UBISHANI KUHUSU JEZI MPYA ZA SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • Leo Simba wamezindua jezi mpya za msimu huku zikiibua mjadala mkubwa hasa mitandaoni hapa wachambuzi Geoff Leah na Oscar wakiongozwa na Fatma Likwata leo kipindi cha #10 wametoa uchambuzi wao

ความคิดเห็น • 26

  • @abigaelmabuga1315
    @abigaelmabuga1315 3 ปีที่แล้ว +2

    Shida waandishi wa utopolo ndo mnaongoza kuchochea ujinga,achaneni na jezi zetu.Tena Mo alipaswa amuweke Babra pia familia nzima hadi vijiko.Kwani inawahusuuuuuu!

  • @castorymwaipopo290
    @castorymwaipopo290 3 ปีที่แล้ว

    Achaneni na timu yetu kama mna upenzi wa timu zingine jezi ni kali wana simba tumeielewa bc acheni ngenga🦁💪

  • @galucemalapende1866
    @galucemalapende1866 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbona pedi ukipewa uchunguzi

  • @cashliicashlii4253
    @cashliicashlii4253 3 ปีที่แล้ว +1

    Hyu hyu dada ni yanga oyeeeeeeee

  • @gracewiliam8872
    @gracewiliam8872 3 ปีที่แล้ว +1

    E
    Wewe .aziz kinachokusumbua ni wivu na jezi yenu ya misukule na vimbwengo fc

  • @azizshedrack5269
    @azizshedrack5269 3 ปีที่แล้ว +1

    Acheni unafki siku yenu yamashoga imeisha zamu ya Simba jinsi ulivyo yaani na uswahili tofauti haooooo midia hizi wasomi kidogo mabogazi niwengi kwiyooo ichambue gauni yako nahizo suruali zenu

  • @amirisalehe9558
    @amirisalehe9558 3 ปีที่แล้ว

    Iyo jeez daftari

  • @tatalyzer382
    @tatalyzer382 3 ปีที่แล้ว

    Makolokolo bado yapo palepale. Na bado logo ya mdhamini wa ligi

  • @djamanzacharia
    @djamanzacharia 3 ปีที่แล้ว

    Dada usisumbuke xana hlo ni bango la matangazo

  • @albertinemabilo4139
    @albertinemabilo4139 3 ปีที่แล้ว +1

    Hako kamwanamke kana mdomo sana.

  • @shakilakasilo9286
    @shakilakasilo9286 3 ปีที่แล้ว

    Mo 29 ni sabuni ya kipande

  • @bakariyusufujuma
    @bakariyusufujuma 3 ปีที่แล้ว +1

    Wangeelezea na wewe ungeongelea nini huo ni ubunifu ili mpate cha kujadili ukipata majibu mtajadili tena

  • @amirymbilimo448
    @amirymbilimo448 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanafiki nyinyi

  • @adelaida3813
    @adelaida3813 3 ปีที่แล้ว

    Hahaha

  • @mwanakheridunda8481
    @mwanakheridunda8481 3 ปีที่แล้ว +1

    Hivi wewe dada una akili timamu kweli.Za yanga ulihesabu au unafiki tu.Kuwa na ueledi mnambeba huyo msukule na aliwatukana wajinga nyinyi kuweni na mizania acheni uzushi wa kisenge wandishi.Nyinyi ndio mlikuwa mkitaka uwekezaji kwenye timu zetu badala yake mnauponda uwekezaji wa mo simba wambea wakubwa sana.

  • @azizshedrack5269
    @azizshedrack5269 3 ปีที่แล้ว

    Dada unaongea sana umetumwa ujaletewa jenzi wewe simba ndo wenye jenzi zao haikuhsu kama umetumwa katumike mbele huko

  • @luganomwaisumo1938
    @luganomwaisumo1938 3 ปีที่แล้ว

    makorokoro yame paniki

    • @castorymwaipopo290
      @castorymwaipopo290 3 ปีที่แล้ว

      Mbona vibwengo awakuvichambua kwenye jezi ya utopolo fc

    • @luganomwaisumo1938
      @luganomwaisumo1938 3 ปีที่แล้ว

      @@castorymwaipopo290 ukishakuwa koro ata akili yako inakuwa koro

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwanamke ni mpuuzi vitu anavyouliza having maana yoyote

    • @lugolomela1543
      @lugolomela1543 3 ปีที่แล้ว

      Fatma likwata fala sana ndo maana clouds walimtimu