA NA WATU WINGI AFRIKA MZMA KAMA ASILI YA LUGHA YAKIAFRIKA NAKUNA NCHI 53/54 ZAKIAFRIKA DUNIYANI"
TUJIVUNIYE CHAKWETU .😉
YAANI
Wow home girl 🤩 proud of you ❤👍
Ni mrembo!
Cute AALIYAH u know🤣🥰
7:26 😁😁😁 simba katafuna hapa
Othman Nkya kweli mzee baba.
Daaah kukosa pesa ni kitu kinaya kwa kweli!!!! Huyu Aliya hivi ntamkosa hivi hivi sababu ya kukosa uwezo wakimfuko duuh
Lovely❤ aliya
Hivi kwanini watu wanadhania kuongea lugha ya kigeni ndiyo sifa? Watanzania tujivunie lugha yetu kwanza iwe namba 1, alafu lugha ya kigeni iwe namba 2 asanteni sana
Anajinadi nje pia Kwani hiyo Ni biashara pia elewa
Please I want to share my story
@@Mwendokasitv. WhatsApp number
Wakwanza leo mimi kutazama mwmbie aliya aniombee kazi Wcb
😆😆😆
@@zainabubakari8489 ndio shogaang watupege kazi
Nimependa interview
Safi
Kida the best nimekubali interview
Nini kujisemecha kama hajui kiswahili walah hupendezi na English hujii uzuri halafu na kutafuna hovyo no class
Baba Levo is the best presenter in Wasafi
Sure yule mwamba anajua sana anaconfidence kubwa sana
Bro keep it up.🔥🔥🔥
Dem anamaringo sana huyo, chek anavojib
Broo umemwangalia uyoo mamsi mpaka jamaa kwenye suruali kataka kuchafukwaa 😂😂😂😂 dah..... 😂😂😂 Nimekuona man 😂😂😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kazuri
Anafanya kazi anajimudu but yupo single ivi anakwama wapiiii
Much respect bro
U know.....
This chick can speak English tho
She is learned
You know😊
Let her not fake an accent it's neither here nor there why not just speak eloquently
Bro unajua sana pia dada yuko pw kila lakher vyote
7:12 😁😁
7:25 Diamond kapiga huu mzigo
Hakuna ata ex mmoja anaemkubal.aliya...akiwahoj unaona asa anawanyari wengne anawakimbia asaaa...kina wema.sepetu...uyu demu anatoka na simbaa
Anajishaua uyul demu
😘
Ongeeni kiswahili safi kwani mkichanganya ndio mjulikane wasomi?? Tunajua sana km mnakula kingereza kizuri tuu Ila ikuzeni lugha yetu
Hivi huyu sio mtanzania eeee maana si kwa kiinglishi hicho
Ni wa Arusha
Jamani mbona ata sisi kingereza kingi lakini nyumbani nyumbani
Yeye kutoka na d hio twajua
Ongea lugha moja mtangazaji gan ww
she make 6 figures sijui iyo ni dollar au ni mama samia shilings.
Nakapenda sana aka kadada
Pesaaa naitafuta sanaaaa ila kuna binaadam wachawiii
Huyu demu mzurii
Muojiwa kaojiwa
You no what?
you know and not you no
Anafanana na nana wa reyvany kama umeona ivyo acha like plss +254..
Mmerudi kudanganya vichwa vya habari, mlipumzika kidogo. Aaliyah afunguka kutoka na Diamond maana yake nini?
@@Mwendokasitv. a bit misleading headline
khale kichambo 🤣🤣🤣🤣
Unasikiliza kwanza hadi mwisho ,mbona limezungumzwa!!
muongo huyo ngoma za harmonize hazichezwi usafini mda tu halafu anaanza kutia kamba emu msitudanganye mana mi wasafi tv ndo chanel yangu
Upo bongo au burundi
Chaner yako na diamond asemeje?
🤣😂😂😂
Mnaandika title za kijiga pumbavu nyie
Exactly wanaboa sana
Watt wa siku hizi wachawi Yani huyu sesy kamuachisha mwenzie na rukamba nafasi kachukua yy halafu kenyewe kalivyo mmmm
Nimeskia marashii ya aliya jmn yananukia vizurii mashallah 😂🏃♂️😂
Acha umbeya wee
😂😂 bangi sio nzuri
Mafanikio makubwa kea kulala an Diamond.
Kumbe alyaa_ wakawaida tu kam x wangu
Ungeulza swal kwann block 89 ilizima
Wewe host nimekubali apo ulipo meambia Aliya adanganye kuhusu ma x wake 😂😂 utamuuwa kwa presha aise.umeona wapi mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake wakati yeye anamtamani mwamba simba
Hahahahah noma
Aliyha kuani huwa unaendaga choni
Mmmm
Aliyah nakutaka check me out utafurahi bi dada
Single mzuri wewe 🇨🇦❤️🇨🇦
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Too much Pride, fake accent woi
Chibu ameme kuwacha kwanini mrembo?
We mkaliii
Very cheap!
Mhh
Mtoto
Too skinny gain kidogo basi