MKE WA MAKONDA AACHA UKIMYA AULIZA MASWALI MAZITO "HIYO SURA NI WEWE AU CAMERA IMEHARIBIKA NI MIMI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2024
  • #AdilTV

ความคิดเห็น • 7

  • @user-vi4wx7oi7o
    @user-vi4wx7oi7o 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu amuhifadhi na amzidishie imani na mapenzi mwanangu Maria kwako mdogo wangu Makonda

  • @simonmollel8816
    @simonmollel8816 4 หลายเดือนก่อน

    Makonda anawasaidia wanaonyimwa haki zao Mungu amlinde.

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mhe Makonda kwa kazi hiyo Mungu atakulipa.
    Na kubwa zaidi ingekua unaacha namba za simu zako upigiwe kuweza kupata mrejesho wa shida za Wananchi zaidi.

    • @KogaDenha-yy8lt
      @KogaDenha-yy8lt 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu Akubariki sana kaka yangu kwakutatua shida za wanainchi

    • @simonmollel8816
      @simonmollel8816 4 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli angekuwa anaacha number za simu ingekuwa vizuri sana.

  • @user-bt2bd9ld2v
    @user-bt2bd9ld2v 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli kero ziko nyingi sana kwa wananchi.hizo unazopokea ni baadhi tu.nitashukuru serikali yetu kama zitafanyiwa kazi kwelikweli.

  • @user-bt2bd9ld2v
    @user-bt2bd9ld2v 4 หลายเดือนก่อน

    Tunashukuru kama umetambua kuwa watendaji wa serikali ya ccm ndio chanzo cha mates na adha kwa waajiri yaani WANANCHI!!!