HAWA WANGEKUWA VIJANA NISINGESHANGAA SANA. KINACHONISHANGAZA NI KWAMBA WOTE NI WAZEE MAANA YAKE HAWA WOTE WANA MAPEPO MAKUBWA YA UGOMVI. KAMA HUAMINI PASCHAL CASSIAN ALIMSEMA GOODLUCK NA GOODLUCK GOZBERT HAJAJIBU. UNAFIKIRI NI NANI MWENYE MAPEPO KAMA SIYO WAZEE WA DINI HAWA.
Watumishi ukimya ni silaha kubwa mno, you people are role models and any negative actions appals kindly tone down,let one of you keep quiet and all those altercations will end
Japo ndugu umedanganya hata maandiko yanajua kuwa taifa la Israel c taifa la kawaida acha kuhangaika na watu hangaika na shetani na c mwanadamu mwenzako
Kweli watumishi wa Mungu wanafanya hivi ugonvi Yesu anarudishwa msalabani
Mbarikiwa wee pia sio mkamilifu
Mh
Anajionaga mtakatifi Sana
Mzee mzima hovyo sana mbarikiwa mavi kabisa hovyo serikali kwanini msilifungie hili liuchafu
Mbalikiwa Naye Kawa kijelajela tu
We nae ndo hunaga hakili kabisa. Sasa hayo yakutokea nyuma. Yametokea wapi...???
HAWA WANGEKUWA VIJANA NISINGESHANGAA SANA.
KINACHONISHANGAZA NI KWAMBA WOTE NI WAZEE MAANA YAKE HAWA WOTE WANA MAPEPO MAKUBWA YA UGOMVI.
KAMA HUAMINI PASCHAL CASSIAN ALIMSEMA GOODLUCK NA GOODLUCK GOZBERT HAJAJIBU.
UNAFIKIRI NI NANI MWENYE MAPEPO KAMA SIYO WAZEE WA DINI HAWA.
Mbarikiwa wewe nawe umeshahama madhabahu sasa unazungumza habari za nganga badala ya kutuambia habari za Yesu
😂😂😂😂
Munishi acha ujinga kushindana huko hakukusaidii hata waumini hamtusaidii
Umezidi mbarikiwa ebu jaribu kuwa na adabu wachana na pastor nganga
Tapeli wa dini wewe siyo nabii bwana
Watumishi ukimya ni silaha kubwa mno, you people are role models and any negative actions appals kindly tone down,let one of you keep quiet and all those altercations will end
😂😂❤🇰🇪🐑🙏👍
😂😂😂😂😂commander kayakanyaga leo 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Japo ndugu umedanganya hata maandiko yanajua kuwa taifa la Israel c taifa la kawaida acha kuhangaika na watu hangaika na shetani na c mwanadamu mwenzako
😂😂😂😂Nunua hiyo kesi mwamba msemakweli,msaidie munishi huyo mchungaji feki mpaka anyooke.
Ahaaaa @silver
Mnishi pumzika sasa kesi yako imepata msemaji
Kwa mbarikiwa atajuta huyo kichaa wa kenya
😀😀😀
Kwakweli!! Amwachie mzee( mzoefu )wa vita mbarikiwa.
Munishi nilimshusha thamani alipoanza kumpinga Magu kwenye mambo ya maana. Ikumbukwe ni maoni yangu
Sawasawa
😂😂😂
EMBU TUAMBIENI HABARI ZA YEEY.TELL US ABOUT JESUS. we don't want to hear about munish nor nganga.
We will like to hear more about Jesus.
Isaiah 58