Yan coy kapicha kanakoonekana kwenye tangazo yan umeonekana super kweli yan sema sasa video iliyofuata na ulivyo suka dah hujapendezea kaka . Kuna heshima flan hivi kubwa tu tunaijua sisi unayo lakin kusuka kwako kutakuharibia sana na ajabu ni kwamba hata wa karibu yako watakuambia umependez
Kiukweli sijui ndo kujibrand lkn kiukweli binafsi sijawahi kuvutiwa na mtu anayeshuka! Waweke tu Rasta ,au wanyoe kama kiba tu ,yuko fresh tangu kitambo
Mkuu hapo huwezi kupiga punch za maana mana hakuna mpunga ni kazi tu kama ofisini kwahiyo hapo yupo ofisini kama wewe unavyoaamka na kwenda kufundisha...ila ukija mtihani basi wanafunzi utawapa nondo za maana ili wafaulu majibu ya mtihani....Kwahiyo linapokija swala la mshindano huwa punch za maana na sio kama hizi mboga mboga
Lakini punch za hapo ndo zitakazokufanya uzidi kufuatiliwa na uzidi kupewa ma deal mengine, Ndaro yuko wapi saiv? Amefika mbali kwasababu ya u seriousness anaounyesha hapo na umemfanya kushiriki katika events tofauti mpaka mashindano
Ajarudia Wala na yuko vzr anajua n nn anafanya he's a legend hana haja ya kuwork hard Kama wengine kipaji anacho naturally na sio kujifunza na akiamua atashangaza wengi
umekuja jana ushaanza kupaita kwako😄😄😄. kuna kidada kimefurahi hapo eti kwelii 😁😁
Hahahaha 🤣🤣 Mungu akutunze sanaa Leonardo
Kweli Coy acha kusuka na kufuga nywele
Coy nae asaa ndio Nini kichwanii ukooo 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 unazingua ety
Nyie ndo masntch baadala ya kuanglia show unaanza kuangalia mengne we n designer au
@@bujashidaniel5537 mtu asipo pendeza tusiseme 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Hallelluya ameua wanangu this boy is so talented
coy unataka uolewe au😊😊😊
Kila mtu anafanya anachokipenda
Nan amshauri Coy asiwe anasuka😃
Niko hapa kwa kwel hahaha
🤣🤣🤣
Mwanaume unasukaje🥺🥺🥺🥺🙌🙌🙌
Mi sipendi kelele za coy
moto sanaa
Yan coy kapicha kanakoonekana kwenye tangazo yan umeonekana super kweli yan sema sasa video iliyofuata na ulivyo suka dah hujapendezea kaka . Kuna heshima flan hivi kubwa tu tunaijua sisi unayo lakin kusuka kwako kutakuharibia sana na ajabu ni kwamba hata wa karibu yako watakuambia umependez
Naomba hii comment ijengewe sanamu
We fata kaz maisha ya m2 yanakuhusu nn kama umeona hajapendeza we bak kua hater so mbaya ,,,
Mm namwamgalia Alie suka uyo
Jaman Kwa mtu au watu karbu na coy mzungu mshaurini asisuke nywele wanaume tunashuka thamani ☑️🙏
Daaah ndo ivyo mwamba tunapungua
Coy niunganishe na huyo msusi wako
Kiukweli sijui ndo kujibrand lkn kiukweli binafsi sijawahi kuvutiwa na mtu anayeshuka! Waweke tu Rasta ,au wanyoe kama kiba tu ,yuko fresh tangu kitambo
We mzungu kusuka unazingua
Coy kuna k2 unatafuta nailo libichwa lako
🤣🤣 Halleluya Hio tv mbona km yangu we jamaa
Kimya chote hiki ndiyo mmekuja na hii...mmh..😬
umekuja jana2 ishaanza kupaita kwako
Brother nina shida na wewe
Nice
Ndio nini kusuka minywele
Konkara mbona kimya siku hz
nado na halleluya big up
cheka 2 inafurahisha sana
🤣🤣🤣👊👊👊👊👊👊
Leonardo kaanza kuishiwa content, Hizo zote n repetition ya content za nyuma maana huwa namfatilia sana 🙋
Mkuu hapo huwezi kupiga punch za maana mana hakuna mpunga ni kazi tu kama ofisini kwahiyo hapo yupo ofisini kama wewe unavyoaamka na kwenda kufundisha...ila ukija mtihani basi wanafunzi utawapa nondo za maana ili wafaulu majibu ya mtihani....Kwahiyo linapokija swala la mshindano huwa punch za maana na sio kama hizi mboga mboga
Lakini punch za hapo ndo zitakazokufanya uzidi kufuatiliwa na uzidi kupewa ma deal mengine, Ndaro yuko wapi saiv? Amefika mbali kwasababu ya u seriousness anaounyesha hapo na umemfanya kushiriki katika events tofauti mpaka mashindano
Ajarudia Wala na yuko vzr anajua n nn anafanya he's a legend hana haja ya kuwork hard Kama wengine kipaji anacho naturally na sio kujifunza na akiamua atashangaza wengi
Unayesema hajarudia basi humfatilii ila hiyo content mgeni ashaipiga kitambo
@@phestoflavour1093 huelewi
🤣🤣Leornado
🐒🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haleluya ametisha
😃😂😂😂
🥰🥰🥰
😃😃
🤣🤣🤣
Mbn kam jamaaa anajikuta mjuaji ase??